Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Rais Magufuli akiwa Ofisini Kwake Siku ya Kwanza

Rais Dkt. John Pombe Magufuli akifanyakazi ofisini kwake Ikulu jijini Dar es Salaam leo ikiwa ni siku yake ya kwanza ofisini kwake tangu alipoapishwa kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wa awamu ya tano.(Picha na Freddy Maro)

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Dewji Blog

Rais Dkt. Magufuli, Waziri Mkuu Majaliwa, wamtembelea Makamu wa Rais, Mhe. Samia ofisini kwake Ikulu Dar

1

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli, (kushoto) akizungumza na Makamu wake, Mhe. Samia Suluhu Hassan (katikati) na Waziri Mkuu, Majaliwa Kassim Majaliwa, wakati Rais na Waziri Mkuu walipomtembelea Makamu Ofisini kwake Ikulu jijini Dar es Salaam, leo Nov 30, 2015 kwa mazungumzo. (Picha na OMR).

2

3

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli (kushoto) akiagana na  Makamu wake, Mhe. Samia Suluhu Hassan (katikati) na Waziri Mkuu, Majaliwa Kassim...

 

9 years ago

Michuzi

RAIS DKT. MAGUFULI, WAZIRI MKUU MAJALIWA, WAMTEMBELEA MAKAMU WA RAIS, MHE. SAMIA OFISINI KWAKE IKULU JIJINI DAR.

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli, (kushoto) akizungumza na Makamu wake, Mhe. Samia Suluhu Hassan (katikati) na Waziri Mkuu, Majaliwa Kassim Majaliwa, wakati Rais na Waziri Mkuu walipomtembelea Makamu Ofisini kwake Ikulu jijini Dar es Salaam, leo Nov 30, 2015 kwa mazungumzo.Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli (kushoto) akiagana na  Makamu wake, Mhe. Samia Suluhu Hassan (katikati) na Waziri Mkuu, Majaliwa Kassim Majaliwa (kulia)...

 

5 years ago

Michuzi

DC KATAMBI ATOA SIKU TATU KWA MASANJA KURIPOTI OFISINI KWAKE AU KITUO CHA POLISI

Charles James, Globu ya Jamii

MKUU wa Wilaya ya Dodoma, Patrobas Katambi amempa siku tatu mchekeshaji, Emmanuel Mgaya 'Masanja' kuripoti Ofisini kwake au Kituo Kikuu cha Polisi jijini Dodoma.

DC Katambie ametoa agizo hilo kwa Masanja baada ya kusambaa kwa video ya kipindi chake ambacho hurushwa na Kituo cha Televisheni cha Kimataifa cha DW, ambapo alikua akihoji wananchi wa Dodoma kuhusiana na virusi vya Covid19 ambavyo huchangia maambukizi ya ugonjwa wa Corona.

Akizungumza na wandishi wa...

 

9 years ago

Michuzi

MAKAMU WA RAIS MHE. SAMIA SULUHU HASSAN, AKUTANA NA MABALOZI WA KUWAIT NA RWANDA OFISINI KWAKE IKULU DAR

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan, akizungumza na Balozi wa Rwanda nchini Tanzania, Mhe. Eugene Kayihura, alipofika Ofisini kwake Ikulu jini Dar es Salaam, leo Desemba 22, 2015 kwa mazungumzo.Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan, akizungumza na Balozi wa Kuwait nchini Tanzania, Mhe. Jasem Al Najem, alipofika Ofisini kwake Ikulu jijini Dar es Salaam, leo Desemba 22, 2015 kwa mazungumzo.Makamu wa Rais wa Jamhuri...

 

10 years ago

Mwananchi

Abraham Lincoln ni rais wa kwanza Marekani kuuawa akiwa madarakani

Tangu kuzinduliwa kwa Katiba ya Marekani mwaka 1787 na kupatikana Rais wa kwanza mwaka 1789, nchi hiyo imeshatawaliwa na marais 44. Barack Obama mwenye asili ya Afrika ndiye Rais wa sasa anayemaliza muhula wa mwisho. Aliingia Ikulu Januari 20, 2009.

 

9 years ago

Michuzi

DK MAGUFULI ATINGA KIJIJINI KWAKE CHATO , AZURU KABURI LA ALIYEKUWA MWALIMU WAKE WA DARASA LA KWANZA BIHARAMULO

o Dk Magufuli akiwafariji ndugu wa aliyekuwa mwalimu wake wa darasa la kwanza marehemu Cornel Pastory alipozuru kaburi la mwalimu huyo wilayani Biaharamulo Dk Magufuli akiwafariji ndugu wa aliyekuwa mwalimu wake wa darasa la kwanza marehemu, Cornel Pastrory  alipkwenda kuzuru kaburi Mwalimu Cornel Pastory enzi za uhai wake Dk Magufuli akiweka shada la maua kwenye kaburi la aliyekuwa mwalimu wake wa darasa la kwanza marehemu, Cornel Pastory. Wananchi wakishangilia baada ya kufurahishwa na...

 

9 years ago

Michuzi

RAIS DKT MAGUFULI ATINGA OFISINI KWA WAZIRI MKUU MAJALIWA

 Rais  Dkt.John Pombe Joseph Magufuli akisalimiana na Waziri Mkuu Mhe.  Majaliwa Kassim Majaliwa  wakati alipomtembelea Ofisini kwake jijini Dar es salaam leo Novemba 26, 2015 na kuzungumza nae kwa takribani saa moja. Rais John Pombe Joseph Magufuli akitia saini  kitabu cha wageni wakati alipomtembelea Waziri Mkuu, Majaliwa Kassim Majaliwa ofisini kwake jijini Dar es salaam leo Novemba 26, 2015  na kuzungumza nae kwa takribani saa mojaRais John Pombe Joseph Magufuli akiagana  na Waziri Mkuu...

 

9 years ago

Dewji Blog

Rais Dk. John Pombe Magufuli alipotinga ofisini kwa Waziri Mkuu Kassim Majaliwa jana!

 

IMGS3004 Rais John Magufuli akisalimiana na Waziri Mkuu, Majaliwa Kassim Majaliwa  wakati alipomtembelea Ofisini kwake jijini Dar es salaam Novemba 26, 2015 na kuzungumza nae kwa takribani saa moja. (picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) IMGS3000 Rais John Magufuli akitia saini  kitabu cha wageni wakati alipomtembelea Waziri Mkuu, Majaliwa Kassim Majaliwa ofisini kwake jijini Dar es salaam Novemba 26, 2015  na kuzungumza nao kwa takribani saa moja (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) IMGS3012  Rais John...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani