Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Polisi yatoa mil. 50/- kuwanasa wauaji

Kamanda wa Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, Kamishna Suleiman Kova SIKU moja baada ya tukio la kuuawa kwa watu saba wakiwemo askari wanne katika Kituo cha Polisi Stakishari, Ukonga jijini Dar es Salaam, Jeshi la Polisi nchini limetangaza donge nono la Sh milioni 50 kwa watakaofanikisha kukamatwa kwa wahusika wa tukio hilo.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Habarileo

Polisi yaonya wanawake kujichunga na wauaji Dar

Kamanda wa Polisi, Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, Suleiman KovaKUTOKANA na kushamiri kwa matukio ya wanawake kuuawa na watu wanaodhaniwa ni wapenzi wao wa muda mfupi, Jeshi la Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam limewaonya wanawake jijini Dar es Salaam kuwa makini na baadhi ya wanaume wanaowataka kimapenzi na kuwaua kisha kutelekeza miili yao.

 

11 years ago

Habarileo

IPTL yatoa mil.5/-kwa kanisa

KANISA la Waadventista wa Sabato la Pugu Chanika jijini Dar es Salaam, sasa linaweza kuendeleza mradi wake wa ujenzi na upanuzi wa kanisa, baada ya kupata msaada wa fedha wa Sh milioni 5 kutoka kampuni ya ufuaji umeme ya Independent Power Tanzania Limited (IPTL).

 

11 years ago

Tanzania Daima

Benki yatoa vitabu vya mil.1.4/-

BENKI ya Afrika, Tawi la Mtwara imetoa msaada wa vitabu 118 vyenye thamani ya sh. milioni 1.4 kwa Shule ya Sekondari ya Bandari ya mkoani hapa. Akizungumza mara baada ya...

 

11 years ago

Habarileo

Tigo yatoa mil.400/- katika promosheni

KAMPUNI ya simu za mkononi ya Tigo imekabidhi Sh milioni 400 ndani ya mwezi mmoja katika promosheni yake. Promosheni hiyo ni ya ‘Cheza Kwa Furaha Unaposhinda Kitita na Tigo Pesa’ huku Sh milioni 720 zikiendelea kushindaniwa.

 

9 years ago

Habarileo

TASAF yatoa mil 249/- kwa kaya masikini

SERIKALI kupitia Mfuko wa Maendeleo ya Jamii (TASAF) , imetoa Sh milioni 249 .02 kwa ajili ya kaya zipatazo 7,055 zilizopo wilya ya Gairo, mkoani Morogoro, ikiwa ni utekelezaji wa mpango wa kunusuru kaya masikini nchini.

 

10 years ago

Michuzi

TBL YATOA MSAADA WA SH. MIL. 56 ZA KISIMA CHA MAJI MKURANGA

 Mkuu wa Wilaya ya Mkuranga, mkoani Pwani, Luteni Mstaafu Abdallah Kihato (wa pili kulia), akipokea Hundi ya Sh. Milioni 56 kutoka kwa Meneja Mauzo wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL) Kanda ya Kusini, Bw. Victor Kavishe (wa pili kushoto) kwa ajili ya kusaidia mradi wa maji katika Kijiji cha Magoza, kilichoko Kata ya Kiparang'anda. Kushoto ni Meneja Mahusiano wa TBL, Bi. Emma Urio na Diwani wa Kata hiyo, Bi. KAru Karapina.
  Meneja Mauzo wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), Kanda ya Kusini,...

 

5 years ago

Michuzi

HALMASHAURI YA JIJI LA ARUSHA YATOA MIL.626 KWA VIKUNDI


Na.Ashura Mohamed -Arusha

Halmashauri ya Jiji la Arusha imekabidhidi Hundi yenye thamani ya shilingi Milioni 626,kwa vikundi 100 vya Mikopo kwa makundi matatu ya Wanawake,Vijana na watu wenye Walemavu.

Akikabidhi Hundi hiyo Mkuu wa Wilaya ya Arusha Gabriel Daqarro alisema fedha hizo ni kutoka Mapato ya ndani ambapo lengo ni kuwawezesha wananchi, kiuchumi ili kutimiza Sera ya Serikali ya Awamu ya Tano.


Daqqaro alisema kuwa serikali ya Sasa imekuwa ikisisitiza uwekezaji kwenye sekta ya Viwanda...

 

11 years ago

GPL

TBL YATOA MSAADA WA SH. MIL 24.6 WIKI YA NENDA KWA USALAMA

 Mkurugenzi wa Uhusiano na Sheria wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), Steve  Kilindo (kulia), akimkabidhi Mganga Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania, SSP Charles Msenga mfano wa hundi yenye thamani ya sh. mil. 24.6 kwa ajili ya Wiki ya Nenda kwa Usalama inayotarajia kuanza hivi karibuni. Anayeshuhudia makabidhiano hayo yaliyofanyika Dar es Salaam jana, ni Kamanda wa Kikosi cha Usalama barabarani, Naibu Kamishna Mohamed Mpinga....

 

11 years ago

GPL

TBL YATOA MSAADA WA SH. MIL.24.6 WIKI YA NENDA KWA USALAMA

Mkurugenzi wa Uhusiano na Sheria wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), Steve  Kilindo (kulia), akimkabidhi Mganga Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania, SSP Charles Msenga (wa pili kushoto) mfano wa hundi yenye thamani ya sh.mil. 24.6 kwa ajili ya Wiki ya Nenda kwa Usalama inayotarajia kuanza hivi karibuni. Wanaoshuhudia makabidhiano hayo ni Kamanda wa Kikosi cha Usalama Barabarani, Naibu Kamishna Mohamed Mpinga (wa pili kulia) na...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani