Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


VETA yang’ara utoaji mafunzo, ujuzi

MAMLAKA ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi Stadi (VETA) imeibuka kidedea katika Maonyesho ya Sabasaba kipengele cha kundi la utoaji mafunzo na ujuzi. Akizungumzia tuzo hizo, Mkurugenzi wa VETA, Zebadiah...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

Veta yaibuka mshindi wa kwanza katika eneo la Uendelezaji Ujuzi na Utoaji Mafunzo, Sabasaba

Mkurugenzi Mkuu wa VETA, Mhandisi Zebadiah Moshi akionesha cheti cha ushindi wa kwanza wa VETA katika eneo la Uendelezaji Ujuzi na Utoaji Mafunzo katika Maonesho ya 39 Biashara ya Kimataifa (Sabasaba) baada ya kutunukiwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mh. Dk Jakaya Mrisho Kikwete (wa pili kutoka kushoto) kwenye sherehe za ufunguzi tarehe 3 Julai 2015. Wengine kushoto ni Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Biashara Tanzania Mama Jacqueline Maleko na kulia ni Waziri wa Viwanda na...

 

10 years ago

GPL

VETA YAKUTANA NA WADAU WA VIWANDA VYA UMEME NA MAGARI KUJADILI KUHUSU MRADI WA MAFUNZO YANAYOTOLEWA NA VETA KWA KUSHIRIKIANA NA VIWANDA

Mkurugenzi wa Mafunzo ya Ufundi Stadi-VETA Leah Lukindo akizungumza wakati akifungua rasmi warsha hiyo katika ukumbi wa hoteli ya Giraffe-Dar esSalaam. Washiriki wa warsha hiyo ambao ni wadau wa viwanda vya umeme na magari wakisikiliza kwa makini hotuba ya mgeni rasmi.…

 

10 years ago

Michuzi

VETA YAKUTANA NA WADAU WA VIWANDA VYA UMEME NA MAGARI KUJADILI KUHUSU MRADI WA MAFUNZO YANAYOTOLEWA NA VETA KWA KUSHIRIKIANA NA VIWANDA

Mamlaka ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi (VETA) imekutana na wadau wa viwanda vya umeme na magari jijini Dar es Salaam kujadili utekelezaji wa mradi wa mafunzo yanayotolewa na VETA kwa kushirikiana na viwanda ujulikanao kama Dual Apprenticeship Training Project.
Mradi huo uliopo kwenye majaribio tangu kuanzishwa kwake mwaka 2011 kwa ushirikiano kati ya Hamburg Chamber of Skills Craft ya Ujerumani na VETA,unalenga kuandaa idadi kubwa ya mafundi stadi wenye ujuzi zaidi kwa vitendo kwa...

 

11 years ago

Tanzania Daima

CCM yang’ara Chalinze

MGOMBEA wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Ridhiwani Kikwete, anaelekea kupata ushindi mkubwa katika uchaguzi wa ubunge wa Chalinze, uliofanyika jana. Uchaguzi huo ulifanyika baada ya kifo cha aliyekuwa mbunge wa...

 

11 years ago

Habarileo

Tanzania yang’ara mpango wa UN

TANZANIA imetajwa kufanya vizuri zaidi kuliko nchi nane, zilizokuwa zikishiriki katika Mpango wa Majaribio wa Kuwezesha mfumo wa Umoja wa Mataifa(UN) kufanya kazi kwa pamoja. Mpango huo sasa umepanuliwa kushirikisha nchi nyingi zaidi baada ya kuonesha faida kubwa.

 

11 years ago

Mwananchi

Tanzania yang’ara kuogelea

Muogeleaji  wa Tanzania, Ammaar Ghadiyali amefanikiwa kuingia hatua 16 bora ya  Michezo ya Jumuiya ya Madola baada ya kuongoza kwenye mbizi za mita 50 hapo jana.

 

10 years ago

Dewji Blog

IPTL yang’ara Afrika Mashariki

iptl

-Sasa kusambaza umeme MW 2000 Kenya

-Kafulila aumbuka

Na Mwandishi Wetu

KAMPUNI ya kufua umeme ya Pan African Power Solution inayoimiliki kampuni ya Independent Power Tanzania Limited (IPTL) imezidi kung’aa katika nchi za jumuia ya Afrika Mashariki katika kusambaza nishati ya  umeme.

Hatua hiyo inasababishwa na serikali ya Kenya kuipatia barua kampuni hiyo ya kufanya nao kazi ya usambazaji umeme katika mradi unaohusisha nchi mbili za jumuia hiyo, ambazo ni  Tanzania na Kenya.

Barua ya Kenya...

 

11 years ago

Tanzania Daima

TBL yang’ara tuzo za rais

KAMPUNI ya Bia Tanzania (TBL) imekuwa mshindi wa tuzo mbili za rais zilizoandaliwa na Shirikisho la Viwanda Tanzania (CTI). Hafla ya kukabidhi tuzo hizo ilifanyika Dar es Salaam mwishoni mwa...

 

10 years ago

Habarileo

Dar yang’ara katika BRN

BAADA ya kuongoza kitaifa katika matokeo ya darasa la saba mwaka jana, Mkoa wa Dar es Salaam umeendelea kufanya vizuri katika utekelezaji wa mpango wa matokeo makubwa sasa (BRN), kwa shule zake kusimamia na kutoa mitihani ya utamilifu (mock) kwa manispaa zote tatu.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani