Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Rais Kikwete akusudia kushika chaki tena

Jakaya-Kikwete

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete amesema kuwa anakusudia kurejea darasani kushika tena chaki kwa kuwa mhadhiri kwenye Chuo cha Taifa cha Ulinzi – National Defence College (NDC) cha Dar Es Salaam.

Rais Kikwete amelieleza hilo mchana wa leo, Ijumaa, Juni 20, 2014, wakati...

Dewji Blog

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Habarileo

Kikwete akusudia kuwa mhadhiri

RAIS Jakaya Kikwete ambaye pia ni Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama nchini, amesema anatarajia kurejea darasani kushika tena chaki, kwa kuwa Mhadhiri kwenye Chuo cha Taifa cha Ulinzi (NDC) jijini Dar es Salaam.

 

11 years ago

Mwananchi

Rais Kikwete afunguka tena

>Rais Jakaya Kikwete ameendelea kusisitiza kuwa Tume ya Jaji Joseph Warioba haina ushahidi kwamba Watanzania wengi wanataka muundo wa Muungano wa serikali tatu.

 

5 years ago

Michuzi

KIWANDA KURUDISHA SHUKRANI KWA RAIS MAGUFULI KWA KUGAWA CHAKI BURE ...DC JOKATE MWEGELO ATOA NENO


Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe mkoani Pwani Jokate Mwegelo(aliyevaa nguo nyekundu),Katibu Tawala wa wilaya hiyo Tella Mwampamba(kulia) wakiwa na baadhi ya wafanyakazi na viongozi wa kiwanda cha kutengeneza chaki cha Mkongoma General Supply Ltd wakishuhudia taa zikiwaka baada ya Shirika la Umeme Tanzania(TANESCO) wilayani humo kupeleka umeme katka kiwanda hicho.
Mkurugenzi Mkuu wa Kiwanda cha Mkongoma General Supply Ltd Geoffrey Mkongoma (kulia) akifafanua jambo kwa Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe...

 

11 years ago

BBCSwahili

Mbwembwe Malawi -Rais Mpya kushika doria

Viongozi wa Mataifa mbalimbali wanatarajiwa kuhudhuria sherehe za kumkabidhi madaraka rais mpya wa Jamhuri ya Malawi hii leo.

 

10 years ago

Vijimambo

Kikwete: "Nisingekuwa Rais Ningekuwa Msanii Mkali wa Bongo Fleva.".........HOTUBA Nzima ya Rais Kikwete Aliyoitoa Jana Mei Mosi Iko HAPA


RAIS Dkt. Jakaya Kikwete, ametamba kuwa angakuwa msanii wa muziki wa kizazi kipya basi angelikuwa wa “BongoFleva” kutokana na kuwa na sauti nzuri yenye kumudu kuimba nyimbo kwa ufasaha zaidi.

Kauli hiyo aliitoa jana jijini Mwanza kwenye uwanja wa michezo wa CCM Kirumba wakati wa maadhimisho ya kilele cha sherehe za Mei mosi zilizofanyika Kitaifa jijini Mwanza kwa mwaka huu wa mwisho wa utawala wake.
Dkt. Kikwete aliimba wimbo wa Bendi ya OSS (Ochestra Safari Sound) wenye mashairi yasemayo...

 

10 years ago

Raia Tanzania

DPP akusudia kukata rufaa hukumu ya kina Mramba

WAKATI waliokuwa mawaziri katika serikali ya awamu ya tatu, Basil Mramba na Daniel Yona, wakieleza kusudio la kukata rufaa kupinga adhabu ya kifungo cha miaka mitatu jela, Mkurugenzi wa Mashitaka (DPP), pia amewasilisha Mahakama Kuu kusudio la kukata rufaa kupinga adhabu hiyo.

Mramba aliyekuwa Waziri wa Fedha na Yona wa Nishati na Madini, walihukumiwa adhabu hiyo Julai 6, mwaka huu na

Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu.

Hakimu Mfawidhi wa mahakama hiyo, Cyprian Mkeha, alisema DPP...

 

11 years ago

Mwananchi

Sio kila anayeshika chaki ni mwalimu

Walimu ndio nguzo ya Taifa lolote duniani. Ndio wanaowapika wasomi na wataalamu katika kila nyanja ya maendeleo ya nchi na wananchi.

 

11 years ago

Michuzi

Ingizo jipya katika kombe la dunia Brazil: alama ya chaki ya kupulizia inayoyeyuka....

Alama ya chaki ya kupulizia (spray) ni moja ya ingizo jipya kwenye michuano ya Kombe la Dunia nchini Brazil. Tayari refa ameshaitumia mara ya kwanza kwenye mechi ya ufunguzi kati ya Brazil na Croatia usiku wa kuamkia leo, pale refa alipochora kwa kupulizia na kuweka alama wapi wachezaji wasimame wakati wa kupigwa mpira wa adhabu (pichani chini), ili kuthibiti zogo la wachezaji, ama wapi mpira uwekwe kabla ya kupigwa.  Chaki hiyo, ambayo huyeyuka baada ya dakika chache, ilianza kutumika...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani