Wanachama TBN, Clouds FM Watembelea PSPF
Ofisa Uhusiano wa Mfuko wa PSPF, Abdul Njahidi (kulia) akiwaonesha baadhi ya wawakilishi wa Tanzania Bloggers Network (TBN) na watangazaji wa Clouds FM baadhi ya tuzo walizozitwaa kutokana na huduma bora wanazozitoa kwa wateja wao.
Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa PSPF, Adam Mayingu (mbele) akizungumza wakati baadhi ya wanachama wa Tanzania Bloggers Network walipotembelea ofisi hizo jijini Dar es Salaam. Wengine ni baadhi ya maofisa wa PSPF.
Mkurugenzi wa Uendeshaji PSPF, Neema Muro (kulia)...
Dewji Blog
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPLCLOUDS MEDIA GROUP WATEMBELEA MAKAO MAKUU YA MFUKO WA PENSHENI YA PSPF
10 years ago
VijimamboUANDIKISHAJI WANACHAMA 'TANZANIA BLOGGERS NETWORK' (TBN)
Chama cha Wamiliki/Waendeshaji wa Mitandao ya Jamii nchini 'Tanzania Bloggers Network' - TBN kilichosajiliwa rasmi na Serikali Aprili 2015 na kupewa namba ya usajili; S. A 20008 kinapenda kuwajulisha wanaotaka kujiunga na chama hicho kuwa fomu za kujiunga zinatolewa. Wahusika ni wamiliki na waendeshaji wote wa mitandao ya kijamii (blogs na forums) Tanzania na Watanzania wanaofanya kazi kama hiyo nje ya nchi.
Sifa kuu kwa mwanachama ni kuwa na blog ambayo ina umri wa miezi sita tangu ianze...
10 years ago
MichuziUandikishaji Wanachama 'Tanzania Bloggers Network' (TBN) waendelea
Sifa kuu kwa mwanachama ni kuwa na blog ambayo ina umri wa miezi sita tangu ianze...
10 years ago
Dewji Blog24 Apr
Mchakato wa uandikishaji wa wanachama “Tanzania Bloggers Network” ( TBN ) waanza rasmi
Chama cha Wamiliki/Waendeshaji wa Mitandao ya Jamii nchini ‘Tanzania Bloggers Network’ – TBN kinapenda kuwajulisha wanaotaka kujiunga na chama hicho kuwa fomu za kujiunga zinatolewa. Wahusika ni wamiliki na waendeshaji wote wa mitandao ya kijamii (blogs na forums) Tanzania na Watanzania wanaofanya kazi kama hiyo nje ya nchi.
Sifa kuu kwa mwanachama ni kuwa na blog ambayo ina umri wa miezi sita tangu ianze kuendeshwa mfululizo. Kwa wa kazi wa Dar es Salaam wenye sifa ambao wanataka kujiunga...
10 years ago
MichuziHabari njema kwa WanaBlogu waTanzaniania juu Uandikishaji Wanachama TBN
Sifa kuu kwa mwanachama ni kuwa na blog ambayo ina umri wa miezi sita tangu ianze kuendeshwa mfululizo. Kwa wa kazi wa Dar es Salaam wenye sifa ambao wanataka kujiunga...
10 years ago
GPLHABARI NJEMA KWA WANABLOG, FORUMS WATANZANIANIA JUU UANDIKISHAJI WANACHAMA TBN
10 years ago
VijimamboTAARIFA KWA BLOGGERS KUHUSU UANDIKISHAJI WANACHAMA 'TANZANIA BLOGGERS NETWORK' (TBN)
ni wamiliki na waendeshaji wote wa mitandao ya kijamii (blogs na forums) Tanzania na Watanzania wanaofanya kazi kama hiyo nje ya nchi.
Sifa kuu kwa mwanachama ni kuwa na blog ambayo ina umri wa miezi sita tangu ianze kuendeshwa mfululizo. Kwa wa kazi wa Dar es Salaam wenye sifa ambao wanataka...
10 years ago
CloudsFM10 Dec
11 years ago
Tanzania Daima21 Feb
PSPF yakaribisha wanachama wa hiari
MFUKO wa Pensheni kwa Watumishi wa Umma (PSPF), umewashauri Watanzania wenye kazi na vipato tofauti kujiunga na mfuko huo chini ya mpango wa hiari. Akizungumza na waandishi wa habari wakati...