IPTL yatoa mil.5/-kwa kanisa
KANISA la Waadventista wa Sabato la Pugu Chanika jijini Dar es Salaam, sasa linaweza kuendeleza mradi wake wa ujenzi na upanuzi wa kanisa, baada ya kupata msaada wa fedha wa Sh milioni 5 kutoka kampuni ya ufuaji umeme ya Independent Power Tanzania Limited (IPTL).
habarileo
Habari Zinazoendana
11 years ago
Michuzi
IPTL yatoa shilingi milioni 14.5 kusaidia ujenzi wa Kanisa la Mtakatifu Petro

11 years ago
Michuzi
UDA yatoa msaada wa shilingi milioni 15 kwa kanisa la Mt. Rita


11 years ago
Michuzi
IPTL yatoa Tsh milioni 20 kwa RT kusaidia maandalizi ya mashindano ya riadha ya kitaifa

9 years ago
Habarileo29 Nov
TASAF yatoa mil 249/- kwa kaya masikini
SERIKALI kupitia Mfuko wa Maendeleo ya Jamii (TASAF) , imetoa Sh milioni 249 .02 kwa ajili ya kaya zipatazo 7,055 zilizopo wilya ya Gairo, mkoani Morogoro, ikiwa ni utekelezaji wa mpango wa kunusuru kaya masikini nchini.
11 years ago
GPLTBL YATOA MSAADA WA SH. MIL 24.6 WIKI YA NENDA KWA USALAMA
 Mkurugenzi wa Uhusiano na Sheria wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), Steve Kilindo (kulia), akimkabidhi Mganga Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania, SSP Charles Msenga mfano wa hundi yenye thamani ya sh. mil. 24.6 kwa ajili ya Wiki ya Nenda kwa Usalama inayotarajia kuanza hivi karibuni. Anayeshuhudia makabidhiano hayo yaliyofanyika Dar es Salaam jana, ni Kamanda wa Kikosi cha Usalama barabarani, Naibu Kamishna Mohamed Mpinga....
11 years ago
GPLTBL YATOA MSAADA WA SH. MIL.24.6 WIKI YA NENDA KWA USALAMA
Mkurugenzi wa Uhusiano na Sheria wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), Steve Kilindo (kulia), akimkabidhi Mganga Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania, SSP Charles Msenga (wa pili kushoto) mfano wa hundi yenye thamani ya sh.mil. 24.6 kwa ajili ya Wiki ya Nenda kwa Usalama inayotarajia kuanza hivi karibuni. Wanaoshuhudia makabidhiano hayo ni Kamanda wa Kikosi cha Usalama Barabarani, Naibu Kamishna Mohamed Mpinga (wa pili kulia) na...
5 years ago
Michuzi
HALMASHAURI YA JIJI LA ARUSHA YATOA MIL.626 KWA VIKUNDI
Na.Ashura Mohamed -Arusha
Halmashauri ya Jiji la Arusha imekabidhidi Hundi yenye thamani ya shilingi Milioni 626,kwa vikundi 100 vya Mikopo kwa makundi matatu ya Wanawake,Vijana na watu wenye Walemavu.
Akikabidhi Hundi hiyo Mkuu wa Wilaya ya Arusha Gabriel Daqarro alisema fedha hizo ni kutoka Mapato ya ndani ambapo lengo ni kuwawezesha wananchi, kiuchumi ili kutimiza Sera ya Serikali ya Awamu ya Tano.
Daqqaro alisema kuwa serikali ya Sasa imekuwa ikisisitiza uwekezaji kwenye sekta ya Viwanda...
5 years ago
Michuzi
SERIKALI YATOA MIL 240 KWA AJILI YA MAABARA ZA SEKONDARI CHALINZE


……………………………………………………………………………………
NA MWAMVUA MWINYI, Chalinze
SERIKALI Kuu imetoa kiasi cha sh.milioni 240 ,kwa ajili ya kumalizia maabara nane katika za sekondari kwenye halmashauri ya Chalinze, wilaya ya Bagamoyo Mkoa wa Pwani .
Fedha hizo zitatokana na bajeti ya mwaka wa 2020/2021, zinalenga kujenga vyumba hivyo katika shule 9 za sekondari, ambapo kila chumba kimoja kitatumia sh.milioni 30.
Kaimu Ofisa Elimu Sekondari Halmashauri ya Chalinze, Irene Joseph aliiambia Kamati ya Siasa ya...
10 years ago
MichuziTBL YATOA SH. MIL 124 KUDHAMINI WIKI YA NENDA KWA USALAMA BARABARANI
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
11-May-2025 in Tanzania