Pomboo hujichua kukidhi tamaa zake za mapenzi
SIFA nyingine kubwa ya pomboo ni kuonyesha tabia ya ukali baina yao. Mara nyingi wanaofanyiana ukali ni pomboo madume. Kikubwa kinachowagombanisha ni kugombea majike katika kundi. Madume wa pomboo wanakuwa...
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
11 years ago
Tanzania Daima13 Mar
Pomboo hupenda kucheza na binadamu
KAMA tulivyoahidiana wiki iliyopita, hii itakuwa ni sehemu ya mwisho katika awamu ya kwanza na simulizi kuhusiana na samaki mnyama pomboo. Pamoja na haya tutakayoyaeleza leo, bado kuna mambo mengine...
11 years ago
Tanzania Daima27 Feb
Pomboo humlinda binadamu anaposhambuliwa na papa
WIKI iliyopita tulianza kuangalia sifa za mfumo wa fahamu wa samaki aina ya pomboo. Tuliona mathalani pomboo ana uono hafifu lakini husaidiwa na mfumo wa kutumia mwangwi wa sauti katika...
11 years ago
Tanzania Daima20 Feb
Pomboo ana uwezo wa kujitibu mwenyewe
KATIKA mfululizo wa simulizi kuhusiana na samaki pomboo, leo tuanze kwa kuangalia umbo na mwili wake ulivyo. Pomboo ana mwili mrefu wenye umbo la duara kwa ujumla. Umbile hili linamwezesha...
11 years ago
Tanzania Daima13 Feb
POMBOO: Samaki mwenye asili ya nchi kavu
POMBOO ni mnyama wa baharini ambaye yupo kundi moja na samaki wengine kama vile nyangumi na porpoises. Kuna kama aina 40 za pomboo ambao wamegawanyika katika makundi makubwa 17. Makundi...
11 years ago
Tanzania Daima06 Feb
Wanakijiji Japan waitikisa dunia kwa uvuvi wa pomboo
POMBOO ni mmoja wa samaki wapole wa baharini ambao wanapendwa sana na binadamu. Anahesabika kati ya wanyama wenye akili nyingi kwani ana uwezo wa kujifunza mambo na kuyakariri. Pia ana...
10 years ago
Michuzi10 Dec
Tutatekeleza majukumu kukidhi matarajio: Profesa Assad
![Mahojiano](https://ci4.googleusercontent.com/proxy/8PRpQ8ISns1boRDHwt5UZX9OcECp0I2Us0htOg3TG_NscmOt-MfNdNiGirr1VQ1pdgyMaG8dCiir5QOo42Iq3tzbJtxiUBzHqLSH0VOI5B0aCt_IlXfl8VD7D5PxuJwqj0oGnJzBOpZgTlcLm5A=s0-d-e1-ft#http://www.unmultimedia.org/radio/kiswahili/wp-content/uploads/2014/12/mbili-300x165.jpg)
Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa hesabu za serikali Tanzania Profesa Mussa Assad (Kushoto) akihojiwa na Assumpta Massoi wa Radio ya Umoja wa Mataifa. (Picha:RedioyaUM)Hivi karibuni Tanzania ambayo ni mjumbe wa bodi ya wakaguzi wa Umoja wa Mataifa imepata Mdhibiti na Mkaguzi mkuu wa hesabu za serikali naye ni Profesa Mussa Juma Assad. Uteuzi wake unafuatia kustaafu kwa mtangulizi wake Ludovick Uttouh. Mara baada ya uteuzi na kuapishwa, Profesa Assad alifika makao makuu ya Umoja wa Mataifa mjini...
11 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-7fbFYEpsk08/U7aPA5l6EoI/AAAAAAACkxA/b6k18H6ibgI/s72-c/2.jpg)
DHAMIRA YETU NI KUKIDHI MAHITAJI YA WATEJA YA KIBENKI NA YA KIFEDHA.
![](http://4.bp.blogspot.com/-7fbFYEpsk08/U7aPA5l6EoI/AAAAAAACkxA/b6k18H6ibgI/s1600/2.jpg)
11 years ago
GPL![](http://1.bp.blogspot.com/-UnMjtZrtUqY/U7aPCDk8qdI/AAAAAAACkxI/GWZsrnXdfUU/s1600/3.jpg)
DHAMIRA YETU NI KUKIDHI MAHITAJI YA WATEJA YA KIBENKI NA YA KIFEDHA.