Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


PUSH-UP ZA MAGUFULI ZAHAMIA MAREKANI

Mtoto Jayden (mtoto wa Halima Ally) akifanya push-up kama anavyofanya mgombea urais kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi Mhe. John Pombe Joseph Magufuli, Jayden ni mkaazi wa Maryland nchini Marekani.Jayden akifuata nyayo za mama yake Halima Ally ambaye ni muumini wa CCM

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Habarileo

Pushapu za Magufuli zahamia Ligi Kuu

MSHAMBULIAJI wa zamani wa Yanga JerryTegete, amesema aina ya ushangiliaji wao wa timu yake ya Mwadui FC waliouonesha juzi walipocheza na Yanga, wameuiga kwa mgombea Urais wa Tanzania kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk John Magufuli, aliyekuwa akipiga pushapu katika baadhi ya mikutano yake.

 

9 years ago

Vijimambo

PUSH UP ZA DK MAGUFULI ZAWA GUMZO NCHINI

 Mgombea urais wa Tanzania kupitia CCM, Dk John Magufuli akionesha umahiri wa afya yake kwa kufanya mazoezi ya Push Up wakati wa mkutano wa kampeni mjini Karagwe, mkoani Kagera leo.


 Dk Magufuli akihutubia na kujinadi kwa wananchi wakati wa mkutano wa kampeni mjini Nkwenda, wilayani Kyerwa, mkoani Kagera. Wananchi wakishangilia baada ya kufurahishwa na hotuba za Dk Magufuli na ahadi alizokuwa anazitoa.
 Dk Magufuli akimnadi mgombea ubunge Jimbo la Kyerwa, Swisbert Ntambuka wakati wa mkutano wa...

 

9 years ago

Mwananchi

KAMPENI: Magufuli apiga ‘push-up’ nne

Mgombea urais wa CCM, Dk John Magufuli jana alirukaruka na kupiga ‘push up’ nne mbele ya wananchi wa Karagwe ili kuthibitisha kwamba ana nguvu za kufanya kazi.

 

10 years ago

Habarileo

Kampeni uzazi wa mpango zahamia baa

WIZARA ya Afya na Ustawi wa Jamii kwa kushirikiana na wadau mbalimbali katika sekta ya afya, wanatarajia kuendesha kampeni ya uhamasishaji wa uzazi wa mpango kwa jamii katika maeneo ya mabaa na vilabu vya pombe mkoani Kigoma.

 

9 years ago

GPL

MAGUFULI AWAKUNA WANANCHI WA KARAGWE, APIGA PUSH UP JUKWAANI, WANANCHI WASHANGILIA

Kuonyesha kwamba yuko fiti ana anastahili kupewa ridhaa ya kuiongoza Tanzania katika awamu ya kipindi cha tano,Dkt John Pombe Magufuli aliwashangaza wananchi wa mji huo kwa kupiga push up zaidi ya tano jukwaani,mbele ya wakazi wa mji huo ambao walishangilia na kupiga mayowe kila kona ya Uwanja. Mgombea Urais wa CCM Dkt John Pombe Magufuli akiwahutubia wananchi katika viwanja vya Kayanga,Karagwe mjini kwenye mkutano wa hadhara wa...

 

9 years ago

Michuzi

MAGUFULI AWAKUNA WANANCHI WA KARAGWE,APIGA PUSH UP JUKWAANI,WANANCHI WASHANGILIA

Kuonyesha kwamba yuko fiti ana anastahili kupewa ridhaa ya kuiongoza Tanzania katika awamu ya kipindi cha tano,Dkt John Pombe Magufuli aliwashangaza wananchi wa mji huo kwa kupiga push up zaidi ya tano jukwaani,mbele ya wakazi wa mji huo ambao walishangilia na kupiga mayowe kila kona ya Uwanja.
 Mgombea Urais wa CCM Dkt John Pombe Magufuli akiwahutubia wananchi katika viwanja vya Kayanga,Karagwe mjini asubuhi hii kwenye mkutano wa hadhara wa kampeni.   Mgombea Urais wa CCM Dkt John Pombe...

 

9 years ago

Mwananchi

Marekani yamtaka Magufuli kumaliza mgogoro Zanzibar

Siku moja baada ya Dk John Magufuli kuapishwa kuwa Rais wa Awamu ya Tano wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Marekani imeitaka Serikali yake kuutafutia ufumbuzi wa haraka mgogoro wa Zanzibar.

 

10 years ago

Michuzi

CCM DMV, MAREKANI, YAMPONGEZA DKT. JOHN POMBE MAGUFULI

CCM DMV TUNATOA PONGEZI KWA MWENYEKITI WATAIFA NA WAJUMBE WOTE TOKA KAMATI KUU HALMASHAURI KUU MKUTANO MKUU KWA KUTUPATIA MGOMBEA MCHAPAKAZI MAKINI AMBAYE ATAPEPERUSHA BENDERA YA CHAMA CHA, MAPINDUZI OCTOBER MWAKA HUU NA CHAMA KITAPATA USHINDI MKUBWA TUNA IMANI NAYE KUBWA MH JOHN POMBE MAGUFULI HONGERA SANA

 

9 years ago

Mtanzania

Mitt Romney ; Gavana wa Marekani aliyetoa hotuba darasa kwa magufuli na Lowassa.

mitt romneyNa Michael Maurus kwa msaada wa mitandao

GAVANA wa 70 wa Marekani, Mitt Romney, aliwahi kutoa hotuba ya aina yake kuelekea Uchaguzi Mkuu wa nchi hiyo mwaka 2012, ambayo hadi leo imebaki kuwa darasa tosha kwa wanaojitokeza kuwania uongozi.

Kwa hapa Tanzania, hotuba hiyo inaweza ikawa somo kwa wale wote waliojitokeza kuwania nafasi mbalimbali za uongozi kama John Maguli, Edward Lowassa, Anna Mghwira na wengineo wanaowania urais.

Wakati Magufuli akiwania nafasi hiyo kupitia Chama Cha Mapinduzi...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani