Polisi, ya Ngoswe aachiwe Ngoswe mwenyewe
MWISHONI mwa wiki hii gazeti hili lilichapisha picha inayoonyesha askari wawili wa Kikosi cha Kutuliza Ghasia (FFU) waliokuwa kwenye lindo katika benki ya NMB, Mtaa wa Samora jijini Dar es...
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
11 years ago
Mwananchi07 Aug
Semzaba: Niliandika Ngoswe nikiwa kidato cha pili
9 years ago
Dewji Blog28 Nov
Hongera Rais Dk. Magufuli: Umeibukia huku, Sasa bado pale kwa akina Ngoswe!
Kaimu Balozi wa Zambia akiyakana Magogo hayo ya miti ya mninga kwa kile alichodai kuwa watu hao licha ya kueleza kuyatoa Zambia, hawana nyaraka muhimu za kuonyesha kama wameyatoa Zambia licha ya kuwa wametokea Zambia tukio lililotokea jana Novemba 27.
Na Andrew Chale,Modewjiblog
[TANZANIA] Miongoni mwa habari kubwa kwasasa Tanzania ni namna ya utendaji wa kasi ya ajabu ya Mheshimiwa Rais wetu Dk. John Pombe Magufuli pamoja na...
11 years ago
GPLPOLISI: MBASHA JITOKEZE MWENYEWE
10 years ago
Dewji Blog17 Apr
Breaking News! Askofu Gwajima ‘alidindia’ jeshi la Polisi waliomfuata na ving’ora, ajipeleka mwenyewe
Baadhi ya Maaskofu wa Kanisa la Gwajima na maaskofu rafiki wa makanisa ya Pentekoste wakiongea na Gwajima (Hayupo pichani) ambaye alikuwa akiwapa maelekezo kabla ya kuondoka kwenda kuhojiwa jeshi la Polisi mchana wa leo.
Na Andrew Chale wa Modewji blog
Askofu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Josephat Gwajima mapema leo ameibua hofu kubwa kwa majirani na waumini wake waliokuwa wametanda nje ya nyumba yake baada ya Jeshi la Polisi kuvamia kwake kwa lengo la kumchukua kwenda Polisi Central...
10 years ago
Bongo Movies23 Jan
Baada ya wake kukanusha, Wema Sepetu mwenyewe kaongea kuhusu ishu ya kumpeleka Diamond Polisi.
Baada ya hapo jana meneja wa mwigizaji Wema Sepetu, Martin Kadinda kukanusha habari za Wema kumpeleka polisi Diamond Platnumz ambae alikuwa mpezi wake. Kwa kutoweza kulipa kwa wakati deni la shilingi million 10. Leo Wema Sepetu amefunguka kuhusu swala hili katika mahojiano na Millard Ayo.
Wema ameyasema haya “Hii taarifa imenishtua sana maana asubuhi ya jana nimekuta kwenye gazeti wameandika nikashangaa yaani hapa nimekaa kwa sababu muda mwingi siendeshi mimi akaunti yangu ya twitter,...
5 years ago
MichuziMahakama kupokea hoja za Rugemalila za kutaka aachiwe mwezi ujao
MAHAKAMA ya Mkazi Kisutu imeruhusu kupokelewa kwa hoja za maombi ya mfanyabiashara James Rugemarila ya kutaka asiondolewe katika kesi ya uhujumu uchumi inayomkabili yeye na wenzake wawili
Wakili wa Serikali Mwandamizi Wankyo Simon leo Februari 27, 2020 amedai mbele ya hakimu Hakimu Mkazi Mkuu Huruma Shaidi kuwa kesi hiyo ilikuja kwa kutajwa na upelelezi bado haujakamilika hivyo aliomba tarehe nyingine ya kutajwa.
Hata hivyo, wakili wa utetezi John Chuma anayemwakilisha Rugemarila alidai...
11 years ago
GPLKING KIKI: KILA SIKU NASALI BABU SEYA AACHIWE
10 years ago
GPLWEMA, ZARI JIONGEZE MWENYEWE!
11 years ago
Bongo514 Jul
New Video: Baby J — Nimempenda Mwenyewe