Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


TATHMINI YA SHERIA MTANDAO - RADIO ONE

SERIKALI imeshauriwa kuutumia vema mwezi Oktoba, mwaka huu kukuza uelewa  kwa wananchi juu ya masuala ya mitandao ili kupunguza kama si kuondoa kabisa uhalifu mitandaoni.Rai hiyo ilitolewa jana jijini Dar es Salaam na Mtaalamu wa Usalama wa Mitandao na Uchunguzi wa Makosa ya Kidijitali, Yusuph Kileo wakati akizungumza na Majira.

"Nichukue nafasi hii kutambua na kuhamasisha tukio la kipekee katika anga ya usalama katika mitandao jambo ambalo limekuwa likiadhimishwa kila mwaka katika...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

Mtandao wa waandishi kupitia mitandao nchini watoa tamko didi ya muswada wa Sheria ya Makosa ya Mtandao,2015

 Mtandao wa waandishi kupitia mitandao nchini, Tanzania Bloggers Network (TBN) tunamuomba Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dr. Jakaya Mrisho Kikwete kutumia mamlaka yake vyema kwa kutokupitisha muswada wa Sheria ya Makosa ya Mtandao, 2015 unaokandamiza uhuru wa mawasiliano mitandaoni.  Muswada wa sheria ya makosa ya Mtandaoni unaainisha makosa yanayohusiana na matumizi ya mfumo wa kompyuta na Teknolojia ya Habari na Mawasiliano, na kuweka utaratibu wa upelelezi, ukusanyaji na matumizi...

 

11 years ago

GPL

TUME YA UTUMISHI YATOA TATHMINI YA SHERIA, KANUNI NA AJIRA

Naibu Katibu wa Tume ya Utumishi wa  Umma akisisitiza jambo kwa wanahabari (hawapo pichani). Wanahabari wakisikiliza taarifa ya tume hiyo.…

 

10 years ago

GPL

SHERIA YA MTANDAO INAMFILISI 50

Mwanamuziki wa Hip Hop kutoka nchini Marekani, 50 Cent. WALE wanaopenda muziki wa Hip Hop au wanaofuatilia showbiz ya kimataifa wanafahamu vizuri jinsi 50 Cent alivyo na ‘sinema’ nyingi katika maisha yake. Moja kati ya mijengo anayomiliki 50 Cent. 50 Cent ambaye alikulia katika maisha ya kifukara kabla ya kupata utajiri mkubwa, amekuwa ni mtu wa kutawala katika vyombo vya habari kwa mambo tofauti, ikiwemo bifu, kutambia...

 

5 years ago

Michuzi

TCRA Kanda ya Mashariki:Wamiliki wa Radio kufuata Sheria,Kanuni pamoja miongozo

 Mkuu wa Kanda ya Mashariki wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) Mhandisi Lawi Odiero akisaini (mwenye miwani ) akisaini leseni ya MVIWATA  FM Radio  kulia  ni Mhasibu wa MVIWATA FM Radio Thamas Tembe  na kushoto ni Afisa Mwandamizi wa Masuala ya Sheria wa TCRA  Vaolet Eseko katika hafla ya kukabidhiana Leseni ya MVIWATA FM Radio.Mkuu wa Kanda ya Mashariki wa  Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) Mhandisi Lawi Odiero  akimkabidhi leseni ya Radio  Mhasibu wa MVIWATA FM Radio  Thomas...

 

10 years ago

Mtanzania

“Rais atasaini Sheria ya Mtandao”

sophia simbaNa Mwandishi Wetu, Dar es Salaam
WAZIRI wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto, Sophia Simba, amesema kuwa kutokana na hali ya nchi kwa sasa Rais Jakaya Kikwete, atasaini Sheria ya Mtandao.
Kauli hiyo aliitoa jana alipokuwa akizungumza na MTANZANIA, baada ya kuripotiwa na gazeti moja la kila siku (sio MTANZANIA) mwishoni mwa wiki katika usinduzi wa Kitabu cha Chozi la Sitti, ambapo alinukuliwa akisema kuwa Rais Kikwete ameshasaini sheria hiyo.
Akikanusha taarifa hiyo alisema kuna uwezekano...

 

10 years ago

Habarileo

‘Wapotoshaji sheria ya mtandao wapuuzwe’

WATANZANIA wametakiwa kuwapuuza wanaopotosha kuhusu sheria mpya ya mtandao wakidanganya kuwa inawabana wasio na hatia kwa kuunganisha kwenye kosa wapokeaji wa ujumbe au picha za mtandao zisizostahili.

 

10 years ago

GPL

SHERIA YA MTANDAO YAMKUNA MAI

Mtangazaji maarufu wa televisheni Bongo, Maimartha Jesse. Gladness Mallya MTANGAZAJI maarufu wa televisheni Bongo, Maimartha Jesse amekunwa na sheria ya mtandao iliyoanza kutumika hivi karibuni kwa kile alichosema matusi dhidi yake yamepungua. Akichonga na gazeti hili, Maimartha alisema amefurahi kupitishwa kwa sheria hiyo kwani alikuwa ni mtu wa kutukanwa kila siku na kwa ajili hiyo anamshukuru Rais Jakaya Kikwete kwa kuridhia...

 

10 years ago

BBCSwahili

Sheria ya mtandao yaanza Tanzania

Sheria ya Makosa ya kimitandao imeanza kufanya kazi leo nchini Tanzania

 

11 years ago

Mwananchi

Wahalifu mtandao ni kutungiwa sheria

Wizara ya Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia, imesema inaandaa sheria mpya ya usalama na uwezeshaji wa mitambo ya kuweka kumbukumbu ili kudhibiti matukio ya uhalifu wa mtandao.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani