Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


PUNGUZO LA ASILIMIA 40 KWA MTANZANIA ATAKAYETIBIWA HOSPITALI YA IRAN YA DUBAI

 Balozo Mdogo wa Tanzania Dubai Mhe Omar Mjenga na Dkt. Asghar Farshad wa hospitali ya Iran huko Dubai wakitia saini makubaliano ambapo hospitali hiyo imetoa ofa ya punguzo la asilimia 40 ya malipo ya matibabu kwa Mtanzania yeyote atayekwenda kutibiwa hapo Iranian Hospital Dubao Balozo Mdogo wa Tanzania Dubai Mhe Omar Mjenga na Dkt. Asghar Farshad wa hospitali ya Iran huko Dubai wakibadilishana hati za makubaliano ambapo hospitali hiyo imetoa ofa ya punguzo la asilimia 40 ya malipo ya...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

Balozi Mdogo wa Tanzania- Dubai akutana na akutana na Mkurugenzi wa Hospitali ya Iran ya Dubai

Mhe. Omar Mjenga, Balozi Mdogo wa Tanzania- Dubai, leo amekutana na kufanya mazungumzo na Mkurugenzi Mkuu wa Hospitali ya Iran ya Dubai, Dr. Asghar Fashad. Katika mazungumzon hayo, Mhe. Mjenga alimuomba Dr asghar kuangalia uwezekano wa kuwa na makubaliano kati ya hospitali yake na Ubalozi Mdogo kwa ajili ya kutoa huduma za afya kwa Watanzania kwa gharama nafuu ukilinganisha na gharama zake za sasa.
Baada ya mazungumzo na mashauriano ya muda wa saa moja, Uongozi wa Juu wa Hospitali,...

 

10 years ago

CloudsFM

SHOO YA BIRTHDAY YA MH.TEMBA, ASILIMIA 80 YA MAPATO KUCHANGIA WODI YA WATOTO HOSPITALI YA TEMEKE

Leo ni kumbukumbu ya kuzaliwa ya msanii Amani Temba a.k.a Mheshimiwa Temba kutoka kundi ya TMK Wanaume Family.Usiku wa leo ameandaa shoo maalum ndani ya ukumbi wa Ikweta Grill, Temeke kiasi cha mapato kitaenda kuchangia wodi ya watoto katika hospitali ya Temeke, kama ilivyokuwa kwa bendi ya Yamoto Band mwishoni mwa mwezi wa tisa walipoambatana na timu nzima ya TMK Wanaume Temba kuchangia hospitalini hapo.

 

11 years ago

Michuzi

Punguzo la bei ya umeme mwiba kwa washindani-IPTL

Hofu ya kupoteza soko kwa makampuni ya kigeni yanayozalisha umeme dhidi ya makampuni ya kitanzania imetajwa kuwa chanzo cha vita dhidi ya kampuni ya ufuaji umeme ya Independent Power Tanzania Limited (IPTL).
Chanzo cha uhakika kutoka Wizara ya Nishati na Madini kimetoa taarifa hiyo kwa gazeti hili jana kuwa kwa zaidi ya muongo mmoja, kampuni za kigeni zimekuwa zikipata faida kubwa kwa kuzalisha umeme na kuuza kwa bei ya juu nchini.
Kampuni ya IPTL ambayo inamilikiwa na kampuni ya...

 

10 years ago

GPL

AIRTEL YAJA NA HUDUMA MPYA YA KUTOA PUNGUZO KWA WATEJA

Mkurugenzi wa Mawasiliano wa Airtel, Beatrice Singano (katika), akionyesha bango linaloonyesha namna ya kujiunga na huduma hiyo.  Kulia ni Maneja Masoko wa kampuni hiyo, Ravi Kant, akishuhudia zoezi hilo huku Mkurugenzi wa Masoko, Levi Nyakundi, akiwa ameshikilia bango hilo. Singano akitoa mfano kwa kutumia simu yake namna ya kujiunga na huduma hiyo.… ...

 

11 years ago

Michuzi

Emirates yatoa punguzo maalumu la bei za tiketi kwa Watanzania wanaokwenda Chicago, Marekani

Wasilisha ombi la tiketi kabla ya Agosti 5 kwa safari za hadi Novemba 30, 2014

Shirika la Ndege la Emirates, linalosifika kwa kutoa huduma bora za usafiri wa anga kwa abiria kwa mataifa mbalimbali, limetangaza ofa maalumu kwa Watanzania watakaokwenda Chicago nchini Marekani, kupitia Dubai wakitokea Dar es Salaam. Punguzo hilo au ofa hiyo maalumu ni kwa madaraja ya abiria wa kawaida yaani Economy Class na daraja la wafanyabiashara ‘Business Class’.
Emirates ilitangaza ofa hiyo mapema...

 

10 years ago

Michuzi

MBOWE AKABIDHI AMBULANCE MBILI KWA HOSPITALI YA WILAYA YA HAI NA HOSPITALI YA MACHAME

Mbunge wa jimbo la Hai,Freeman Mbowe akiwa amembeba mtoto mara baada ya kuwasili katika viwanja vya Kuni na kulakiwa na wananchi katika jimbo hilo.Baadhi ya viongozi mbalimbali waliohudhuria shighuli ya makabidhiano iliyofanyika katika uwanja wa Kuni ,Bomang'ombe wilayani Hai.Wananchi wakiwa wamezingira magari hayo wakiyatizama kwa karibu.Mbunge wa jimbo la Hai ,akiuzungumza juu ya msaada huo kwa watu wa jimbo la Hai.Mbunge wa jimbo la Hai,Freeman Mbowe akikabidhi nyaraka mbalimbali za...

 

5 years ago

Michuzi

WAUGUZI HOSPITALI YA RUFAA YA KANDA MBEYA WATOA ZAWADI YA CHEREHANI KWA HOSPITALI

 Baadhi ya picha za wauguzi katika maadhimisho ya Siku ya wauguzi Duniani .
Wauguzi wa Hospitali ya Rufaa Kanda ya Mbeya wametoa zawadi  ya Cherehani ikiwa ni kuadhimisha siku ya  wauguzi Duniani.

Wauguzi wa Hospitali ya Rufaa ya Kanda Mbeya,  leo wamekabidhi zawadi ya mashine ya cherehani  yenye thamani ya shilingi 1,500,000/= MZRH ikiwa ni mchango wao wa alama ya upendo katika maadhimisho ya siku ya kimataifa ya wauguzi duniani.

Akizungumza katika makabidhiano hayo Mwenyekiti wa  Chama cha...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani