Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mwinyi ataka Watanzania kuchangamkia masomo KIU

RAIS mstaafu wa Awamu ya Pili ambaye pia ni Mkuu wa Chuo Kikuu cha Kimataifa cha Kampala (KIU) kilichopo Gongo la Mboto, Dar es Salaam, Ali Hassan Mwinyi ametoa mwito kwa watanzania kujiunga na chuo hicho ili kunufaika na elimu yake.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Michuzi

Mwinyi awaasa wanafunzi kuchangamkia fursa ya kupata taaluma Chuo Kikuu cha Kampala

Mkuu wa Chuo Kikuu cha Kampala International cha jijini Dar es Salaam,Rais Mstaafu wa Tanzania Mheshimiwa Ali Hasani Mwinyi amewataka watanzania kuchangamkia fursa za masomo ya taaluma mbalimbali nanayotolewa na Chuo Kikuu cha Kampala kilichopo eneo la Gongo la Mboto jijini Dar es Salaam.
Akiongea wakati wa mahafali ya tatu ya chuo hicho kwa upande wa Tanzania jana ambapo wahitimu walitunikiwa shahada ,stashahada na vyeti vya kufuzu fani mbalimbali alisema chuo hicho kinatoa elimu bora ...

 

9 years ago

Mwananchi

Ilani ya Ukawa na kiu ya Watanzania

Agosti 29, vyama vinne vya Chadema, CUF, NCCR-Mageuzi na NLD vinavyounda Umoja wa Katiba ya Wananchi  (Ukawa), vilizindua kampeni zake.

 

10 years ago

Tanzania Daima

UKAWA timizeni kiu ya Watanzania

VYAMA vitatu vya siasa vinavyounda kundi la Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA), vimeahidi kuzunguka nchi nzima kushawishi wananchi waikatae katiba mpya inayopendekezwa kwa sababu imepuuza maoni yao. UKAWA ambayo...

 

10 years ago

Habarileo

Wassira ataka wakulima kuchangamkia benki yao

WAZIRI wa Kilimo, Chakula na Ushirika, Steven WassiraWAZIRI wa Kilimo, Chakula na Ushirika , Stephen Wassira, amewataka wakulima na wadau wa sekta ya kilimo cha mazao ya aina mbalimbali ikiwemo kahawa kuanza kujipanga kutumia Benki ya Kilimo kwa kuingia mikataba ili waweze kupata mikopo kwa ajili ya kupata pembejeo na vifaa vya kilimo.

 

11 years ago

Dewji Blog

Watanzania wametakiwa kuchangamkia fursa za uwekezaji

IMG_4489

IMG_4507

Ofisa utumishi Mkuu  Wilaya ya kinondoni  Bwana Godfrey Mugomi akikata utepe  kuashiaria  uzinduzi  wa Hoteli ya kisasa STAR CITY HOTEL iliyopo Afrikana Sinza wanaoshudia ni Mkurugezi mkuu na mmiliki wa Hoteli hiyo Bwana Obadia Mtewele na Mkewe Joyce Msigwa hoteli hiyo ya kisasa inayo uwezo wa kupokea wageni  kutoka nje ya nchi na ndani ya nchi.

IMG_4494

Muhudumu aliye fuzu katika kazi za Hoteli akiandaa vyombo kwa ajili ya wageni.

IMG_4492

 

10 years ago

Michuzi

CBA YAHIMIZA WATANZANIA KUCHANGAMKIA MIKOPO YA NYUMBA

Meneja Masoko wa kampuni ya AVIC International,Bw.He Xianlong (katikati) akimwonyesha Mkurugenzi wa Benki ya CBA Tanzania,Bw.Julius Mcharo na maofisa alioambatana nao ramani za nyumba  zilizojengwa kwa ajili ya kuuzwa wakati wa ziara ya maofisa wa CBA walipotembelea mradi huo leo. CBA imeingia mkataba wa kutoa mikopo kwa wananchi wanaotaka kununua nyumba hizo kwa ajili ya makaziMaofisa wa CBA Na Avic wakiangalia nyumba ambazo  zimejengwa kwa ajili ya kuuzwa kwa wananchi.  Mkurugenzi Mtendaji...

 

10 years ago

Vijimambo

Watanzania wahimizwa kuchangamkia fursa za ajira, Emirates

Mkurugenzi wa Idara ya Mashariki ya Kati katika Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Balozi Simba Yahya akizungumza na waandishi wa Habari katika ukumbi wa Habari-Maelezo. Balozi Yahya aliwaomba wanahabari hao kuwafikishia ujumbe Watanzania wote ili wachangamkie fursa za ajira katika Shirika la Ndege la Emirates. Wengine katika picha, kulia ni Konseli Mkuu wa Konseli ya Tanzania nchini Dubai Bw. Omar Mjenga na kushoto ni Kaimu Mkuu Mtendaji kutoka Wakala wa Huduma za Ajira...

 

5 years ago

Michuzi

WATANZANIA WATAKIWA KUCHANGAMKIA FURSA KILI MARATHON.


Waziri wa Maliasili na Utalii Dkt. Hamisi Kigwangalla akionesha Nishani aliyopewa mara baada ya kumaliza mbio za Kilometa 21 kwenye mbio za Kili Marathon leo mjini Moshi.

KILI MARATHON 2020: Waziri wa Maliasili na Utalii Dk. Hamisi Kigwangalla akishiriki mbio za Kili Marathon ( KM 21) mjini Moshi leo. Waziri wa Maliasili na Utalii Dk. Hamisi Kigwangalla akitoa nishani na zawadi kwa washindi wa Kili Marathon 2020 leo mjini Moshi.



Na. Aron Msigwa – WMU, Moshi.

Waziri wa Maliasili na Utalii...

 

5 years ago

Michuzi

Waziri Mwakyembe ahimiza watanzania kuchangamkia fursa

TATIZO la Watanzania kushindwa kuziwahi fursa duniani, kunafanya mataifa mengine kuwahi kuzitumia fursa ambazo watanzania ndio wangeliweza kuzichukua na kufaidika nazo.Aidha imeelezwa kuwa kutokana na tatizo hilo upo uwezekano mkubwa duniani wa Kiswahili ambacho ni fursa kwa watanzania kusambazwa na taifa la China kutokana na juhudi kubwa zinazofanywa na taifa hilo.Kauli hizo zimetolewa na Waziri wa Habari, Vijana, Michezo na Utamaduni, Dk Harrison Mwakyembe wakati akizindua taarifa ya...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani