Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MENEJA: KAJALA AMEPONA

Staa wa filamu Bongo, Kajala Masanja. Gladness Mallya
MIEZI michache baada ya Kajala Masanja kugundulika kuwa na ugonjwa wa uvimbe kwenye kizazi, meneja wa msanii huyo, Leah Richard amesema hivi sasa yupo sawa kufuatia upasuaji wa mafanikio aliofanyiwa katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili. “Kajala kwa sasa yupo fiti na tatizo la uzazi limeisha, hivyo mashabiki wake wasiwe na wasiwasi kabisa kwani atarejea kazini...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

BBCSwahili

Rais Kikwete asema amepona Saratani

Rais Jakaya Kikwete wa Tanzania amesema amepona saratani baada ya kufanyiwa upasuaji nchini Marekani

 

5 years ago

BBCSwahili

Coronavirus: Kocha wa Arsenal Mikel Arteta anasema 'amepona corona'

Mkufunzi wa Arsenal Mikel Arteta, ambaye alipatikana na coronavirus Machi 13, anamesema anajihisi "vyema sasa" na dalili zote zimeisha

 

5 years ago

BBCSwahili

Coronavirus: Kenya yathibitisha mtu wakwanza amepona kabisa covid-19

''Hii inamaanisha kuwa ugonjwa huu unaweza kukabiliwa''alisema rais Kenyatta katika hotiba yake kwa taifa.

 

11 years ago

Bongo Movies

Baada ya Kajala kudai Wema ni mnafiki,Wema aamua kujibu mapigo. 'Amlipua' vibaya Kajala


Ikiwa ni siku chache zimepita baada ya mwigizaji  Kajala kudai kuwa mrembo Wema Sepeteu ni Mnafiki, hatimaye Mwanadada Wema Sepetu , amemlipua aliyekuwa shosti wake, Kajala Masanja ‘K’ ambaye wiki iliyopita alimwita mnafiki, habari  ambayo  ilisambaa  katika  mitandao  mbalimbali  ya  kijamii.

Katika habari hiyo, Kajala alikaririwa akisema kwamba licha ya watu wengi kuamini wamepatana, hakuna ukweli kwani rafiki yake huyo ni mnafiki kufuatia kutomthamini na kutokuwa karibu naye kama zamani...

 

11 years ago

Uhuru Newspaper

Meneja EWURA alijinyonga-Polisi


NA MWANDISHI WETU
JESHI la Polisi limesema hakuna anayetiliwa shaka kuhusiana na kifo cha aliyekuwa Meneja Udhibiti wa Biashara ya Petroli wa Mamlaka ya Udhibiti wa Nishati na Maji (EWURA), Julius Gashaza kwani alijinyonga.
Gashaza alikutwa amekufa kwa kile kilichodaiwa kujinyonga kwa kutumia tai katika nyumba ya kulala wageni ya Mwanga, eneo la Yombo Vituka, mjini Dar es Salaam.
Meneja huyo alikuwa amefariki dunia  siku moja baada ya kurejea kutoka Dodoma kikazi Mei 18, mwaka huu.
Kamanda wa...

 

10 years ago

GPL

Meneja wa Kaseja kuishtaki Yanga

Kipa namba mbili wa Yanga, Juma Kaseja. Na Wilbert Molandi
MENEJA wa kipa namba mbili wa Yanga, Juma Kaseja ambaye ni Abdulfatah Saleh ameibadilikia timu hiyo kwa kupanga kuishtaki, baada ya Katibu Mkuu wa Yanga, Benno Njovu, kutamka kwamba hawamtambui. Hiyo ni siku chache tangu meneja huyo kupanga kumuondoa Kaseja kwenye usajili wa dirisha dogo baada ya Yanga kukiuka makubaliano yaliyokuwemo kwenye mkataba.Yanga ilikiuka...

 

9 years ago

Global Publishers

Meneja atumbuliwa jipu gesti!

IMG_0092

Akiwa haamini kilichotokea baada ya fumanizi hilo.

Stori: Na Waandishi Wetu, Pwani
SASA kinachoonekana ni tumbuatumbua majipu iliyoanzishwa na Rais Dk. John Pombe Magufuli ‘JPM’ dhidi ya mafisadi imeenea kila kona ya nchi, mtu akiumbuliwa katika uovu wowote, wanasema ametumbiliwa jipu na ndivyo ilivyomtokea Salim ambaye ni meneja wa usimamizi wa mafuta kwenye ‘sheli’ zilizopo mkoani Pwani.

Hussein amejitambulisha kwa kikosi cha Oparesheni Fichua Maovu ‘OFM’ cha Global Publishers kuwa yeye ni...

 

10 years ago

GPL

ROSE MUHANDO AMKIMBIA MENEJA

Shani Ramadhani NYOTA wa nyimbo za Injili Bongo, Rose Muhando anadaiwa kumkimbia meneja wake, Alex Msama licha ya kuwepo kwa makubaliano kati yao yaliyohusu kulipiwa deni la kiasi cha shilingi milioni sita alizokuwa akidaiwa msanii huyo mwenye jina kubwa ....Soma zaidi===>http://bit.ly/1f2ceDX

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani