“Rais atasaini Sheria ya Mtandao”
Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam
WAZIRI wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto, Sophia Simba, amesema kuwa kutokana na hali ya nchi kwa sasa Rais Jakaya Kikwete, atasaini Sheria ya Mtandao.
Kauli hiyo aliitoa jana alipokuwa akizungumza na MTANZANIA, baada ya kuripotiwa na gazeti moja la kila siku (sio MTANZANIA) mwishoni mwa wiki katika usinduzi wa Kitabu cha Chozi la Sitti, ambapo alinukuliwa akisema kuwa Rais Kikwete ameshasaini sheria hiyo.
Akikanusha taarifa hiyo alisema kuna uwezekano...
Mtanzania
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-SwLvdmcGtzU/VR6mW0nXhwI/AAAAAAAHPHM/I20UdBUNpZU/s72-c/unnamed%2B(2).jpg)
Mtandao wa waandishi kupitia mitandao nchini watoa tamko didi ya muswada wa Sheria ya Makosa ya Mtandao,2015
![](http://3.bp.blogspot.com/-SwLvdmcGtzU/VR6mW0nXhwI/AAAAAAAHPHM/I20UdBUNpZU/s1600/unnamed%2B(2).jpg)
9 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/pip6g4jx0scaVHx034J**zfqJCMp4R580*mlQ*3JwqY*fV1YGnUBTjPfV3sN0cE*nChEq742nYQmV3yE*sMC2qUYD5V5wigm/50centcarcollectionfeatured.jpg?width=650)
SHERIA YA MTANDAO INAMFILISI 50
9 years ago
Habarileo23 Sep
‘Wapotoshaji sheria ya mtandao wapuuzwe’
WATANZANIA wametakiwa kuwapuuza wanaopotosha kuhusu sheria mpya ya mtandao wakidanganya kuwa inawabana wasio na hatia kwa kuunganisha kwenye kosa wapokeaji wa ujumbe au picha za mtandao zisizostahili.
11 years ago
Mwananchi19 Dec
Wahalifu mtandao ni kutungiwa sheria
9 years ago
Mzalendo Zanzibar16 Sep
Kesi ya kupinga sheria ya mtandao
Dar es Salaam. Mchakato wa usikilizwaji wa kesi ya Sheria ya Makosa ya Uhalifu wa Kimtandao umeanza, huku Mahakama Kuu nchini ikiipa Serikali siku 14 kuwasilisha mahakamani hapo majibu yake ya utetezi kuhusiana na kesi hiyo.Kesi […]
The post Kesi ya kupinga sheria ya mtandao appeared first on Mzalendo.net.
9 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/7fSVyjXLzVgQYNp73NHx9LdvZmj6IyEndpytMg*n2yFB55r6jXcsA1zDuEJbfFEnpPn*wr1wc2N*QX4mwRLIP64pFnNrFbPB/mai.jpg)
SHERIA YA MTANDAO YAMKUNA MAI
9 years ago
Michuzi04 Oct
TATHMINI YA SHERIA MTANDAO - RADIO ONE
"Nichukue nafasi hii kutambua na kuhamasisha tukio la kipekee katika anga ya usalama katika mitandao jambo ambalo limekuwa likiadhimishwa kila mwaka katika...
9 years ago
BBCSwahili01 Sep
Sheria ya mtandao yaanza Tanzania
9 years ago
Mtanzania16 Sep
Sheria ya mtandao yanasa watano
Asifiwe George na Ester Mnyika, Dar es Salaam
JESHI la Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, linawashikilia watu watano kwa tuhuma za kutumia vibaya mitandao ya kijamii kufanya uhalifu wa kutengeneza habari za uongo na uzushi dhidi ya viongozi au watu maarufu.
Akizungumza na waandishi wa habari ofisini kwake jana, Kamanda wa Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, Kamishna Suleimani Kova alisema watu hao wamekuwa wakitumia vibaya majina ya watu maarufu hasa wanasiasa.
Kova alitaja majina...