Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Pumziko la milele

YALIKUWA maziko ya kifamilia, lakini ya familia kubwa ya Nelson Mandela kutoka kila pembe ya dunia, pale mwili wake ulipokuwa ukiwekwa katika nyumba yake ya milele. Serikali ya Afrika Kusini iliweka wazi mapema kuwa maziko hayo yatakuwa ya familia na watu wa karibu na Mandela tu, kiasi ambacho hata mabalozi wa nchi mbalimbali katika nchi hiyo, hawakupata fursa ya kushiriki.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

DOKII ASAKA PUMZIKO LA MOYO 2015

Msanii wa filamu na muziki Ummy Wenslaus ‘Dokii’. STORI: Laurent Samatta
MSANII wa filamu na muziki Ummy Wenslaus ‘Dokii’ amefunguka kuwa ndani ya mwaka 2014 hajapata mwanaume wa kuendana naye hivyo endapo akibahatika kupata mwenye upendo wa dhati mwaka huu, atampa kila kitu anachokihitaji. Akipiga stori na paparazi wetu, Dokii alisema kitu kikubwa kilichomfanya awatoe wanaume moyoni kwa mwaka 2014 ni...

 

11 years ago

GPL

JOHARI: NITAMLILIA RECHO MILELE

Stori: Mwandishi Wetu
STAA wa sinema za Kibongo, Blandina Chagula ‘Johari’ amesema kifo cha msanii mwenzake Rachel Haule ‘Recho’ hakitafutika kichwani mwake kirahisi, kwa kuwa anamkumbuka kwa mengi. Staa wa sinema za Kibongo, Blandina Chagula ‘Johari’ akilia kwa uchungu katika mazishi ya msanii mwenzake katika tasnia ya filamu, Recho Haule. Akizungumza na Risasi Mchanganyiko, Sinza...

 

10 years ago

GPL

KAPTENI JOHN KOMBA KIMYA MILELE

Waandishi wetu/mchanganyiko11 NIKIMYA Milele. Hivyo ndivyo unavyoweza kusema baada ya msiba mkubwa uliotingisha nchi, kufuatia kufariki ghafla, kuagwa na hatimaye kufanyika kwa mazishi ya Mbunge wa Mbinga Magharibi, Kapteini Mstaafu wa Jeshi, John Damian Komba katika Kijiji cha Lituhi, kilichopo katika mwambao wa Ziwa Nyasa wilaya ya Mbinga mkoani Ruvuma, Risasi Mchanganyiko lina habari kamili. Mwili wa Kapteini John Damian...

 

11 years ago

Habarileo

Lema: Mimi Mbunge wa milele Arusha

Mbunge wa Arusha Mjini, Godbless Lema ametamba kuwa yeye ni Mbunge wa milele katika jimbo hilo.

 

11 years ago

GPL

MAFUFU: SIWEZI KUONGEA NA H.BABA MILELE

Stori: Gladness Mallya
LILE bifu lililopo kati ya msanii wa muziki na filamu, Hamis Ramadhani ‘H.Baba’ na Jimmy Mafufu limezidi kushika kasi ambapo Mafufu ameapa kutozungumza na H. Baba milele. H. Baba. Akistorisha na gazeti hili Jimmy alisema anamshangaa H.Baba kusema kuwa anatafuta umaarufu kupitia jina lake jambo ambalo siyo kwani yeye ni maarufu tangu zamani na hawezi kupata umaarufu kupitia kwa mkata...

 

10 years ago

Mwananchi

MIAKA 20 YA KIPANYA: Itaishi milele kutetea wanyonge (1)

Miongoni mwa Watanzania wengi, kuna vijana wachache walioamua kutumia maarifa na vipaji vyao ili kujiletea maendeleo na kuondokana na tatizo la kukosa ajira, wakijiajiri kwa kazi mbalimbali kisanaa kwa mikono yao.

 

10 years ago

Mwananchi

MIAKA 20 KATUNI YA KIPANYA: Itaishi milele kutetea wanyonge (2)

Baada ya kuanzishwa kwa gazeti huru la Majira mnamo mwaka 1994,Kipanya alifanikiwa kupata nafasi ya kuanzisha safu ya katuni katika gazeti hilo na kutoa mchora wake wa kwanza.

 

10 years ago

CloudsFM

Kapt.John Komba awekwa kwenye nyumba yake ya milele

Makada wa chama cha Mapinduzi na baadhi ya wananchi wakiandaa makazi ya milele ya marehemu Kapt.John Komba kijijini kwao Lituhi,Nyasa,mkoani Ruvuma.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani