DC ataka waliokatishwa masomo kurudi shule
SERIKALI wilayani Nzega, Tabora imewaagiza viongozi wa Idara ya Elimu kuwarudisha madarasani watoto waliokatizwa masomo kwa sababu mbalimbali. Hayo yamesemwa na Mkuu wa Wilaya (DC) ya Nzega, Bituni Msangi alipozungumza...
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
9 years ago
Mwananchi19 Nov
Maguli ataka Sh50 mil kurudi Simba
9 years ago
Bongo522 Dec
Q Chief na MB Dog kurudi shule
Meneja na mwezeshaji wa Q Chief na MB Dog, QS J Mhonda anatarajia kuwarudisha darasani wasanii hao.
Akiongea na Planet Bongo ya East Africa Television, Mhonda alisema hatua hiyo itawasaidia wasanii hao kuweza kujitegemea nje ya muziki.
“Nataka kuwapeleka katika fani mbalimbali kama ujenzi, uchoraji na fani nyingine. Q Chief na MB Dog nao wataenda kujifunza ili waweze kufanya issue nyingine nje ya muziki,” alisema Muhonda.
QS J Mhonda Entertainment ni moja ya kampuni kubwa za muziki nchini...
9 years ago
Habarileo23 Nov
Mwinyi ataka Watanzania kuchangamkia masomo KIU
RAIS mstaafu wa Awamu ya Pili ambaye pia ni Mkuu wa Chuo Kikuu cha Kimataifa cha Kampala (KIU) kilichopo Gongo la Mboto, Dar es Salaam, Ali Hassan Mwinyi ametoa mwito kwa watanzania kujiunga na chuo hicho ili kunufaika na elimu yake.
11 years ago
Mwananchi15 Jul
Gumba: Shule ya msingi iliyoonja ufalme na kurudi utumwani
11 years ago
Mwananchi26 Jan
Elimu ndiyo kila kitu, tusiogope kurudi shule
9 years ago
StarTV24 Oct
Punda wakwamisha masomo Shule Sekondari Nyerere
Wanafunzi wa shule ya sekondari Nyerere wilayani Iringa wanalazimika kuvunja masomo kila siku kwa madai ya Punda kuingia katika vyumba vya madarasa na kusababisha usumbufu kwao na kwa walimu.
Punda hao wanadaiwa kujenga mazoea ya kwenda shuleni hapo kila siku asubuhi kama ilivyo kwa wanafunzi.
Punda ni miongoni mwa wanyamakazi, ambao hufugwa kwa lengo la kusaidia shughuli mbalimbali na hasa katika suala la ubebeji wa mizigo, licha ya baadhi ya makabila – nyama ya Punda kuitumia kama ni...
11 years ago
Habarileo27 Jan
Shule za msingi serikalini masomo yote kwa Kiingereza
WAKATI kukiwa na mjadala kuhusu lugha ipi itumike kufundishia katika shule za msingi za Serikali, kati ya Kiingereza na Kiswahili, tayari baadhi ya shule hizo zimeshaanza kuacha kutumia Kiswahili kufundisha masomo yote na zingine zinajiandaa kufanya hivyo. Kwa muda mrefu tangu Uhuru, shule karibu zote za msingi za Serikali zilikuwa zikitumia Kiswahili kufundishia masomo yote isipokuwa somo la Kiingereza.
5 years ago
MichuziPROF NDALICHAKO ATANGAZA RASMI RATIBA YA MITIHANI NA MASOMO, ATAKA TAHADHARI YA CORONA IZINGATIWE
KUFUATIA Rais Dk John Magufuli jana kutangaza kufungua Shule zote ifikapo Juni 29, leo Waziri wa Elimu Sayansi na Teknolojia, Prof Joyce Ndalichako ametangaza ratiba ya masomo na mitihani kwa ajili ya kukamilisha mwaka wa masomo.
Akizungumza na wandishi wa habari jijini Dodoma, Waziri Ndalichako amesema muhula wa kwanza wa masomo utamalizika Agosti 28 mwaka huu na kuanza kwa muhula mpya utakaoishia Desemba 18 mwaka huu.
Prof Ndalichako amesema ili kukamilisha muhtasari...
10 years ago
Michuzimahafali ya wanafunzi wa masomo ya awali wa shule Joyland yafana sana