Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Rais Kikwete asema amepona Saratani

Rais Jakaya Kikwete wa Tanzania amesema amepona saratani baada ya kufanyiwa upasuaji nchini Marekani

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

RAIS KIKWETE AONGEA NA WAANDISHI WA HABARI MARA TU BAADA YA KUTUA TOKA MAREKANI, ASEMA ALIFANYIWA UPASUAJI WA SARATANI YA TEZI DUME


Rais Jakaya Kikwete akiongea na Waandishi wa habari uwanja wa ndege leo Jumamosi Novemba 29, 2014 mara tu baada ya kutua toka Marekani alipokuwa amekwenda kwa ajili ya upasuaji wa saratani ya tezi dume. (picha kwa hisani ya Michuzi)

Rais Jakaya Kikwete akiongea na Wanahabari na kuwataarifu kwamba alichofanyia ni upasuaji  wa saratani ya tezi dume  na hili alilijua mapema kabla ya kuja nchini Marekani na lilikua si jambo rahisi kulielezea lakini nilikua sina budi kumweleza mke wangu wananagu...

 

11 years ago

Michuzi

Rais Kikwete azindua huduma za uchunguzi wa saratani ya mlango wa kizazi na saratani ya matiti Mkoani Tabora

Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akiwahutubia wananchi wakati akizindua huduma za uchunguzi wa saratani ya mlango wa kizazi na saratani ya matiti Mkoani Tabora, katika uwanja wa Chipukizi mkoani humo. Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza na baadhi ya akina mama wa Tabora. Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akimpongeza Dkt. Joseph Komwihangiro, Mkurugenzi wa Marie Stopes kwa kuwa mstari wa mbele katika huduma na elimu za mzazi wa mpango Jumamosi Mei 7, 2014 wakati akizindua ...

 

10 years ago

BBCSwahili

Rais Jakaya Kikwete apona Saratani

Rais Kikwete amesema alikuwa akisumbuliwa na saratani ya tezi dume lakini hata hivyo amepona baada ya kufanyiwa upasuaji.

 

11 years ago

GPL

MZEE SMALL ASEMA RAIS KIKWETE NI MTU WAKE WA POWER - 4

*Amuomba akipata nafasi siku moja, akamtupie jicho pale Tabata
Na Saleh Ally
JUZI Jumatano, Mzee Small alieleza namna alivyoshindwa kuvumilia na kumtimua mganga aliyekuwa akimtibu tena kwa kumshikia panga, hali hiyo ilitokana na wao kutoelewana. Nini kilifuata baada ya hapo? Endelea na Mzee Small… Rais Jakaya Kikwete. HATA hivyo haikuwa kazi rahisi Mzee Small kumfukuza mganga huyo kwa kuwa mkewe Mama Said alijaribu...

 

9 years ago

Vijimambo

DK MAGFUNGA KAZI MWANZA, RAIS KIKWETE ASEMA ATAKAYE FANYA FUJO IUCHAGUZI MKUU KUKIONA CHA MOTO

Mgombea urais wa Tanzania kupitia CCM, Dk. John Magufuli akiwapungia  wananchi alipowasili kwenye mkutano wa kuhitimisha  kampeni kwenye Uwanja wa CCM Kirumba, jijini Mwanza jana. Dk Magufuli amefanya kampeni nchi nzima kwa barabara kwa kusafiri kwa magari  zaidi  ya Km 40.

Dk Magufuli amewaomba watanzania wote kumpigia kura za ndiyo katika uchaguzi mkuu unaofanyika leo ambapo yeye amesema atawalipa kwa kufanya kazi kwa bidii ili kuwaletea maendeleo Wanzania.PICHA ZOTE NA RICHARD...

 

10 years ago

GPL

MENEJA: KAJALA AMEPONA

Staa wa filamu Bongo, Kajala Masanja. Gladness Mallya
MIEZI michache baada ya Kajala Masanja kugundulika kuwa na ugonjwa wa uvimbe kwenye kizazi, meneja wa msanii huyo, Leah Richard amesema hivi sasa yupo sawa kufuatia upasuaji wa mafanikio aliofanyiwa katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili. “Kajala kwa sasa yupo fiti na tatizo la uzazi limeisha, hivyo mashabiki wake wasiwe na wasiwasi kabisa kwani atarejea kazini...

 

10 years ago

Vijimambo

Kikwete: "Nisingekuwa Rais Ningekuwa Msanii Mkali wa Bongo Fleva.".........HOTUBA Nzima ya Rais Kikwete Aliyoitoa Jana Mei Mosi Iko HAPA


RAIS Dkt. Jakaya Kikwete, ametamba kuwa angakuwa msanii wa muziki wa kizazi kipya basi angelikuwa wa “BongoFleva” kutokana na kuwa na sauti nzuri yenye kumudu kuimba nyimbo kwa ufasaha zaidi.

Kauli hiyo aliitoa jana jijini Mwanza kwenye uwanja wa michezo wa CCM Kirumba wakati wa maadhimisho ya kilele cha sherehe za Mei mosi zilizofanyika Kitaifa jijini Mwanza kwa mwaka huu wa mwisho wa utawala wake.
Dkt. Kikwete aliimba wimbo wa Bendi ya OSS (Ochestra Safari Sound) wenye mashairi yasemayo...

 

11 years ago

Habarileo

Salma Kikwete ahimiza wanawake kuchunguzwa saratani

ASILIMIA 90 ya akina mama wanaosumbuliwa na saratani ya mlango wa kizazi wanafia majumbani, kwenye zahanati na vituo vya afya kutokana na kutogundulika mapema kwa viashiria vya ugonjwa huo.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani