Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


RADIO CALL ZA KISASA ZAINGIA NCHINI

Na Mwandishi Wetu,Globu ya JamiiMAJANGA mbalilmbali nchini ambayo yamekuwa  yakitokea  na kushindwa kupata msaada ni kutokana na kuwa vifaa duni vya mawasiliano ya radio.Akizungumza na waandishi habari leo jijini Dar es Salaam wa Maonyesho na Mkutano wa Mawasiliano ya Radio za Kisasa ‘Radio Call’ 
Naibu Mkurugenzi wa Masafa wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA), Libena Denis amesema kuwa kazi kubwa na kuona mawasiliano ya radio yanakua  na hivyo TCRA lazima isimamie.
Denis amesema kuwa...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

TIB NA DBSA ZAINGIA MKATABA KUKOMBOA SEKTA YA UCHUKUZI NCHINI

 Mkurugenzi wa Mipango Mikakati wa Benki ya Rasilimali nchini (TIB Development Bank), Jaffar Machano akifungua mkutano huo wa hafla ya utiaji saini mkataba wa makubaliano.  Mkurugenzi Mkuu wa Benki ya Rasilimali nchini (TIB Development Bank), Peter Noni akizungumza na wadau wakati wa hafla hiyo.…

 

11 years ago

Mwananchi

BBC Swahili yafungua ofisi za kisasa nchini

>Shirika la Utangazaji la Uingereza (BBC), limefungua ofisi zake jijini hapa kwenye Jengo la Tangaza, Mikocheni, zenye vifaa vya kisasa vilivyogharimu Dola 1 milioni za Marekani.

 

11 years ago

Mwananchi

Teknolojia ya kisasa itaondoa changamoto za sekta ya ujenzi nchini

>Bodi ya Usajili ya Wasanifu Majengo na Wakadiriaji Ujenzi (AQSRB) imesema , utumiaji wa teknolojia ya kisasa katika sekta ya ujenzi ni jibu la uhakika la changamoto nyingi zinazoikabili sekta ya maendeleo ya miundombinu Tanzania.

 

9 years ago

Bongo5

Shujaaz radio show na DJ Tee kuanza kuruka hewani kupitia East Africa Radio

EAR - Online Promo

Unamkumbuka yule dogo aliyeanzisha redio stesheni yake nyumbani kwao?

EAR - Online Promo

Bila shaka umewahi kusoma story yake kwenye kijarida cha kila mwezi kiitwacho SHUJAAZ ambacho husambazwa na gazeti la Mwanaspoti na vibanda vya Coca Cola.

Sasa hivi, dogo ana habari mpya na njema kwa vijana na wote wanaomfuatilia. Nyota imeanza kung’ara upande wake na sasa redio kubwa Tanzania EAST AFRICA RADIO imeamua kumpa nafasi aweze kusikika hewani na show yake mpya iitwayo SHUJAAZ.

“Show yangu itahusika na...

 

10 years ago

Michuzi

Exclusive: Maulid Kitenge wa Radio One ahamia Radio EFM

Mtangazaji mahiri wa habari za michezo wa siku nyingi Maulidi Baraka Kitenge amejiunga na kituo cha radio kiitwacho EFM 93.7 kilichopo Kawe jijini Dar Es salaam leo.
Kutokana na tafiti ya ipsos ya mwaka 2013,inasemekana kuwa mtangazaji huyo wa zamani wa kituo cha redio one,ndie mtangazaji bora wa michezo nchini Tanzania.
Mkurugenzi wa vipindi wa Radio EFM,Dickson Ponela,ameeleza kufurahishwa kwake kwa mtangazaji huyo kinara kuhamia katika kituo hicho.
“Mpaka sasa Maulidi Kitenge...

 

10 years ago

Africanjam.Com

10 years ago

Michuzi

KITUO CHA RADIO 5 WAADHIMISHA SIKU YA RADIO DUNIANI

SAM_1097
Kushoto ni Mkuu wa vipindi vya Radio 5 Mathew Philip na Ashura Mohamed wakiwa katika picha ya  pamoja na wanafunzi wa sekondari walioshiriki katika maadhimisho hayo ya Radio duniani.  Akizungumza na waandishi wahabari hivi karibuni Mkuu wa vipindi wa Radio 5 Bw.Mathew Philip alisema maadhimisho hayo yalidhaminiwa na kituo hicho pamoja na Farm Radio, ikiwa ni kuhadhimisha siku ya Radio duniani ambapo ilifanyika  tarehe 13/2/2015...

 

10 years ago

Michuzi

Wizara ya uchukuzi yasaini mkataba na kutekeleza amradi wa treni za kisasa nchini

Mkurugenzi wa Shirika la Reli Tanzania (TRL), Mhandisi Kipalo Kisamfu(aliyevaa koti la kaki), na Balozi wa heshima wa Tanzania nchini Marekani na mmiliki wa Kampuni ya M/s Shumoja kutoka nchini Marekani, Robert Shumake wakisaini Mkataba wa awali wa mradi wa treni za kisasa zitakazohudumia abiria kutoka stesheni ya Dar es Salaam mpaka Pugu kupitia Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere, leo asubuhi katika ofisi za Wizara ya Uchukuzi. Wanaoshuhudia na Waziri wa Uchukuzi, Dkt Harrison...

 

9 years ago

Dewji Blog

SHUJAAZ RADIO SHOW NA DJ TEE: Kuanza kuruka hewani Jumamosi hii East Africa Radio

EAR - Online Promo (1)

Unamkumbuka yule dogo aliyeanzisha redio stesheni yake nyumbani kwao? Bila shaka umewahi kusoma story yake kwenye kijarida cha kila mwezi kiitwacho SHUJAAZ ambacho husambazwa na gazeti la Mwanaspoti na vibanda vya Coca Cola. Sasa hivi, dogo ana habari mpya na njema kwa vijana na wote  wanaomfuatilia. Nyota imeanza kung’ara upande wake na sasa redio kubwa Tanzania EAST AFRICA RADIO imeamua kumpa nafasi aweze kusikika hewani na show yake mpya iitwayo SHUJAAZ.

“Show yangu itahusika na...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani