PSPF yajizatiti kuongeza wanachama
MFUKO wa Pensheni kwa Watumishi wa Umma (PSPF), unatarajia kupata wanachama wapya 40,000 nchi nzima hadi kufikia mwishoni mwa mwaka huu. Ofisa Muendeshaji wa PSPF, Lule Kasembwe, alitoa kauli hiyo...
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
11 years ago
Mwananchi30 Apr
Mfuko wa PSPF wajizatiti kuongeza wanachama wapya
11 years ago
Tanzania Daima21 Feb
PSPF yakaribisha wanachama wa hiari
MFUKO wa Pensheni kwa Watumishi wa Umma (PSPF), umewashauri Watanzania wenye kazi na vipato tofauti kujiunga na mfuko huo chini ya mpango wa hiari. Akizungumza na waandishi wa habari wakati...
9 years ago
GPL![](http://globalpublishers.co.tz/wp-content/uploads/2015/10/Wanachama-wapya.jpg)
PSPF YAVUNA WANACHAMA VOWET
10 years ago
Dewji Blog01 Apr
Wanachama TBN, Clouds FM Watembelea PSPF
![Ofisa Uhusiano wa Mfuko wa PSPF, Abdul Njahidi (kulia) akiwaonesha baadhi ya wawakilishi wa Tanzania Bloggers Network (TBN) na watangazaji wa Clouds FM baadhi ya tuzo walizozitwaa kutokana na huduma bora wanazozitoa kwa wateja wao.](http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2015/04/IMG_0199.jpg)
Ofisa Uhusiano wa Mfuko wa PSPF, Abdul Njahidi (kulia) akiwaonesha baadhi ya wawakilishi wa Tanzania Bloggers Network (TBN) na watangazaji wa Clouds FM baadhi ya tuzo walizozitwaa kutokana na huduma bora wanazozitoa kwa wateja wao.
![Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa PSPF, Adam Mayingu (mbele) akizungumza wakati baadhi ya wanachama wa Tanzania Bloggers Network walipotembelea ofisi hizo jijini Dar es Salaam. Wengine ni baadhi ya maofisa wa PSPF.](http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2015/04/DSCF7732.jpg)
Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa PSPF, Adam Mayingu (mbele) akizungumza wakati baadhi ya wanachama wa Tanzania Bloggers Network walipotembelea ofisi hizo jijini Dar es Salaam. Wengine ni baadhi ya maofisa wa PSPF.
![Mkurugenzi wa Uendeshaji PSPF, Neema Muro (kulia) akizungumza wakati baadhi ya wanachama wa Tanzania Bloggers Network walipotembelea ofisi hizo jijini Dar es Salaam.](http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2015/04/IMG_0125.jpg)
Mkurugenzi wa Uendeshaji PSPF, Neema Muro (kulia)...
11 years ago
Tanzania Daima10 Jul
PSPF yavuna wanachama 500 Sabasaba
“NIMEJIUNGA kuwa mwanachama wa hiari katika Mfuko wa Pensheni wa PSPF, kwa kuwa kuna utaratibu baada miezi 12 unaweza kuchukua fedha zako,” anaanza kueleza Msanii, Mrisho Mpoto ‘Mjomba’ alipozungumza na...
10 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-GYSW6seI2gs/VImp4-O5WSI/AAAAAAACwVY/QM9KJqEEjqs/s72-c/b7.jpg)
PSPF YAZINDUA HUDUMA MPYA ZA MIKOPO KWA WANACHAMA WAKE.
![](http://1.bp.blogspot.com/-GYSW6seI2gs/VImp4-O5WSI/AAAAAAACwVY/QM9KJqEEjqs/s1600/b7.jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-r2KZ9K6lTIw/VImp0oam9YI/AAAAAAACwUU/oPNublCiqU0/s1600/b1.jpg)
9 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/viirmOBcoEHoLK7ABVaqf26msbIVPF6W2lqFuOFfQQlYEDD3wJnGLJh2ISmBhPO2-UoyuIpYDOEWiMKq4ls8QQfx57ir7HyO/1.jpg?width=650)
WANACHAMA WA CHAMA CHA MAWAKALA WA FORODHA TANZANIA WAJIUNGA NA PSPF
11 years ago
Dewji Blog05 May
PSPF kujenga nyumba 200 za kuwakopesha wanachama wake Singida
Mkuu wa mfuko wa pesheni kwa watumishi wa umma (PSPF) mkoa wa Singida, Bw. Saidi Majimoto, akihamasisha wanafunzi wa ualimu kujinga na mfuko wa PSPF ili kujihakikishia kupata mafao ya kukidhi mahitaji.Kushoto ni afisa wa PSPF, Andrew Mtima.
Baadhi ya wanafunzi wa ualimu chuo cha Lake Hill mjini Singida,wakimsikiliza mkuu wa mfuko wa pensheni kwa watumisi wa umma (PSPF), Saidi Majimoto (hayupo kwenye picha)akiwahamasisha kujiunga na mfuko huo ili kufaidika na mafao lukuki.
Bango la...
9 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-yeXSmo-jSdE/Vh1Z9jELHxI/AAAAAAAAbGw/dJaqrxpUDU8/s72-c/Wanachama%2Bwapya.jpg)
PSPF YAVUNA WANACHAMA KUTOKA KIKUNDI CHA WAJASIRIAMALI WA VOWET
![](http://1.bp.blogspot.com/-yeXSmo-jSdE/Vh1Z9jELHxI/AAAAAAAAbGw/dJaqrxpUDU8/s640/Wanachama%2Bwapya.jpg)
Meneja wa Mfuko wa Mpango wa Uchangiaji wa Hiari (PSS), wa Mfuko wa Pensheni wa PSPF, Mwanjaa Sembe, (aliyesimama), akiwaongoza wanachama wapya waliojiunga na mpango huo, wakati wa warsha ya siku moja iliyowakutanisha maafisa na mabalozi wa PSPF, na wanakikundi wa Sauti ya Wanawake Wajasiriamali Tanzania, (VOWET), kwenye ukumbi wa Belmonte jijini Dar es Salaam, Oktoba 13, 2015. (Picha na K-VIS MEDIA/Khalfan Said)
Na K-VIS MEDIA
MFUKO wa Pensheni wa PSPF, umezidi k”kupenya’ kwenye sekta...