Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


RAIS KIKWETE AZINDUA BARABARA YA DUMILA-RUDEWA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania  Mheshimiwa Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na Waziri wa Ujenzi Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli, Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi Mhandisi Mussa Iyombe pamoja na Makamu mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Miundombinu akikata utepe kuashiria uzinduzi rasmi wa barabara ya Dumila-Rudewa yenye urefu wa Kilomita 45 iliyojengwa kwa kiwango cha lami. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Habarileo

Dumila, Rudewa wapata barabara ya lami

BARABARA ya lami kutoka Dumila hadi Rudewa katika Wilaya ya Kilosa mkoani Morogoro, yenye urefu wa kilometa 45, inayojegwa kwa gharama ya fedha za ndani Sh bilioni 48.6.9, imezinduliwa.

 

9 years ago

Vijimambo

Rais Kikwete azindua Barabara ya kidahwe Uvinza

Rais Dkt.Jakaya Kikwete akisalimiana na baadhi ya wasanii wa ZeComedy Original wakatia lipokutana nao akiwa njiani kuelekea katika uzinduzi wa daraja la Malagarasi mkoani kigoma jana.Wasanii hao walikuwa wanawelekea Mkoani kigoma kujshiri katika kampeni za mgombea urais kwa tiketi ya CCM Mh.John Pombe Magufuli,(picha na Freddy Maro)Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete na Mwakilishi kutoka katika umoja wa Falme za kiarabu balozi Ibrahim Al Suweidy wakifunua kitambaa katika jiwe la msingi wakati wa...

 

10 years ago

GPL

RAIS KIKWETE AZINDUA RASMI UPANUZI WA BARABARA YA NEW BAGAMOYO SEHEMU YA MWENGE - TEGETE LEO

Rais Dk. Jakaya Mrisho Kikwete akitoa hotuba wakati wa uzinduzi wa upanuzi wa barabara ya New Bagamoyo leo. Rais Kikwete akisalimiana na Balozi wa Japan nchini Tanzania, Masaki…

 

11 years ago

Dewji Blog

Rais Kikwete afungua Barabara ya Songea-Namtumbo, azindua Hospitali mpya ya Wilaya ya Namtumbo leo

unnamed (46)

 Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akimwagilia maji mti wa kumbukumbu aliupanda muda mfupi baada ya kuzindua barabara ya Songea hadi Namtumbo yenye urefu wa kilomita 71.4 katika hafla iliyofanyika katika kijiji cha Migelegele wilayani Namtumbo leo. Wapili kushoto ni Waziri wa Ujenzi Dkt.John Pombe Magufuli, Watatu ni Katibu Mkuu Wizara ya Fedha Dkt.Servacius Likwelile, Wanne ni Mkurugenzi wa Mfuko wa Changamoto za Milenia Tanzania Bwana Bernard Mchomvu,Wapili kulia ni mbunge wa Namtumbo Vita...

 

11 years ago

Michuzi

Rais Kikwete afungua ujenzi wa barabara Tunduru - Mangaka matemanga,pia azindua mradi wa maji Nalasi -Tunduru

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete (katikati) na balozi mdogo wa Japan nchini Kazuyoshi Matsunaga (wa tatu kushoto) wakishirikiana kukata utepe ikiwa ni ishara ya kuzindua ujenzi wa Barabara ya Tunduru-Mangaka Matemanga mradi unaojengwa na Serikali ya Tanzania kwa ushirikiano wa serikali ya Japan kupitia shirika lake la kimataifa la maendeleo JICA.Wengine pichani toka kushoto ni ni Mbunge wa Nanyumbu Dunstan Mkapa,Mkuu wa Mkoa wa Mtwara,Kapten Mstaafu Joseph Simbakalia,Waziri wa ujenzi Dkt. John...

 

11 years ago

GPL

RAIS KIKWETE ATUA MAGOLE, AKAGUA DARAJA LA DUMILA, AONGEA NA WANANCHI

Helkopta iliyokuja na Rais Kikwete ikitua eneo la daraja la Dumila mkoani Morogoro leo. Rais Kikwete akishuka katika helkopta…

 

11 years ago

Tanzania Daima

Kikwete azindua barabara

RAIS Jakaya Kikwete amezindua barabara inayounganisha Makao Makuu ya Wilaya ya Handeni na Tanga – Dar es Salaam kupitia Mkata, pamoja na Tanga-Moshi -Arusha kwa upande wa Korogwe. Katika uzinduzi...

 

10 years ago

CloudsFM

VURUGU ZAFUNGA BARABARA DUMILA, MOROGORO

Jeshi la Polisi limelazimika kutumia mabomu ya machozi kuwatawanya wananchi wa Dumila na Mbigiri wilayani Kilosa mkoani Morogoro baada ya kufunga barabara ya Morogoro Dodoma kwa kutumia mawe na kuchoma matairi barabarani katika eneo la Dumila na kusababisha abiria wanaotumia barabara ya Morogoro Dodoma kukosa mawasiliano kwa zaidi ya masaa sita.

Vurugu hizo zilidumu kwa muda mrefu na juhudi za kudhibiti wakulima hao zimechukua muda baada ya askari wachache wa kituo cha Dumila kuonekana...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani