Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


TAARIFA YA MSIBA KATIKA CHUO KIKUU CHA KUMBUKUMBU YA HUBERT KAIRUKI (HKMU)

Dk. Kitindi Hemedi Kumpuni
Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Kumbukumbu ya Hubert Kairuki, anasikitika kutangaza kifo cha Dk. Kitindi Hemedi Kumpuni (Mhadhiri Idara ya Magonjwa ya akina Mama), kilichotokea tarehe 21 Novemba 2014, saa 8:30 mchana, katika Hospitali ya Kairuki, baada ya kuugua kwa muda mfupi. Msiba uko nyumbani kwa marehemu Oysterbay, barabara ya Bongoyo.  
Marehemu atazikwa siku ya Jumapili tarehe 23.11.2014, Saa 10 jioni katika makaburi ya Kisutu DSM. 
Kwa taarifa zaidi piga simu...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

Mbunge wa Viti Maalum (CCM), Mhe. Al-Shaymaa Kwegyir, aizungumza na wanazuoni wa Chuo Kikuu cha Kumbukumbu cha Hubert Kairuki katika Kongamano la mauaji ya albino



hawapo pichani, katika kongamano la kujadili nini kifanyike kutokomeza mauaji ya watu wenye ulemavu wa ngozi (albino) lililofanyika jana chuoni hapo. Kushoto ni Makamu Mkuu wa Chuo hicho Keto Mshigeni na Kulia ni Kokushubika Kairuki.
Na Mwandishi Wetu, Dar es SalaamMBUNGE wa Viti Maalum ambaye pia ni mlemavu wa ngozi (albino), Al -Shaimaa Kweigyir, amekemea vikali unyanyapaa unaofanywa na baadhi ya Watanzania juu ya jamii yenye ulemavu wa ngozi na kusema kwamba inawafanya watu hao waishi...

 

9 years ago

Michuzi

Balozi Seif Ali Iddi akizawdia vifaa vya michezo Chuo Kikuu cha Kumbukumbu ya Hubert Kairuki

Mwenyekiti wa Mtandao wa Afya na Elimu wa Chuo Kikuu cha Kumbukumbu ya Hubert Kairuki Bibi Kokushubila Kairuk alisema kitendo cha baadhi ya Viongozi na washirika wa maendeleo kuendelea kuunga mkono Taasisi za Umma za zile binafsi huleta faraja katika Jamii.Bibi Kokushubila alieleza hayo wakati akipokea msaada wa vifaa vya michezo vilivyotolewa na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi hapo Ofisini kwake Mtaa wa Mikocheni Mjini Dar es salaam. Vifaa hivyo vikiwa ni pamoja na...

 

9 years ago

Michuzi

MAHAFALI YA13 YA CHUO KIKUU CHA KUMBUKUMBU YA HUBRT KAIRUKI YAFANYIKA LEO JIJINI DAR.

 Makamu Mkuu wa Chuo cha kumbukumbu ya Hubet Kairuki Profesa, Kito Mshigeni akizugumza na wanafunzi  juu ya kutumia elimu waliyoipata  kuwasaidia, kuwainua, na kuwaletea  matumaini  mapya wote wenye uhitaji katika jamii, kwa kadri ya uwezo wao, ameyazungunza hayo katika mahafali ya 13 ya chuo kuu cha kumbukumbu ya Hubert Kairuki Jijini Dar es Salaam.Brass Band ikiendelea kutumbuiza katika mahafali ya 13 ya chuo kikuu cha kumbukumbu cha Hubert Kairuki leo Jijini Dar es Salaam. Baadhi ya...

 

11 years ago

Michuzi

TAARIFA YA MSIBA CHUO KIKUU CHA DAR ES SALAAM

Familia ya Prof Cuthbert  Zebadia Kimambo wa Chuo Kikuu Dar es  Salaam inasikitika kutangaza kifo cha Mtoto wao mpendwa Samwel Cuthbert Kimambo (pichani) kilichotokea alfajiri ya leo tarehe 1 June 2014 kwa ajali ya gari.  Habari ziwafikie wana Kimambo wote popote pale walipo, wana Tarimo wote popote pale walipo; ndugu, jamaa na marafiki pamoja na wafanyakazi wote wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam.   Mipango ya Mazishi inafanyika nyumbani kwa Baba wa Marehemu, Mtaa wa Kileleni, Nyumba namba...

 

10 years ago

GPL

CHUO KIKUU KISHIRIKI CHA USHIRIKA NA BIASHARA MOSHI (MUCCOBS) CHAWA CHUO KIKUU KAMILI

Baadhi ya wahadhiri wa MoCU (MOSHI CO-OPETATIVE UNIVERSITY) wakiwa kwenye picha ya pamoja.. Mwenyekiti wa Bodi ya Chuo Kikuu cha Kilimo Sokoine (SUA), Mhe. Philemon Luhanjo (wa nne kulia waliokaa ) akiwa katika picha ya wajumbe wa bodi na wahadhiri wa chuo hicho. CHUO Kikuu Kishiriki cha Ushirika na Biashara Moshi (MUCCOBS), kimekuwa chuo kikuu rasmi ambapo kwa sasa kitaitwa Chuo Kikuu Cha Ushirika Moshi (MoCU). Taarifa hiyo...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani