Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Rais Kikwete amwapisha Msajili wa Mahakama ya Rufaa

Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akimuapisha Msajili wa Mahakama ya Rufaa Bibi Katarina Tengia Revocati ikulu jijini Dar es Salaam leo. Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akimkabidhi muongozo wa kazi Msajili wa Mahakama ya Rufaa Bibi Katarina Tengia Revocati ikulu jijini Dar es Salaam leo.(Picha na Freddy Maro).

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

RAIS KIKWETE AWAAPISHA MSAJILI WA MAHAKAMA YA RUFAA NA MSAJILI WA MAHAKAMA KUU YA TANZANIA.

 Mhe. John Lugalema  Kahyoza akila kiapo mbele ya Rais Jakaya kikwete baada ya kuteuliwa kuwa Msajili wa Mahakama ya Rufaa mapema hii leo Ikulu jijini Dar es Salaam, awali mhe. Kahyoza alikuwaMsajili Mahakama Kuu ya Tanzania. Mhe. Katarina Tengia Revocati akila kiapo mbele ya Rais Jakaya kikwete baada ya kuteuliwa kuwa Msajili Mkuu  wa Mahakama  mapema hii leo Ikulu jijini Dar es Salaam, awali  Mhe. Katarina alikuwa Msajili wa Mahakama ya rufani.Rais Jakaya Kikwete akiwa katika picha ya...

 

10 years ago

Dewji Blog

Rais Kikwete ateua Majaji wawili wa Mahakama ya Rufaa

Ikulu-tz

Rais wa Jamhuri ya Muugano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete amewateua Majaji wawili wa Mahakama Kuu ya Tanzania kuwa Majaji wa Mahakama ya Rufani kuanzia Jumamosi iliyopita, Aprili 24, 2015, taarifa iliyotolewa Dar es Salaam, jana, Alhamisi, Aprili 30, 2025 na Ofisi ya Katibu Mkuu Kiongozi (KMK) imesema.

Taarifa hiyo imewataja wajaji hao kuwa ni Jaji  Augustine Gherabast Mwarija na Jaji Stella Ester Augustine Mugasha, ambao wote wamekuwa Majaji wa Mahakama Kuu ya Tanzania tokea...

 

10 years ago

Vijimambo

RAIS KIKWETE ATEUA MAJAJI WAWILI WA MAHAKAMA YA RUFAA TANZANIA



Rais wa Jamhuri ya Muugano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete amewateua Majaji wawili wa Mahakama Kuu ya Tanzania kuwa Majaji wa Mahakama ya Rufani kuanzia Jumamosi iliyopita, Aprili 24, 2015, taarifa iliyotolewa Dar es Salaam, jana Alhamisi, Aprili 30, 2015 na Ofisi ya Katibu Mkuu Kiongozi (KMK) imesema.


Taarifa hiyo imewataja wajaji hao kuwa ni Jaji  Augustine Gherabast Mwarija na Jaji Stella Ester Augustine Mugasha, ambao wote wamekuwa Majaji wa Mahakama Kuu ya Tanzania tokea...

 

10 years ago

StarTV

Rais Kikwete amwapisha rasmi CAG.

Na Lilian Mtono,

Dar es Salaam.

 

Rais Jakaya Kikwete amemwapisha rasmi mdhibiti na mkaguzi mkuu wa hesabu za Serikali.

 

Baadhi ya maafisa wa Serikali wamesifu hatua hiyo kuchukuliwa mapema kutokana na unyeti wa ofisi ya CAG wakidai kuwa itaongeza nguvu kwenye shughuli za udhibiti wa hesabu za serikali tofauti na awali ambapo ofisi hiyo ilikuwa ikishikiliwa na kaimu mdhibiti na mkaguzi mkuu.

 

Baada ya kula kiapo kwenye hafla iliyofanyika Ikulu jijibi Dar es Salaam, CAG huyu mpya...

 

10 years ago

Dewji Blog

Rais Kikwete amwapisha Balozi Liberata Mulamula

Ikulu-tz

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete leo, Jumatano, Mei 27, 2015, amemwapisha Katibu Mkuu mpya, Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Balozi Liberata Rutageruka Mulamula.

Aidha, katika sherehe fupi ya uapisho iliyofanyika Ikulu, Dar es Salaam, Rais Kikwete amemwapisha Balozi Hassan Simba Yahya kuwa Naibu Katibu Mkuu katika Wizara hiyo.

Katika sherehe hiyo iliyohudhuriwa na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed...

 

10 years ago

Michuzi

Rais Kikwete amwapisha Mkuu mpya wa Mkoa wa Arusha

Mkuu mpya wa Mkoa wa Arusha Mhe.Daudi Felix Ntibenda akila kiapo mbele ya Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete katika hafla iliyofanyika ikulu jijini Dar es Salaam leo na kuhudhuriwa na Waziri Mkuu Mizengo Pinda na viongozi wengine waandamizi wa serikali.Katikati wapili kushoto anayeshuhudia ni Katibu mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue na watatu kushoto ni Karani wa Baraza la Mawaziri Bwana Gervas Mdemu. Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akimpa miongozo ya kazi(Standing Orders) Mkuu mpya wa Mkoa wa...

 

10 years ago

Vijimambo

Mhe. Rais Kikwete amwapisha rasmi Balozi Haule

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Jakaya Mrisho Kikwete akimwapisha aliyekuwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bw. John Michael Haule kuwa Balozi wa Tanzania nchini Kenya. Balozi John Michael Haule anachukua nafasi iliyoachwa wazi na Balozi Batilda Buriani ambaye amehamishiwa Tokyo, Japan. Hafla hiyo ilifanyika Ikulu, Dar es Salaam tarehe 12 Februari, 2015 Balozi Haule akisaini kiapo chake mbele ya Mhe. Rais Kikwete Mhe. Rais Kikwete akimkabidhi...

 

11 years ago

Dewji Blog

Rais Kikwete amwapisha Balozi mpya wa Tanzania nchini Rwanda

Picha na 8

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Jakaya Kikwete akimwapisha Balozi mpya wa Tanzania nchini Rwanda, Balozi Ally Iddi Siwa jana Ikulu jijini Dar es salaam. 

Picha na 9

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Jakaya Kikwete akisaini hati za kiapo cha Balozi mpya wa Tanzania nchini Rwanda, Balozi Ally Iddi Siwa Ikulu jijini Dar es salaam. 

Picha na 10

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Jakaya Kikwete akimkabidhi mwongozo wa kazi anayekwenda kuwa Balozi mpya wa Tanzania nchini Rwanda,...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani