Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


PROMOTER BRITTS EVENT MATATANI MJINI STUTTGART,UJERUMANI KUFUATIA FUJO ZA 30.8.2014 KATIKA SHOW YA DIAMOND. HASARA EURO 300,000

 Stuttgart,Ujerumani,Anayejiita promota Biritts Event - inayomilikiwa na Awin Williams Akpomiemie raia wa Nigeria (juu kulia) amejikuta katika mashaka baada ya ripoti ya polisi kuthibitsha jumla ya hasara ya Euro 300,000(Tsh.600 Million) zilizo sababishwa na fujo ya siku ya jumamosi 30 Augost 2014 baada ya msanii wa NASIB ABDUL AKA DIAMOND PLATINUMZ kuchelewa kufika ukumbini mjini Stuttgart,ujerumani.
Baada ya uchunguzi wa polisi kufuatia fujo hizo imegundulika kuwa muandaaji wa onyesho hilo...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

FUJO KATIKA SHOW YA DIAMOND ILIYOFANYIKA NCHINI UJERUMANI YADAIWA KUSABABISHA HASARA YA EURO 300,000,YADAIWA PROMOTA HAKUWA NA BIMA.

PROMOTER BRITTS EVENT MATATANI MJINI STUTTGART,UJERUMANIPolisi wamesema mpaka kieleweke, M-Nigeria Roho Juu
Stuttgart,Ujerumani,Anayejiita promota Biritts Event - inayomilikiwa na Awin Williams Akpomiemie raia wa Nigeria amejikuta katika mashaka baada ya ripoti ya polisi kuthibitsha jumla ya hasara ya Euro 300,000(Tsh.600 Million) zilizo sababishwa na fujo ya siku ya jumamosi 30 Augost 2014 baada ya msanii wa NASIB ABDUL AKA DIAMOND PLATINUMZ kuchelewa kufika ukumbini mjini...

 

10 years ago

GPL

KAMPUNI YA BRITTS EVENT YAELEZEA KIINI CHA VURUGU KWENYE SHOW YA DIAMOND, UJERUMANI

Mwenyekiti Mtendaji wa kampuni ya Britts Event, Awin Williams Akpomiemie. Kampuni ya Britts Event iliyohusika kuandaa show ya Diamond Stuttgart, Ujerumani imeeleza kwa kina kiini cha vurugu kubwa zilizotokea kwenye show hiyo na kusababisha uharibifu mkubwa huku baadhi ya watu wakijeruhiwa vibaya. Mwenyekiti Mtendaji wa kampuni hiyo, Awin Williams Akpomiemie ameeleza kwa kina kuhusu mzozo uliokuwepo ndani ya kampuni hiyo...

 

10 years ago

Michuzi

Promoter Britts Events Wafunguka juu ya kAshafa nzito ya kuharibu shoo ya Diamond nchini ujerumani

1384142_505866609511143_1668869613_nAwin Williams Akpomiemie.

MY PEOPLE FIRST OF ALL, I WOULD LIKE TO EXPRESS MY HEART BY TELLING THE GENERAL PUBLIC AND THE FANS OF DIAMOND PLATNUMZ, THAT WE FROM BRITTS EVENTS MANAGEMENT IS VERY SORRY FOR WHAT HAPPENED LAST NIGHT, DURING THE CONCERT OF DIAMOND PLATNUMZ. IT WAS NEVER PLANNED FOR THE CONCERT TO BE DELAYED OR FOR THE ARTIST NOT TO PERFORM. 

HERE I WOULD TELL YOU ALL THE TRUTH OF WHAT REALLY HAPPENED ABOUT THIS EVENT FOR YOU ALL TO KNOW THE TRUTH.

THE PROJECT OF DIAMOND CONCERT...

 

10 years ago

Bongo5

Promota wa show ya Diamond iliyosababisha fujo Ujerumani adai wawekezaji walimzunguka

Kampuni ya Britts Events iliyokuwa imeandaa show ya Diamond mjini Stuttgart, Ujerumani imetoa maelezo ya chanzo cha kutofanyika kwa show hiyo na pia kuzuka kwa fujo iliyosababisha uharibifu mkubwa kwenye ukumbi uliokuwa utumike. Mwenyekiti Mtendaji wa Britts Events, Awin Williams Akpomiemie Mwenyekiti Mtendaji wa kampuni hiyo, Awin Williams Akpomiemie ameeleza kwa kina katika maelezo ambayo […]

 

10 years ago

Michuzi

NGOMA AFRICA BAND KUTUMBUIZA LIVE Katika Africa Unite Party Jumamosi 14 March 2015 MJINI STUTTGART, UJERUMANI

The Ngoma Africa Band aka FFU-Ughaibuni
Bendi hiyo inatarajiwa kutumbuiza katika onyesho maalumu la AFRICA UNITE PARTY litakalofanyika katika ukumbi wa VTS uliopo mtaa wa Augusburger Str.442 D-70327 mjini Stuttgart,nchini Ujerumani.
Onyesho hilo limeandaliwa na shirika la Afrikaktiv e.V wakishirikiana na  shirika la Cabaret du Monde,Ngoma Africa band iliyozoeleka kwa kuwatia kiwewe washabiki wake kila kona duniani wataporomosha muziki moto moto na mdundo wao maarafu kama " Extraordinary Bongo...

 

10 years ago

Bongo5

Idris kushinda $300,000 za Big Brother Jumapili hii? Afrika Mashariki yajiunga kumpigia kura kwa fujo!

Wanasema ni vyema kutumainia mema na kujiandaa kwa mabaya na wengine wanaonya kuwa ukiwa na matarajio makubwa usishangae kufedheheshwa kwa kiasi kikubwa pia. Pamoja na misemo hiyo, ni wazi tuna kila sababu ya kuwa na matumaini kuwa kijana wetu Idris Sultan anaweza kushinda taji la Big Brother Africa, Hotshots. Tunaona jinsi ambavyo mastaa na watu […]

 

11 years ago

Mwananchi

BRAZIL 2014: Jeshi la watu 10,000 laipokea Ujerumani ‘kibingwa’ leo

Zaidi ya watu 10,000 wamejitokeza katika uwanja wa ndege wa Berlin Tegel kuipokea timu yao ya taifa leo, kufuatia kutwaa kwake ubingwa wa Dunia kwa mara ya 4 mnamo Jumapili.

 

11 years ago

Mwananchi

BRAZIL 2014: Tiketi mechi ya Ujerumani, Ufaransa yauzwa dola 1,000

Tiketi ya pambano la Ujerumani na Ufaransa yafika dola 1,000 katika soko la ulanguzi wa tiketi.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani