Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


PSPTB YASIMAMISHA UTOAJI WA MAFUNZO ILI KUEPUKANA NA CORONA


BODI ya Wataalamu wa Ununuzi na Ugavi (PSPTB)  imesitisha utoaji wa mafunzo yaliyopanga kufanyika kuanzia Machi 18 mwaka huu na kuwataka wadau kusubiri hadi pale itakavyopangwa tena.

Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Bi Shamim Mdee, Afisa mwandamizi masoko na uhusiano kwa umma wa Bodi hiyo imeelezwa kuwa kusitishwa kwa mafunzo hayo kumetokana na tamko rasmi la Serikali kupitia Waziri Mkuu Kassim Majaliwa kuzuia uwepo wa mikusanyiko ya watu katika maeneo mbalimbali nchini na hiyo ni mara...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

Bodi ya Wataalam wa Ununuzi na Ugavi (PSPTB) yatoa mafunzo kwa wataalamu wake

Bodi ya Wataalam wa Ununuzi na Ugavi imeendesha mafunzo kwa walimu ,wataalam wanaosimamia wanafunzi wa fani ya ununuzi na ugavi wanaofanya tafiti kama sehemu ya mafunzo yao ya stashahada ya ununuzi na ugavi. 
Mafunzo hayo yalifunguliwa jana, na mjumbe wa bodi ya wakurugenzi, Bw, Aziz Kilonge, ambaye aliwaasa wataalam hao kuhakikisha kwamba wanasimamia wanafunzi kwa ukamilifu ili kuongeza ubora wa kazi za utafiti zinazofanywa. 
Aidha, alifafanua kuwa uzingatiaji wa maadili katika kufanya...

 

10 years ago

Dewji Blog

Wanafunzi wa Chuo cha Utumishi wa Umma (TPSC) tawi la Tanga wafanya ziara ya mafunzo PSPTB

1

Wageni wakiwasili kwenye ofisi za Bodi ya Wataalam wa Ununuzi na Ugavi.

New Picture (3)

Mkurugenzi Mtendaji Mkuu wa PSPTB, Dr Tesha akitoa hutuba ya ufunguzi kuwakaribisha wanachuo wa mwaka wa pili wa stashahada ya Ununuzi na Ugavi kutoka chuo cha TPSC Utumishi wa Umma tawi la Tanga.

New Picture (4)

Wanachuo wakimsiliza Mkurugenzi Mtendaji Mkuu wa Bodi Dr. Tesha.

New Picture (5)

Mkurugenzi ya Mafunzo, Bw. Godfred Mbanyi akielezea juu ya madaraja ya mitihani ya Bodi na taratibu za kufanya mitihani.

New Picture (7)

Bw. Ally Songoro kutoka...

 

10 years ago

Michuzi

WANAFUNZI WA CHUO CHA UTUMISHI WA UMMA(TPSC) TAWI LATANGA WAFANYA ZIARA YA MAFUNZO PSPTB

Na Mwandishi wetuBodi ya Wataalam wa Ununuzi na Ugavi (PSPTB) imepokea ugeni wa wanachuo sabini wa mwaka wa pili wanaosoma stashahada ya ununuzi na ugavi waliokuja kwenye ziara ya mafunzo kutoka Chuo cha Utumishi wa Umma tawi la Tanga. 
Ziara hiyo ya mafunzo ililenga kujua kazi mbalimbali za Bodi ya wataalam wa ununuzi na Ugavi (PSPTB). Mkurugenzi mkuu Mtendaji wa PSPTB Dr Clemence Tesha, aliupokea ugeni huo, na kuwashukuru kwa kuona nia ya kufanya ziara ya mafunzo. Aidha aliwaelezea umuhimu...

 

5 years ago

BBCSwahili

Virusi vya corona: Wagonjwa wa corona Kenya kutibiwa nyumbani ili kupunguza msongamano hospitalini

Serikali ya Kenya inatenegeneza muongozo wa uangalizi salama wa wagonjwa wa virusi vya corona wakia nyumbani.

 

11 years ago

Tanzania Daima

VETA yang’ara utoaji mafunzo, ujuzi

MAMLAKA ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi Stadi (VETA) imeibuka kidedea katika Maonyesho ya Sabasaba kipengele cha kundi la utoaji mafunzo na ujuzi. Akizungumzia tuzo hizo, Mkurugenzi wa VETA, Zebadiah...

 

5 years ago

BBCSwahili

Virusi vya corona: Dereva bajaji wanaotoa mafunzo ya Corona nchini Tanzania

Janga la Corona limesababisha mashirika mengi kuja na njia za ubunifu kufikisha ujumbe wa kulijinda na Corona kwa wananchi.

 

10 years ago

Michuzi

Veta yaibuka mshindi wa kwanza katika eneo la Uendelezaji Ujuzi na Utoaji Mafunzo, Sabasaba

Mkurugenzi Mkuu wa VETA, Mhandisi Zebadiah Moshi akionesha cheti cha ushindi wa kwanza wa VETA katika eneo la Uendelezaji Ujuzi na Utoaji Mafunzo katika Maonesho ya 39 Biashara ya Kimataifa (Sabasaba) baada ya kutunukiwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mh. Dk Jakaya Mrisho Kikwete (wa pili kutoka kushoto) kwenye sherehe za ufunguzi tarehe 3 Julai 2015. Wengine kushoto ni Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Biashara Tanzania Mama Jacqueline Maleko na kulia ni Waziri wa Viwanda na...

 

5 years ago

Michuzi

CHUO CHA KILIMO MATI ILONGA MKOANI MOROGORO CHAPANUA WIGO WA UTOAJI MAFUNZO KWA VITENDO


Shamba la migomba la chuo hicho.


Mratibu wa Masomo na Makamu Mkuu wa Chuo hicho, Felix Mrisho (kulia), akizungumzia teknolojia ya kilimo kwa kutumia kitalu nyumba wanayoiendesha kwa kushirikiana na Shirika la Sustainable Agriculture Tanzania (SAT).
Mkuu wa Idara ya Usindikaji chuoni hapo, Moses Chavala, akielezea namna wanavyotoa mafunzo ya usindikaji.




Wakufunzi wa chuo hicho, Antoneta Sunguya na Mariam Marianda wakionesha sufuria inayotumika kuchemshia nyanya kabla ya usindikaji.


Jengo la...

 

9 years ago

Michuzi

WACHIMBAJI WADOGO SHINYANGA WAPATIWA MAFUNZO KUHUSU MFUMO MPYA WA UTOAJI LESENI ZA MADINI KWA NJIA YA MTANDAO

 Kamishna Msaidizi wa Madini, Kanda ya Kati – Magharibi, Humphrey Mmbando akitoa ufafanuzi wa baadhi ya masuala muhimu yaliyojitokeza wakati wa semina kwa wachimbaji wadogo wa madini kuhusu mfumo mpya wa huduma za utoaji wa leseni za madini kwa njia ya mtandao (Online Mining Cadastre Transactional Portal – OMCTP). Semina hiyo imefanyika leo mjini Shinyanga na ni mwendelezo wa Mafunzo yanayotolewa nchi nzima kwa wachimbaji wadogo na wamiliki wa leseni za madini nchini. Wengine pichani (mstari...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani