Rais Chuo Kikuu Bugando hajarudisha kumbukumbu
>Rais wa Serikali ya Wanafunzi Chuo Kikuu cha Sayansi ya Afya na Tiba cha Bugando (Cuhas), Musa Mdede ambaye alitoweka katika mazingira ya kutatanisha Juni 17, mwaka huu bado hatambui alikuwa wapi.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Mwananchi23 Jun
Rais Chuo Kikuu Bugando aokotwa akiwa hoi Mwanza
>Rais wa Serikali ya Wanafunzi Chuo Kikuu cha Sayansi ya Afya na Tiba Bugando (Cuhas), Mussa Mdede ambaye alitoweka katika mazingira ya kutatanisha Juni 17, mwaka huu ameokotwa eneo la Busagara mkoani hapa akiwa hajitambui.
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-8xxESOC5VHw/VHCqTHijbHI/AAAAAAAGy8s/tALqK3IrqnI/s72-c/Untitled1.png)
TAARIFA YA MSIBA KATIKA CHUO KIKUU CHA KUMBUKUMBU YA HUBERT KAIRUKI (HKMU)
![](http://3.bp.blogspot.com/-8xxESOC5VHw/VHCqTHijbHI/AAAAAAAGy8s/tALqK3IrqnI/s1600/Untitled1.png)
Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Kumbukumbu ya Hubert Kairuki, anasikitika kutangaza kifo cha Dk. Kitindi Hemedi Kumpuni (Mhadhiri Idara ya Magonjwa ya akina Mama), kilichotokea tarehe 21 Novemba 2014, saa 8:30 mchana, katika Hospitali ya Kairuki, baada ya kuugua kwa muda mfupi. Msiba uko nyumbani kwa marehemu Oysterbay, barabara ya Bongoyo.
Marehemu atazikwa siku ya Jumapili tarehe 23.11.2014, Saa 10 jioni katika makaburi ya Kisutu DSM.
Kwa taarifa zaidi piga simu...
9 years ago
MichuziMAHAFALI YA13 YA CHUO KIKUU CHA KUMBUKUMBU YA HUBRT KAIRUKI YAFANYIKA LEO JIJINI DAR.
9 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-bdkuzshBKqw/VmKd-SmPykI/AAAAAAAIKSo/SW2iSGGk5uc/s72-c/39974d64-9dfe-4c6f-a927-c73e9c7b7080.jpg)
Balozi Seif Ali Iddi akizawdia vifaa vya michezo Chuo Kikuu cha Kumbukumbu ya Hubert Kairuki
Mwenyekiti wa Mtandao wa Afya na Elimu wa Chuo Kikuu cha Kumbukumbu ya Hubert Kairuki Bibi Kokushubila Kairuk alisema kitendo cha baadhi ya Viongozi na washirika wa maendeleo kuendelea kuunga mkono Taasisi za Umma za zile binafsi huleta faraja katika Jamii.Bibi Kokushubila alieleza hayo wakati akipokea msaada wa vifaa vya michezo vilivyotolewa na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi hapo Ofisini kwake Mtaa wa Mikocheni Mjini Dar es salaam. Vifaa hivyo vikiwa ni pamoja na...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/26rh2i2B5MblVFMJKkmKMcmSyeGBNryDrtHQQ9Rq7PZTO5pihwLl5g4CVlagW3qQa9ph5Kt*BkAvvIhEfVL-gnxqeIFSNnMy/IMG20140923WA0003.jpg)
CHUO KIKUU KISHIRIKI CHA USHIRIKA NA BIASHARA MOSHI (MUCCOBS) CHAWA CHUO KIKUU KAMILI
Baadhi ya wahadhiri wa MoCU (MOSHI CO-OPETATIVE UNIVERSITY) wakiwa kwenye picha ya pamoja.. Mwenyekiti wa Bodi ya Chuo Kikuu cha Kilimo Sokoine (SUA), Mhe. Philemon Luhanjo (wa nne kulia waliokaa ) akiwa katika picha ya wajumbe wa bodi na wahadhiri wa chuo hicho. CHUO Kikuu Kishiriki cha Ushirika na Biashara Moshi (MUCCOBS), kimekuwa chuo kikuu rasmi ambapo kwa sasa kitaitwa Chuo Kikuu Cha Ushirika Moshi (MoCU). Taarifa hiyo...
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-giPeU1UMfdo/VDkyqUdscCI/AAAAAAAGpL4/QLYLeHIrSKo/s72-c/pinda%2Bmizengo.jpg)
WAZIRI MKUU AKAGUA CHUO KIKUU DAR NA CHUO KIKUU HURIA
![](http://4.bp.blogspot.com/-giPeU1UMfdo/VDkyqUdscCI/AAAAAAAGpL4/QLYLeHIrSKo/s1600/pinda%2Bmizengo.jpg)
Ametoa kauli hiyo jana usiku (Ijumaa, Oktoba 10, 2014) wakati akizungumza na wahadhiri, wakufunzi, wanafunzi na wanajumuiya ya Chuo Kikuu Huria (OUT) mara baada ya kuzindua jengo la ghorofa 10 linalojulikana kama Ghorofa la Elimu ya Masafa ya Huria (Open Distance...
10 years ago
MichuziMbunge wa Viti Maalum (CCM), Mhe. Al-Shaymaa Kwegyir, aizungumza na wanazuoni wa Chuo Kikuu cha Kumbukumbu cha Hubert Kairuki katika Kongamano la mauaji ya albino
hawapo pichani, katika kongamano la kujadili nini kifanyike kutokomeza mauaji ya watu wenye ulemavu wa ngozi (albino) lililofanyika jana chuoni hapo. Kushoto ni Makamu Mkuu wa Chuo hicho Keto Mshigeni na Kulia ni Kokushubika Kairuki.
Na Mwandishi Wetu, Dar es SalaamMBUNGE wa Viti Maalum ambaye pia ni mlemavu wa ngozi (albino), Al -Shaimaa Kweigyir, amekemea vikali unyanyapaa unaofanywa na baadhi ya Watanzania juu ya jamii yenye ulemavu wa ngozi na kusema kwamba inawafanya watu hao waishi...
9 years ago
Habarileo24 Aug
Chuo Kikuu Dodoma kumuenzi Rais Kikwete
CHUO Kikuu cha Dodoma (UDOM) kinatarajiwa kufanya hafla ya aina yake ya kumuenzi Rais Jakaya Kikwete.
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania