Rais Kikwete azindua Barabara ya kidahwe Uvinza

Rais Dkt.Jakaya Kikwete akisalimiana na baadhi ya wasanii wa ZeComedy Original wakatia lipokutana nao akiwa njiani kuelekea katika uzinduzi wa daraja la Malagarasi mkoani kigoma jana.Wasanii hao walikuwa wanawelekea Mkoani kigoma kujshiri katika kampeni za mgombea urais kwa tiketi ya CCM Mh.John Pombe Magufuli,(picha na Freddy Maro)
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete na Mwakilishi kutoka katika umoja wa Falme za kiarabu balozi Ibrahim Al Suweidy wakifunua kitambaa katika jiwe la msingi wakati wa...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPLRAIS KIKWETE AZINDUA BARABARA YA DUMILA-RUDEWA
11 years ago
GPLRAIS KIKWETE AZINDUA RASMI UPANUZI WA BARABARA YA NEW BAGAMOYO SEHEMU YA MWENGE - TEGETE LEO
11 years ago
Dewji Blog22 Jul
Rais Kikwete afungua Barabara ya Songea-Namtumbo, azindua Hospitali mpya ya Wilaya ya Namtumbo leo
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akimwagilia maji mti wa kumbukumbu aliupanda muda mfupi baada ya kuzindua barabara ya Songea hadi Namtumbo yenye urefu wa kilomita 71.4 katika hafla iliyofanyika katika kijiji cha Migelegele wilayani Namtumbo leo. Wapili kushoto ni Waziri wa Ujenzi Dkt.John Pombe Magufuli, Watatu ni Katibu Mkuu Wizara ya Fedha Dkt.Servacius Likwelile, Wanne ni Mkurugenzi wa Mfuko wa Changamoto za Milenia Tanzania Bwana Bernard Mchomvu,Wapili kulia ni mbunge wa Namtumbo Vita...
11 years ago
MichuziRais Kikwete afungua ujenzi wa barabara Tunduru - Mangaka matemanga,pia azindua mradi wa maji Nalasi -Tunduru
11 years ago
Tanzania Daima25 Mar
Kikwete azindua barabara
RAIS Jakaya Kikwete amezindua barabara inayounganisha Makao Makuu ya Wilaya ya Handeni na Tanga – Dar es Salaam kupitia Mkata, pamoja na Tanga-Moshi -Arusha kwa upande wa Korogwe. Katika uzinduzi...
10 years ago
Vijimambo
MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AZINDUA BARABARA YA KM 10 YA MSOGA-MSOLWA


10 years ago
Vijimambo
RAIS KIKWETE AZINDUA RASMI DARAJA LA KIKWETE JUU YA MTO MALAGARASI MKOANI KIGOMA


10 years ago
Vijimambo05 Oct
RAIS KIKWETE NA RAIS KENYATTA WAZINDUA BARABARA TAVETA




