Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


R. Madrid ilitudhalilisha asema kocha wa Rayo

Kocha wa Rayo Vallecano Paco Jemez amesema kuwa timu yake imedhalilishwa na kuteswa kwa kufungwa 10-2 na Real Madrid hapo jana.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

BBCSwahili

Madrid yaiadhibu Rayo 10-2 La Liga.

Klabu ya soka ya Real Madrid iliifanikiwa kuichapa Timu ya Rayo Vallecano Bao 10-2 katika Mechi ya ligi kuu ya Hispania .

 

9 years ago

MillardAyo

Real Madrid waibuka na ushindi wa goli 10-2 dhidi ya Rayo Vallecano, Cheki Video ya magoli (+Pichaz)

Baada ya wapinzani wao wa jadi FC Barcelona kufanikiwa kuibuka na ushindi wa goli 3-0 dhidi ya River Plate ya Argentina katika fainali ya Klabu Bingwa Dunia, Real Madrid wameamishia hasira zao katika mchezo wa Ligi Kuu Hispania dhidi ya klabu ya Rayo Vallecano. Real Madrid walikuwa katika dimba lao la nyumbani la Santiago Bernabeu huku […]

The post Real Madrid waibuka na ushindi wa goli 10-2 dhidi ya Rayo Vallecano, Cheki Video ya magoli (+Pichaz) appeared first on TZA_MillardAyo.

 

10 years ago

BBCSwahili

Benitez ndio kocha mpya wa Real Madrid

Aliyekuwa kocha wa Napoli Rafa Benitez amethibitishwa kuwa Kocha wa Real Madrid katika kandarasi ya miaka mitatu.

 

10 years ago

Africanjam.Com

MMOJA KATI YA HAWA KUIBUKA KOCHA MPYA WA REAL MADRID

Jina la kocha wa zamani wa Liverpool Rafa Benitez limetajwa kuongoza orodha ya makocha wanaotarajiwa kuwania nafasi ya kumrithi kocha wa sasa Carlo Ancelotti baada ya Mtaliano huyo kuwa hatarini kufukuzwa kazi kwa mujibu wa ripoti kadhaa zilizoonekana kwenye vyombo vya habari .Benitez ambaye kwa sasa anafundisha klabu ya Napoli ya nchini Italia amepewa kipaumbele kama chaguo la kwanza la kurithi nafasi ya Ancelotti na rais wa Real Madrid Florentino Perez ambaye tayari inasemekana kuwa...

 

10 years ago

Bongo5

Rafael Benitez atangazwa kuwa kocha mpya wa Real Madrid

Baada ya kumtimua kocha wake Carlo Ancelotti, klabu ya Real Madrid sasa imemthibitisha ramsi Rafael Benitez kama kocha wake mpya, zikiwa ni siku mbili tu tangu kocha huyo aachane na klabu yake ya zamani, Napoli Madrid imethibitisha Benitez ametia saini mkataba wa miaka mitatu na ataanza kazi yake mara tu baada ya mapumziko baada ya […]

 

10 years ago

Africanjam.Com

RAFAEL BENITEZ ATANGAZWA RASMI KUA KOCHA MPYA WA REAL MADRID

Klabu ya Real Madrid imemthibitisha Mhispania Rafael Benitez kama kocha wake mpya zikiwa zimepita siku mbili tangu kocha huyo alipoachana na klabu yake ya zamani ya Napoli.Benitez ambaye ni mzaliwa wa Madrid , ana historia ndefu ndani ya klabu hiyo akiwa amewahi kuichezea akiwa kwenye kikosi cha vijana kabla ya kuwa kocha wa timu za vijana na baadae kikosi cha kwanza akiwa chini ya Vicente Del Bosque.
Madrid imethibitisha kuwa Bneitez ametia saini mkataba wa miaka mitatu na ataanza kazi yake...

 

10 years ago

BBCSwahili

Balotelli haondoki ng'o, asema kocha

Brendan Rodgers amesema kuwa hana mipango ya kumuuza mshambuliaji wa kilabu hiyo Mario Baloteli

 

10 years ago

BBCSwahili

Kocha asema Adebayor hana nidhamu

Mkufunzi mpya wa timu ya Togo Tom Saintfiet amemshtumu nahodha wa timu hiyo Emmanuel Adebayor kwa ukosefu wa nidhamu baada ya mshambuliaji huyo wa Tottenham kushindwa kujiunga na kikosi hicho

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani