Query as Meghji votes as Islander
>More claims of voter tampering in the just-ended Constituent Assembly (CA) continue to emerge, this time involving a member from the Union Parliament from the Mainland who reportedly voted as a representative from Zanzibar.
TheCitizen
Habari Zinazoendana
11 years ago
Mwananchi16 Oct
Kura ya Meghji yazua utata mpya
Suala la Mjumbe wa lililokuwa Bunge Maalumu la Katiba, Zakia Meghji kupiga kura upande wa Zanzibar wakati wa kupitisha Katiba Inayopendekezwa, limechukua sura mpya baada ya uliokuwa uongozi wa Bunge hilo kusema, “hakuna sehemu yoyote iliyobainisha kwamba alikuwa mjumbe kutoka Bara.â€
11 years ago
Mwananchi24 Oct
Chadema walaani Meghji kuipigia kura Zanzibar
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimesema kitendo kilichofanywa na uongozi wa lililokuwa Bunge Maalumu la Katiba cha kumfanya Mjumbe wa Bunge hilo, Zakia Meghji kupiga kura kama Mzanzibar badala ya ‘Mtanzania Bara’ ni ‘uhuni’ unaotakiwa kuchukuliwa hatua na wananchi.
11 years ago
Mwananchi22 Oct
Meghji alisajiliwa Bara kamati Bunge Maalumu
Utata wa kupiga kura unaomhusu Mjumbe wa lilikokuwa Bunge Maalumu, Zakia Meghji umechukua sura mpya baada ya kubainika kwamba alipiga kura upande wa Tanzania Bara tofauti na ilivyokuwa wakati wa kupiga kura ya uamuzi wa kupitisha Katiba Inayopendekezwa ambako alipiga kura upande wa Zanzibar.
11 years ago
Habarileo07 Jul
Meghji azawadiwa kwa kukaa miaka 9 Wizara ya Maliasili
WIZARA ya Maliasili na Utalii imemzawadia aliyewahi kuwa waziri wake, Zakhia Meghji kwa kuwa pekee aliyeiongoza kwa muda mrefu.
11 years ago
Michuzi.jpg)
michango ya waheshimiwa zakhia meghji na Frederick Migala wavutia wengi bungeni dodoma
.jpg)
.jpg)
.jpg)
10 years ago
Michuzi
mamaa wa mitindo asia idarous apata tuzo ya Zakhia Meghji Life Time Achievement 2014

10 years ago
Sunday Leader03 Oct
Query Over Blood Ivory Disposal
Sunday Leader
Sunday Leader
Questions have been raised as to why the new government has not yet considered disposing of the shipment of contraband blood ivory that was seized by the Sri Lanka Customs in May 2012, while being transshipped to Dubai from Tanzania. Stock of ...
10 years ago
TheCitizen11 Dec
Residents query sand exports
Residents of Ntondo Village in Lindi Region have called for government intervention in their dispute with Pack, a mining company they suspect of smuggling out of the country tonnes of sand believed to contain minerals.
10 years ago
TheCitizen03 Aug
Parliamentarians query education standards in EA
Poverty could be the reason behind the falling educational standards in East Africa, according to a member of the East African Legislative Assembly (Eala) from Kenya Judith Pareno.
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
08-May-2025 in Tanzania