Wanafunzi wa Chuo cha Utumishi wa Umma (TPSC) tawi la Tanga wafanya ziara ya mafunzo PSPTB
Wageni wakiwasili kwenye ofisi za Bodi ya Wataalam wa Ununuzi na Ugavi.
Mkurugenzi Mtendaji Mkuu wa PSPTB, Dr Tesha akitoa hutuba ya ufunguzi kuwakaribisha wanachuo wa mwaka wa pili wa stashahada ya Ununuzi na Ugavi kutoka chuo cha TPSC Utumishi wa Umma tawi la Tanga.
Wanachuo wakimsiliza Mkurugenzi Mtendaji Mkuu wa Bodi Dr. Tesha.
Mkurugenzi ya Mafunzo, Bw. Godfred Mbanyi akielezea juu ya madaraja ya mitihani ya Bodi na taratibu za kufanya mitihani.
Bw. Ally Songoro kutoka...
Dewji Blog
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi28 Mar
WANAFUNZI WA CHUO CHA UTUMISHI WA UMMA(TPSC) TAWI LATANGA WAFANYA ZIARA YA MAFUNZO PSPTB
Na Mwandishi wetuBodi ya Wataalam wa Ununuzi na Ugavi (PSPTB) imepokea ugeni wa wanachuo sabini wa mwaka wa pili wanaosoma stashahada ya ununuzi na ugavi waliokuja kwenye ziara ya mafunzo kutoka Chuo cha Utumishi wa Umma tawi la Tanga.
Ziara hiyo ya mafunzo ililenga kujua kazi mbalimbali za Bodi ya wataalam wa ununuzi na Ugavi (PSPTB). Mkurugenzi mkuu Mtendaji wa PSPTB Dr Clemence Tesha, aliupokea ugeni huo, na kuwashukuru kwa kuona nia ya kufanya ziara ya mafunzo. Aidha aliwaelezea umuhimu...
Ziara hiyo ya mafunzo ililenga kujua kazi mbalimbali za Bodi ya wataalam wa ununuzi na Ugavi (PSPTB). Mkurugenzi mkuu Mtendaji wa PSPTB Dr Clemence Tesha, aliupokea ugeni huo, na kuwashukuru kwa kuona nia ya kufanya ziara ya mafunzo. Aidha aliwaelezea umuhimu...
9 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-eegszFxHmBY/VeauaIT8rYI/AAAAAAAABlM/tyezAN8UoTM/s72-c/PIX%2B02.jpg)
WATUMISHI WA UMMA WA MKOA WA MBEYA NA NYANDA ZA JUU KUSINI WATAKIWA KUJIENDELEZA KUPITIA TAWI LA CHUO CHA UTUMISHI WA UMMA TANZANIA TAWI LA MBEYA
![](http://1.bp.blogspot.com/-eegszFxHmBY/VeauaIT8rYI/AAAAAAAABlM/tyezAN8UoTM/s640/PIX%2B02.jpg)
Kaimu Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma,HAB Mkwizu, akizungumza wakati wa mahafali ya 22 ya Chuo cha Utumishi Tanzania (TPSC) na ya kwanza kwa tawi la Mbeya hivi karibuni Jijini Mbeya.
Sehemu ya wahitimu wa Chuo Cha Utumishi wa Umma Tanzania (TPSC) Tawi la Mbeya wakiwa...
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-brI3FKtmzik/XqgOWWdoqOI/AAAAAAALod8/fP8zSDPzDPER_v0jqiYQQnmyZ902A2cCQCLcBGAsYHQ/s72-c/0001.jpg)
WAAJIRI WASIOWAPELEKA WATUMISHI KUPATA MAFUNZO CHUO CHA UTUMISHI WA UMMA KUCHUKULIWA HATUA
![](https://1.bp.blogspot.com/-brI3FKtmzik/XqgOWWdoqOI/AAAAAAALod8/fP8zSDPzDPER_v0jqiYQQnmyZ902A2cCQCLcBGAsYHQ/s640/0001.jpg)
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Manejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Kapt. (Msaafu) George Huruma Mkuchika (Mb) akizungumza wakati wa Mahafali ya 28 ya Chuo cha Utumishi wa Umma Tanzania yaliyofanyika katika Kampasi ya Mbeya.
………………………………………………………………..
James Mwanamyoto – Dodoma
Waajiri katika Taasisi za Umma wenye watumishi ambao hawajapata mafunzo ya namna Serikali inavyofanya kazi, wametakiwa kuwapeleka watumishi hao kupata mafunzo Chuo cha Utumishi wa Umma mapema iwezekanavyo...
10 years ago
MichuziViongozi mbalimbali wa Serikali ya Wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (DARUSO) wafanya ziara Bungeni Mjini Dodoma
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/Gk-Khs5Ug5MaCQLlqWorq58RogOH46Zc2OG5XhsHBcQp09hdg9WlyGHsNUfxMbm1IGi6Jmep3fgwKPk8r5F4SN8G2et*Faiw/001.WANAFUNZI.jpg?width=650)
WANAFUNZI WA SHULE YA SEKONDORI EFATHA WAFANYA ZIARA YA MAFUNZO VODACOM TANZANIA
Baadhi ya wanafunzi wa shule ya sekondari ya Efatha iliyopo Bagamoyo Mkoa wa Pwani, wakimsikiliza Ofisa Rasilimali Watu wa Vodacom Tanzania, Ndihagati Biduga (kulia) akiwafafanulia jambo wakati walipofanya ziara ya kimafunzo makao makuu ya kampuni hiyo yaliyopo Mlimani City jijini Dare s Salaam hivi karibuni. Ndihagati Biduga, Ofisa Rasilimali Watu wa Vodacom Tanzania (kulia) akiwaelezea jambo kuhusiana na mnara wa...
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-CkDu4Pm0EPM/XmzAmhn_osI/AAAAAAALjX4/xFNC3opQQfQc37MC2ETO0p5XsoKh7Hm3gCLcBGAsYHQ/s72-c/3-35.jpg)
SERIKALI YAKANUSHA UVUMI WA CHUO CHA UTUMISHI WA UMMA KAMPASI YA SINGIDA KUHAMISHIWA DODOMA
![](https://1.bp.blogspot.com/-CkDu4Pm0EPM/XmzAmhn_osI/AAAAAAALjX4/xFNC3opQQfQc37MC2ETO0p5XsoKh7Hm3gCLcBGAsYHQ/s640/3-35.jpg)
10 years ago
VijimamboWANAFUNZI WA CHUO CHA UTUMISHI WA UMA MBEYA MAFUNZONI BUNGENI DODOMA HII LEO
9 years ago
MichuziWANAFUNZI WA UTURUKI NA BOSNIA WAFANYA ZIARA KATIKA KISIWA CHA TUMBATU ZANZIBAR.
10 years ago
Vijimambo![](http://2.bp.blogspot.com/-SeY8l4L54Mk/VOY5DIVxkII/AAAAAAADZ4w/xv_iGXKwP7E/s72-c/20150219_153019.jpg)
TAARIFA KWA UMMA. SERIKALI YA WANAFUNZI CHUO CHA USIMAMIZI WA FEDHA (IFM-SO) YAKANUSHA KUMPIGIA DEBE LOWASA.
![](http://2.bp.blogspot.com/-SeY8l4L54Mk/VOY5DIVxkII/AAAAAAADZ4w/xv_iGXKwP7E/s1600/20150219_153019.jpg)
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
12-February-2025 in Tanzania