Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Rais aongeza miezi 6 kukamilisha maabara

Ujenzi wa maabara bado unasuasua, serikali imeongeza muda wa kukamilishwa.Rais Jakaya Kikwete ameongezea muda wa miezi sita kukamilishwa ujenzi wa maabara katika shule za sekondari nchini.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Rais Kikwete aongeza muda ujenzi wa maabara

Rais Jakaya Kikwete ameongeza miezi sita ya kukamilisha ujenzi wa maabara katika shule za sekondari nchini, baada ya muda wa miaka miwili alioutoa awali kumalizika Novemba 30, mwaka huu.

 

5 years ago

Michuzi

WAZIRI UMMY AUPATIA UONGOZI WA MKOA WA SINGIDA MIEZI SITA KUKAMILISHA VYUMBA VYA HOSPITALI



*****************************

Waziri wa Afya Mhe. Ummy Mwalimu ameupa uongozi wa Mkoa wa Singida miezi sita kuhakikisha unasimamia ujenzi wa jengo lenye vyumba vya Radiolojia, Maabara, Chumba cha upasuaji na Wodi ili uweze kukamilika na kuanza kutoa huduma ifikapo terehe 30 Disemba mwaka huu.

Waziri Ummy ametoa wito huo mapema leo wakati alipotembelea ujenzi wa jengo hilo ambalo bado lipo katika hatua ya msingi linalopatikana katika Hospitali mpya ya Rufaa ya Mkoa wa Singida. “Wizara imetoa...

 

5 years ago

CCM Blog

RAIS MUSEVENI UGANDA AONGEZA SIKU NYINGINE 21 KUKABILIANA NA CORONA

  Rais Yoweri Museveni wa Uganda ametangaza siku nyingine 21 kuanzia kesho April 15 hadi April May 05,2020 za Watu kuendelea kubaki nyumbani na kutofanya shughuli ambazo zilipigwa marufuku hapo awali ili kuzuia kuenea kwa virusi vya corona.
Mpaka sasa watu 54 wamegunduliwa kuwa na maambukizi ya virusi hivyo na kati yao wanne wamepona. Hakuna kifo kilichoripotiwa kufikia sasa.
Machi 31, Museveni alitangaza marufuku ya watu kutokutoka nje kwa siku 14, ambazo zilikuwa zinaisha leo Aprili 14.
Hii...

 

10 years ago

Michuzi

RAIS KIKWETE AREJEA NYUMBANI USIKU HUU BAADA YA KUKAMILISHA ZIARA YA KIKAZI YA USWISI

 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na mfanyakazi wa Shirika la Ndege la Uswisi katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam mara baada ya kurejea nyumbani baada ya ziara ya kikazi mjini GenevaRais Jakaya Mrisho Kikwete akiwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam mara baada ya kurejea nyumbani baada ya ziara ya kikazi mjini Geneva. PICHA NA IKULU
Akiwa mjini Geneva, Rais Kikwete ameongoza vikao vya  Jopo la Kimataifa...

 

10 years ago

Mwananchi

Kuna tofauti ya maabara na majengo ya maabara

Desemba 9 mwaka jana ndiyo ulikuwa mwisho wa utekelezaji wa agizo la Rais Jakaya Kikwete kuhusu ujenzi wa maabara katika shule za sekondari za Serikali nchi nzima.

 

10 years ago

Michuzi

Rais Kikiwete azindua Sera ya Elimu,Afungua maabara Shule ya Sekondari ya kata,Kipawa jijini Dar

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akizindua Sera ya Elimu na Mafunzo ya mwaka 2014 katika hafla iliyofanyika katika shule ya sekondari Majani ya Chai, Kipawa jijini Dar es Salaam leo.Kushoto ni Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi Dkt.Shukuru Kawambwa, na kulia ni Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Bwana Said Meck Sadik. Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete, Waziri wa Elimu na Mafunzo ya ufundi Dkt.Shukuru Kawambwa, Naibu Waziri wa elimu na ufundi Kassim Majaliwa wakiangalia jaribio la Sayansi lililokuwa...

 

11 years ago

GPL

Pluijm aongeza nane...

  Na Hans Mloli
MAPAMBANO ya usajili ghali na wa nguvu kwa ajili ya msimu ujao wa Ligi Kuu Bara yanaendelea na tayari Kocha Mkuu wa Yanga, Mholanzi, Hans van Der Pluijm, ameuagiza uongozi wa klabu hiyo kumletea majembe mapya nane. Mtu wa ndani wa Yanga, ambaye hakutaka kutajwa jina gazetini, amelijuza gazeti hili kuwa, Pluijm ametoa maagizo hayo kupitia kwenye ripoti yake ya msimu uliopita huku kati ya hao wachezaji nane...

 

10 years ago

BBCSwahili

Steve Hanse aongeza mkataba

Kocha Steve Hansen wa timu ya Rugby ya New Zealand amesaini kandarasi mpya itayomuweka mpaka mwaka 2017.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani