POLISI WAWILI WAUWAWA NEW YORK
Gari la polisi waliokuwemo polisi wawili waliouwawa mapema leo Brooklyn New York.Polisi wa New York wakiwa eneo la tukio.
Polisi wawili wameuwawa mjini Brooklyn New Yrk na mtu ambaye inasemekana amesafiri toka Baltimore Maryland kwa kukusudia kufanya mauaji hayo na baadae kujipiga risasi baada ya kuzingirwa na polisi ndani ya kituo cha treni.
Polisi wawili waliouwawa Wenjan Liu na Rafael Ramos waliuwawa siku ya jumamosi mchana Desemba 20, 2014 wakiwa ndani ya gari lao wakiwa wameegesha mjini...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPLKITUO CHA POLISI IKWIRIRI CHAVAMIWA NA MAJAMBAZI, ASKARI WAWILI WAUWAWA
10 years ago
Michuzi21 Jan
BREAKING NYUZZZZ.....: KITUO CHA POLISI IKWIRIRI,RUFIJI CHAVAMIWA NA MAJAMBAZI,ASKARI WAWILI WAUWAWA
Tukio hilo limetokea usiku wa kuamkia leo,huku askari wanaodaiwa kupotenza maisha ni Cop. Edgar aliyekatwa mapanga na Wp Judith aliyepigwa risasi ubavuni upande wa kulia na kutokea upande wa kushoto.
Hivi sasa hali ni tete katika eneo hilo na watu wamekusanyika huku polisi wakiongeza...
10 years ago
Vijimambo22 Dec
HUYU NDIYE MUUWAJI WA POLISI WAWILI NEW YORK
Ismaaiyl Brinsley, 28, anayo historia ya matatizo ya akili na ujambazi huko nyuma Muuaji aliwauwa polisi waliokuwa wamekaa ndani ya gari yao ya polisi na baadae Brinsley kukimbilia kwenye kituo cha Treni na kujipiga risasi na kufa papo hapo baada ya kuwaona hana pakutokea baada yakuzingirwa na polisi eneo hilo. Watu waliokua karibu na tukio walimsikia muuaji akiwaambia "watch what I'm going to do" na baada ya maneno hayo ndipo alipowaua polisi hao kwa kuwapiga risasi vichwani na juu mwilini...
10 years ago
MichuziNEWSSSSS ALERT!!!!!!!!!! MAJAMBAZI WATATU WAUWAWA NA WAWILI WATIWA MBARONI
Tukio hilo la kukamatwa na kuuawa kwa majambazi hao lilitokea Julai 17 mwaka huu huko maeneo ya Tuangoma Kigamboni jijini Dar es Salaam, na majambazi wa tukio la kinyama la kuuwawa kwa askari wanne na raia watatu katika kituo cha Stakishari wanakadiriwa kuwa kati ya 16 hadi...
10 years ago
MichuziBREAKING NEWZZZZZ: majambazi wawili wauwawa katika jaribio la kupora pesa kariakoo, Dar es salaam usiku huu
10 years ago
BBCSwahili01 Nov
Polisi wauwawa Turkana, Kenya
10 years ago
MichuziBREAKING NEWZZZZ: JESHI LA POLISI MKOANI GEITA LAKAMATA BUNDUKI SABA ZILIZOPORWA KITUO CHA POLISI BUKOMBE, WATU WAWILI MBARONI NA MSAKO MKALI UNAENDELEA
10 years ago
MichuziTAARIFA YA POLISI JIJINI DAR: MAJAMBAZI WAWILI WAUAWA DAR WAKATI WA MAPAMBANO KATI YAO NA ASKARI WA JESHI LA POLISI
Tukio hilo lilitokea eneo la Kariakoo mtaa wa Mkunguni na Livingstone saa 3.00hrs usiku. Wakati wa tukio hilo umeme ulikuwa hakuna na mlalamikaji alikuwa anatumia taa za...
10 years ago
Michuzi13 Jul
NEWS ALERT: WATU KADHAA WAUWAWA, SILAHA ZAPORWA BAADA YA MAJAMBAZI KUVAMIA KITUO KIDOGO CHA POLISI CHA SITAKISHARI, UKONGA, JIJINI DAR ES SALAAM USIKU HUU
Habari ambazo hazijathibitishwa zinasema kwamba askari polisi kadhaa kituoni hapo pamoja na raia mmoja wameuwawa. Silaha kadhaa pia inasemekana zimeporwa na askari wako eneo la tukio hivi sasa.
Tunaendelea kufuatilia taarifa hii na tutawajuza maendeleo yake kadri tutapopata fununu...