Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Q Chief na MB Dog kurudi shule

page

Meneja na mwezeshaji wa Q Chief na MB Dog, QS J Mhonda anatarajia kuwarudisha darasani wasanii hao.

page

Akiongea na Planet Bongo ya East Africa Television, Mhonda alisema hatua hiyo itawasaidia wasanii hao kuweza kujitegemea nje ya muziki.

“Nataka kuwapeleka katika fani mbalimbali kama ujenzi, uchoraji na fani nyingine. Q Chief na MB Dog nao wataenda kujifunza ili waweze kufanya issue nyingine nje ya muziki,” alisema Muhonda.

QS J Mhonda Entertainment ni moja ya kampuni kubwa za muziki nchini...

Bongo5

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Bongo5

Meneja wa Q-Chief na MB Dog adai ameshatumia zaidi ya mil 300 kwa wasanii hao

Kampuni ya QS Mhonda J Entertainment inayowasimamia Q-Chief, MB Dog na wasanii wengine imedai hadi sasa imetumia zaidi ya shilingi milioni 300 kwa wasanii wake katika kipindi cha miaka minne. Mkuregenzi wa kampuni hiyo, J. Mhonda amesema licha ya kutumia gharama hiyo mpaka sasa hategemei kama itarudi. “Kampuni nimeianzisha ndani ya miaka 4 iliyopita, ndani […]

 

11 years ago

Tanzania Daima

DC ataka waliokatishwa masomo kurudi shule

SERIKALI wilayani Nzega, Tabora imewaagiza viongozi wa Idara ya Elimu kuwarudisha madarasani watoto waliokatizwa masomo kwa sababu mbalimbali. Hayo yamesemwa na Mkuu wa Wilaya (DC) ya Nzega, Bituni Msangi alipozungumza...

 

11 years ago

Mwananchi

Gumba: Shule ya msingi iliyoonja ufalme na kurudi utumwani

Ilipoongoza kitaaluma wilayani kwake kwa mara ya kwanza, ndipo ilipokuwa mara ya mwisho kuonja kiti hicho.

 

11 years ago

Mwananchi

Elimu ndiyo kila kitu, tusiogope kurudi shule

Ujasiriamali ni sifa ya asili aliyonayo kila mwanamke duniani. Lakini ili kuwa na tija hata ufanisi zaidi katika kazi hiyo, elimu ya darasani inahitajika.

 

9 years ago

Bongo5

Mwanangu alifukuzwa shule kwa kumpiga mwenzie aliyemtania baba yake ni teja — Q Chief

Q Chief amedai kuwa aliumia mno pale mtoto wake alipofukuzwa shule baada ya kupigana na mwanafunzi mwenzake aliyemtania kuwa baba yake ni teja! Q-Chief alikuwa akizungumza na BBC Swahili hivi karibuni. Mtoto wa Q Chief “Siku moja mwanangu alikuja analia sana, akaniambia baba mwanafunzi mmoja amesema baba yake si teja tu. Nikamwambia kwahiyo ukafanyaje akaniambia […]

 

10 years ago

TheCitizen

Tanzania’s youngest chief: Chief Adam Abdul

Meeting him for the first time, he looks like any other 14 year old boy who enjoys playing games on the laptop, riding his bicycle and enjoys playing basketball when he is not doing his homework or helping out in their family shop.

 

10 years ago

TheCitizen

Chief’s grandson wants to be ‘paramount chief’

The grandson of Lyagalaga Mwandosya, who served as chief of Mpulo Hamlet, located some 50 kilometres from Tukuyu Town is one of the cadres who are seeking CCM’s nomination for the presidency in the October General Election

 

10 years ago

Michuzi

Dog For Sale

 Puppies Details:Specie: German ShepherdGender: FemaleAge: 2 Month (Puppies)Immunization: Distemper; Canine Viral Hepatitis;  Leptospirosis;  Parvovirus and RabiesClinic card: AvailablePedigree: Very GoodContact: 0713353939



 

11 years ago

GPL

MB DOG,FAMILIA YAKE, KABAAH!

Staa wa Bongo Fleva, Mbwana Mohamed ‘Mb Dog’. BAADA ya kupotea kwa muda, huku wengi wakishindwa kutambua anaishi wapi na nani, hatimaye picha za staa wa Bongo Fleva, Mbwana Mohamed ‘Mb Dog’ na familia yake zimenaswa! Kutokana na desturi ya staa huyo kukaa ‘mbali’ na kamera husan katika masuala yahusuyo familia, paparazi wetu alimuotea nyumbani kwake Kawe, jijini Dar na kumtandika picha...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani