Rais Kikwete anahitaji uthubutu
RAIS Jakaya Kikwete juzi alisema serikali imeubaini mtandao wa ujangili unaojumuisha watu 40, akiwemo tajiri maarufu mkoani Arusha. Akihojiwa juzi jioni na Idhaa ya Kiswahili ya BBC, Rais Kikwete alikanusha...
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
10 years ago
Vijimambo![](http://2.bp.blogspot.com/-qZ_taV7lQAc/VURfrlc_KXI/AAAAAAAAtDQ/HowY65av2gE/s72-c/shemeji.jpg)
Kikwete: "Nisingekuwa Rais Ningekuwa Msanii Mkali wa Bongo Fleva.".........HOTUBA Nzima ya Rais Kikwete Aliyoitoa Jana Mei Mosi Iko HAPA
![](http://2.bp.blogspot.com/-qZ_taV7lQAc/VURfrlc_KXI/AAAAAAAAtDQ/HowY65av2gE/s640/shemeji.jpg)
RAIS Dkt. Jakaya Kikwete, ametamba kuwa angakuwa msanii wa muziki wa kizazi kipya basi angelikuwa wa “BongoFleva” kutokana na kuwa na sauti nzuri yenye kumudu kuimba nyimbo kwa ufasaha zaidi.
Kauli hiyo aliitoa jana jijini Mwanza kwenye uwanja wa michezo wa CCM Kirumba wakati wa maadhimisho ya kilele cha sherehe za Mei mosi zilizofanyika Kitaifa jijini Mwanza kwa mwaka huu wa mwisho wa utawala wake.
Dkt. Kikwete aliimba wimbo wa Bendi ya OSS (Ochestra Safari Sound) wenye mashairi yasemayo...
11 years ago
Tanzania Daima05 Aug
Uthubutu nguzo muhimu kuendelea kibiashara
KATIKA maisha vijana wengi tunatamani kuleta mabadiliko ya kweli pale tulipo. Kwa lugha nyingine tunaweza kusema kuna kiu ya mafanikio. Hata hivyo ni watu wachache waliofanikisha malengo yao na kuleta...
11 years ago
Tanzania Daima26 Jul
Vijana wawe na uthubutu katika maisha
TUNAISHI katika ulimwengu uliojaa changamoto katika kila nyanja ya maisha. Iwe kijamii, kiuchumi na kisiasa. Changamoto za maisha zinaweza kugeuka na kuwa kikwazo cha mafanikio ya kijana pale anapoziogopa badala...
11 years ago
Mwananchi15 Jun
Mjasiriamali, Mama jasiri, mwenye uthubutu wa kipekee
10 years ago
Bongo524 Jul
Nisher na Vanessa Mdee wasifia uthubutu anaofanya Hemedy PHD
10 years ago
VijimamboRAIS JACOB ZUMA AKUTANA NA RAIS KIKWETE IKULU-MAKAMU WA RAIS AMSINDIKIZA
![](http://3.bp.blogspot.com/-MA1_ZFohI7c/VJgW4lraY4I/AAAAAAAAZho/geWMTtNN3d0/s640/D92A4124.jpg)
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-wEfe-eW_P48/U_G8E8LO3SI/AAAAAAACnmE/9JtU4Jjc6N8/s72-c/unnamed.jpg)
Rais Kikwete azungumza na Rais Zuma na Rais Kabila Zimbabwe
![](http://3.bp.blogspot.com/-wEfe-eW_P48/U_G8E8LO3SI/AAAAAAACnmE/9JtU4Jjc6N8/s1600/unnamed.jpg)
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-cra3smLrxF8/VQ66_nz5wRI/AAAAAAAHMLg/sSM1SlTy3Ys/s72-c/unnamed%2B(54).jpg)
Rais Kikwete akutana na Rais Uhuru Kenyatta mjini Windhoek, Alhaj Mwinyi na Mzee Mkapa waungana naye sherehe za kuapishwa rais mpya wa namibia
![](http://3.bp.blogspot.com/-cra3smLrxF8/VQ66_nz5wRI/AAAAAAAHMLg/sSM1SlTy3Ys/s1600/unnamed%2B(54).jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-a0pRN5HFuA0/VQ66_UT049I/AAAAAAAHMLc/khLtmIT_i0g/s1600/unnamed%2B(56).jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-X422Ur7jOR4/VQ67A4qaJQI/AAAAAAAHMLs/dr0qghe3iko/s1600/unnamed%2B(55).jpg)
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/79FAz6LP6HiEYkhZdGKP1RM8lp7CI4yLA5*uGrV2VhvvKZJ1j7NDL6E0vLkyZSgo-fFidWQs7eOclJb5gf1xbjcbF3WHmNA7/WEMASEPETA_GLOBALNEWSROOM18.jpg?width=650)
WEMA ANAHITAJI KUOMBEWA