Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Rais huchaguliwa kwa kura, si maandamano

MAANDALIZI ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania mwaka huu ni ya kipekee kutokana na kupambwa na mbwembwe nyingi ikiwamo misafara na maandamano makubwa ya wagombea urais. Ni jambo la kujivunia kuona kwamba wananchi wengi wameonyesha mwamko mkubwa wa ushabiki wa kisiasa.

 Hadi sasa dalili za awali zinaonyesha kwamba ushindani mkubwa wa kinyang’anyiro cha urais utakuwa kati ya Waziri Mkuu wa zamani, Edward Lowassa kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) na Waziri wa Ujenzi, Dk....

Raia Tanzania

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Raia Mwema

Ni kweli Rais huchaguliwa na Mungu lakini …

WAKATI tukisubiri majibu ya Uchaguzi Mkuu ili kumfahamu nani ataibuka rais wa taifa letu kwa awam

Privatus Karugendo

 

9 years ago

StarTV

Wakazi Longido washerehekea kwa maandamano ya amani kuapishwa rais Magufuli

Wakazi wa mkoa wa Arusha wamesherehekea kwa namna mbalimbali kuapishwa kwa Rais mpya wa Tanzania Dakta John Pombe Magufuli, ambapo huko Wilayani Longido eneo la mpakani mwa Tanzania na Kenya, wafugaji wa jamii ya kimaasai wamefanya maandamano ya amani kumpongeza kiongozi huyo. Kituo hiki kimefika katika maeneo mbalimbali ya Longido na kushuhudia wananchi wakiwa wanafuatilia matangazo ya moja kwa moja yaliyokuwa yakirushwa na vituo mbalimbali vya televisheni kutoka uwanja wa Taifa Jijini Dar...

 

9 years ago

BBCSwahili

Maandamano Haiti kuhusu wizi wa kura za urais

Hali katika mji mkuu wa Haiti ni tete baada ya wafuasi wa mgombea mmoja wa kiti cha urais kuzusha rabsha.

 

9 years ago

Mzalendo Zanzibar

Mbowe Amjibu Rais Kikwete Kuhusu Idadi ya Wapiga Kura na Zuio la Wananchi Kulinda Kura Vituoni

Mwenyekiti wa Chadema, Mh Freeman Thursday, October 15, 2015 Mwenyekiti wa Chadema, mh Freeman Mbowe amemtaka Rais Kikwete kutovuruga amani ya nchi na badala yake amemtaka aondoke madarakani na kuiacha nchi ikiwa salama. Mbowe alitoa kauli […]

The post Mbowe Amjibu Rais Kikwete Kuhusu Idadi ya Wapiga Kura na Zuio la Wananchi Kulinda Kura Vituoni appeared first on Mzalendo.net.

 

10 years ago

Vijimambo

Rais Kikwete ajiandikisha Kupiga kura kwa kutumia BVR Msoga leo

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akijiandikisha katika daftari la kudumu la wapiga kura kwa kutumia mfumo mpya wa kielektoniki(Biometric Voters Register( BVR) katika kijiji cha Msoga,kata ya Msoga wilayani Bagamoyo leo.Kulia akiangalia kwa makini ni mwandikishaji msaidizi Bi.Happyness Thomas Misana na katikati ni Afisa TEHAMA kutoka ofisi Tume ya Taifa Uchaguzi Bi.Mariam Rajabu.Kushoto aliyesimama akishuhudia ni Mbunge wa Chalinze Ridhwani Kikwete.Afisa TEHAMA kutoka ofisi ya Tume ya Uchaguzi...

 

9 years ago

Michuzi

KUCHAMGUA RAIS DINI NA UTAJIRI SI VIGEZO MUHIMU KWA WAPIGA KURA DAR ES SALAAM


ASILIMIA 46 ya wananchi wameripoti kuwa sera ndio kigezo muhimu watakachokitumia kumchagua Rais. Vigezo vingine vilivyotajwa na wananchi wengi ni uadilifu na maadili (17%). Hakuna mtu hata mmoja aliyetaja dini au utajiri kama kigezo muhimu cha kumchagua Rais na kigezo cha umri kilitajwa na asilimia moja tu ya wananchi.
Matokeo haya yametolewa na Twaweza kwenye muhtasari wa utafiti wenye jina la Je, Wanajua? Takwimu kuhusu uelewa wa wapiga kura. Muhtasari umetokana na Sauti za Wananchi,...

 

10 years ago

BBCSwahili

Maandamano yazuka dhidi ya rais Burundi

Kumezuka ghasia katika mji wa Bujumbura nchini Burundi kati ya maafisa wa polisi na waandamanaji wanaoishtumu serikali kwa kufanya mapinduzi ya kikatiba.

 

10 years ago

BBCSwahili

Burundi: rais aonekana akicheza licha ya maandamano

Rais Nkurunziza ameonekana akicheza mpira pamoja na marafiki zake mjini Bujumbura licha ya mgogoro wa kisiasa nchini mwake

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani