JOHARI: NITAMLILIA RECHO MILELE
![](http://api.ning.com:80/files/JKksqYJJ9Yg8Oidarc6g6kJtsM**saiKloynTs0H7iKfEvkU1FmDghdOS65jnawKMSxxtMV5LxznAIdbcTA1s-JCFGY0C2j*/johari.jpg)
Stori: Mwandishi Wetu STAA wa sinema za Kibongo, Blandina Chagula ‘Johari’ amesema kifo cha msanii mwenzake Rachel Haule ‘Recho’ hakitafutika kichwani mwake kirahisi, kwa kuwa anamkumbuka kwa mengi. Staa wa sinema za Kibongo, Blandina Chagula ‘Johari’ akilia kwa uchungu katika mazishi ya msanii mwenzake katika tasnia ya filamu, Recho Haule. Akizungumza na Risasi Mchanganyiko, Sinza...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
Bongo Movies17 Jun
Ndoa ya Ustazi Juma na Johari yanukia. Asema Johari atakuwa mke wake wa pili
PENZI limekolea na kinachoonekana sasa kwa Ostaz Juma Namusoma ni kukazia penzi lake kwa mwanadada Blandina Chagula ‘Johari’ anayesumbua kwenye Bongo movies.
Kwa mujibu wa mtandao wa GPL zinasema kwamba Ostaz alifunga safari kwenda nchini Afrika Kusini kwa mapumziko mafupi lakini pia kumnunulia mpenzi wake huyo zawadi mbalimbali kwa lengo la kupalilia uchumba wao.
“Jamaa alikuwa Sauzi (Afika Kusini), aliondoka hapa tarehe 17 (Machi) na amerudi tarehe 21. Kamletea zawadi kibao lakini...
11 years ago
Habarileo16 Dec
Pumziko la milele
YALIKUWA maziko ya kifamilia, lakini ya familia kubwa ya Nelson Mandela kutoka kila pembe ya dunia, pale mwili wake ulipokuwa ukiwekwa katika nyumba yake ya milele. Serikali ya Afrika Kusini iliweka wazi mapema kuwa maziko hayo yatakuwa ya familia na watu wa karibu na Mandela tu, kiasi ambacho hata mabalozi wa nchi mbalimbali katika nchi hiyo, hawakupata fursa ya kushiriki.
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/jIM5ZSWhuBYXuQS0FL5UF6wjxCUhu1U4qR9co3I9uPQWDNggTNFn4XYFplphhUWqwKPas-Y4Wk-PFb-SVQr1r9461vVD3mpi/FRONTRISASI.jpg?width=650)
KAPTENI JOHN KOMBA KIMYA MILELE
11 years ago
Habarileo28 Apr
Lema: Mimi Mbunge wa milele Arusha
Mbunge wa Arusha Mjini, Godbless Lema ametamba kuwa yeye ni Mbunge wa milele katika jimbo hilo.
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/7TcBzbi1eXo2OZjIbawBqGVO8-zUy4Upf4sn4xL7fCrl5iRq3FnNAJt0EtKLrNE8I1eA6fXwvMCOx2Kz77gY-cy6drq9HPAe/MAFUFUNAHBABA.jpg?width=650)
MAFUFU: SIWEZI KUONGEA NA H.BABA MILELE
10 years ago
Mwananchi08 Nov
MIAKA 20 YA KIPANYA: Itaishi milele kutetea wanyonge (1)
10 years ago
Mwananchi15 Nov
MIAKA 20 KATUNI YA KIPANYA: Itaishi milele kutetea wanyonge (2)
11 years ago
Mwananchi30 Apr
Labda CCM itawale milele kunusuru Muungano wa serikali mbili
10 years ago
CloudsFM03 Mar
Kapt.John Komba awekwa kwenye nyumba yake ya milele
Makada wa chama cha Mapinduzi na baadhi ya wananchi wakiandaa makazi ya milele ya marehemu Kapt.John Komba kijijini kwao Lituhi,Nyasa,mkoani Ruvuma.