Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Q-Chief adai ‘Mkungu wa Ndizi’ inahit kimataifa

Chilla

Q-Chief amedai amepokea pongezi nyingi kutoka mataifa mbalimbali baada ya wimbo wake aliofanya na TID ‘Mkungu wa Ndizi’ kutoka.

Chilla

Muimbaji huyo amesema ikiwa ni wiki moja tangu aachie wimbo huo, amegundua kuwa umekuwa na mrejesho chanya na mkubwa wa kimataifa kuliko nyimbo zake alizowahi kufanya.

“Mwenyezi Mungu ametenda miujiza,” ameiambia Bongo5. “Sina jibu kwa nini wimbo wangu unanya vizuri zaidi nje, hata mimi nashangaa simu za nje ni nyingi sana kuhusu huu wimbo. Nimepigiwa siku...

Bongo5

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Bongo5

Video: TID na Q-Chief wazungumzia kazi yao mpya ‘Mkungu wa Ndizi’

qchief

Wasanii wakongwe nchini TID na Q-Chief wameachia kazi yao ya pamoja iitwayo ‘Mkungu wa Ndizi.’

Wakiongea na Bongo5, wasanii hao walisema kuwa wimbo huo wenye mahadhi ya pwani una tofauti kubwa na kazi zao za nyuma.

Wamesema wameamua kuileta tena ladha ya muziki wa pwani wa Afrika Mashariki ambayo wanaamini imepotea redioni na pia kuonesha ukongwe wao.

“Hii ngoma mimi naiweka kwenye history kwasababu watu walishasema ‘hivi hawa watakuja kufanya tena kazi pamoja!’, amesema Q-Chief.

Amedai...

 

9 years ago

Bongo5

Q Chief adai ngoma yake mpya ‘Chawa’ itasababisha mtafutano!

Q Chief amedai kuwa amekuwa akipewa tahadhari kuhusu kutoa wimbo wake mpya uitwao’Chawa’ ambao wengi wanahisi utamletea matatizo. Q amedai kuwa wimbo ni kwaajili ya kuondoa ‘chawa’ wa mjini. “Kuna ngoma mpya inaitwa Chawa,” muimbaji huyo alikiambia kipindi cha XXL cha Clouds FM. “Unajua mjini kuna Chawa wengi kuna jinsi ya kuwapunguza. Chawa ni kama […]

 

10 years ago

Bongo5

TID adai ni tamaa ndio iliyomuondoa Q-Chief Top Band

Hivi karibuni kupitia kipindi cha Siz Kitaa cha Clouds TV, Q-Chief alidai kuwa sababu za kujiondoa kwenye bendi ya TID, Top Band ni baada ya muimbaji huyo wa ‘Zeze’ kumdhulumu mamilioni ya shilingi kutoka kwenye album ya bendi hiyo. Hata hivyo TID akiongea kwenye kipindi hicho hicho, amedai kuwa hiyo si sababu sahihi na kwamba […]

 

9 years ago

Bongo5

Meneja wa Q-Chief na MB Dog adai ameshatumia zaidi ya mil 300 kwa wasanii hao

Kampuni ya QS Mhonda J Entertainment inayowasimamia Q-Chief, MB Dog na wasanii wengine imedai hadi sasa imetumia zaidi ya shilingi milioni 300 kwa wasanii wake katika kipindi cha miaka minne. Mkuregenzi wa kampuni hiyo, J. Mhonda amesema licha ya kutumia gharama hiyo mpaka sasa hategemei kama itarudi. “Kampuni nimeianzisha ndani ya miaka 4 iliyopita, ndani […]

 

10 years ago

Vijimambo

YANGA 'YABEBESHWA MKUNGU WA NDIZI' KAITABA BUKOBA

 MASHABIKI WAINGILIA KATI CANAVARO KULIMWA RED, MWAMUZI AONDOKA CHINI YA ULINZIMSHAMBULIAJI Paul Ngway, leo ameiwezesha timu yake ya Kagera Sugar, kuibuka na ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Yanga katika mchezo wa Ligi Kuu yaa Tanzania Bara, uliopigwa kwenye Uwanja wa kaitaba mjini Bukoba. Bao hilo pekee lilipatikana katika dakika ya 52.
Yanga SC ilimaliza mchezo huo huku wakiwa pungufu, baada ya Nahodha wake, Nadir Haroub ‘Cannavaro’ kutolewa kwa kadi nyekundu dakika ya 80 na mwamuzi Abdallah...

 

10 years ago

TheCitizen

Tanzania’s youngest chief: Chief Adam Abdul

Meeting him for the first time, he looks like any other 14 year old boy who enjoys playing games on the laptop, riding his bicycle and enjoys playing basketball when he is not doing his homework or helping out in their family shop.

 

10 years ago

TheCitizen

Chief’s grandson wants to be ‘paramount chief’

The grandson of Lyagalaga Mwandosya, who served as chief of Mpulo Hamlet, located some 50 kilometres from Tukuyu Town is one of the cadres who are seeking CCM’s nomination for the presidency in the October General Election

 

10 years ago

Michuzi

Mkurugenzi wa Ushirikano wa Kimataifa awashauri vijana kufanya kazi na Mashirika ya Kimataifa

Mkurugenzi Idara ya Ushirikiano wa Kimataifa, Balozi Celestine Mushy akitoa mada katika  Kongamano la Vijana. Wakati wa kongamano hilo Balozi Mushy amewashauri vijana kufanya kazi na Taasisi za Umoja wa Mataifa ili kujipatia uzoefu wa kujielezea ikiwa ni pamoja na kujiamini. Kongamano hilo lilifanyika katika Ukumbi wa Karimjee, Jijini Dar es SalaamMwakilishi Mkazi wa UNFPA Tanzania Dkt. Natalia Kanem (Wa pili kutoka kulia), Mkurugenzi Idara ya Maendeleo ya Vijana Wizara ya Habari, Vijana,...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani