Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Polisi watuhumiwa kuvusha wahamiaji haramu

Polisi katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa Dar es Salaam, wanatajwa kuwa wahusika wakuu wa kusaidia wahamiaji haramu kuingia nchini, kinyume cha sheria.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

WAHAMIAJI HARAMU 46 WAKAMATWA NA JESHI LA POLISI MKOANI RINGA

Wahamiaji Haramu hao walikamatwa juzi katika kitongoji cha Gezaurole katika kata ya Ruaha Mbuyuni tarafa ya Mahenge wakati jeshi la polisi likiwa katika doria ya kawaida na kulitilia mashaka gari hilo lililokuwa limebeba matenga ya Nyanya.  Kiongozi wa Wahamiaji Haramu,akiwagawia wenzake mikate  ilionunuliwa na wanahabari waliokuwepo kwenye tukio hilo kwa kushirikiana na Jeshi la Polisi mkoani humo.  Kiongozi wa Wahamiaji Haramu,akizungumza na Waandishi wa Habari kuhusiana na sakata lao...

 

9 years ago

StarTV

Polisi wakamata wahamiaji haramu 105 Tabata Segerea Dar

Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam limekamata Wahamiaji haramu wapatao 105  katika eneo la Tabata Segerea wilayani Ilala jijini Dar es Salaam baada ya kupata taarifa kutoka kwa wasamaria wema.

Polisi walizunguka nyumba hiyo tangu alfajiri na hatimaye kutumia utaratibu wa kisheria kuingia katika nyumba hiyo na kuipekua ndipo walipokutwa watu 105 wanaume na iligundulika kwamba wanatoka nchini Ethiopia.

 Kamishina wa Polisi Kanda Maalum, Suleiman Kova   amethibitisha kukamatwa kwa...

 

11 years ago

Michuzi

JESHI LA POLISI MKOA WA DODOMA LINAWASHIKILIA WAHAMIAJI HARAMU RAIA WA ETHIOPIA NA MALAWI KWA KOSA LA KUINGIA NCHINI BILA KIBALI.

 Watu  waliokamatwa kwa kosa la kuingia nchini kinyume cha sheria  Afisa uhamiaji mkoa wa Dodoma Ally Haji Amil  Kamanda wa Polisi mkoa wa Dodoma SACP David Misime.
Habari na Sylvester Onesmo, picha
na Peter Simoni wa Jeshi la Polisi Dodoma. ---------------- Jeshi la Polisi Mkoani Dodoma linawashikilia watu wanne raia wa Ethiopia kwa kosa la kuingia nchini kinyume cha sheria, watu hao walikamatwa kufuatia taarifa ya raia wema waliokuwa wakisafiri nao katika basi hilo. Kamanda wa Polisi...

 

11 years ago

Habarileo

JK aonya wahamiaji haramu

Rais Jakaya KikweteRAIS Jakaya Kikwete ameonya wahamiaji haramu wanaorejea nchini baada ya Operesheni Kimbunga kumalizika na kusema kama wanafanya hivyo, wanajisumbua, hawatadumu nchini.

 

10 years ago

BBCSwahili

EU kupambana na wahamiaji haramu

EU imekubali kuunda kikosi cha wanamaji ili kupambana na wafanyabiashara wa binadamu kupitia bahari ya mediterania

 

10 years ago

Tanzania Daima

Wahamiaji haramu 21 wakamatwa

IDARA ya Uhamiaji mkoani hapa, imewakamata wahamiaji haramu 21 kutoka nchi ya Ethiopia walioingia nchini kwa kutumia roli la kubebea saruji katika eneo Mashujaa mjini Makambako. Naibu Kamishna wa Idara...

 

11 years ago

Tanzania Daima

‘Msihifadhi wahamiaji haramu’

KIONGOZI wa mbio za mwenge wa uhuru, Rachel Kassanda, amewataka Watanzania kuacha tabia ya kuwahifadhi wahamiaji haramu, kwani kwa kufanya hivyo ni kuhatarisha amani na usalama wa nchi. Akizungumza baada...

 

9 years ago

Mwananchi

Viongozi BMU watuhumiwa kwa uvuvi haramu

Baadhi ya viongozi wa vikundi vya kusimamia rasilimali za uvuvi katika Ziwa Victoria (BMU), wanaodaiwa kujihusisha na uvuvi haramu wamepewa siku 14 kusalimisha nyavu wanazozitumia vinginevyo watachukuliwa hatua za kisheria.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani