Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


DC KATAMBI ATOA SIKU TATU KWA MASANJA KURIPOTI OFISINI KWAKE AU KITUO CHA POLISI

Charles James, Globu ya Jamii

MKUU wa Wilaya ya Dodoma, Patrobas Katambi amempa siku tatu mchekeshaji, Emmanuel Mgaya 'Masanja' kuripoti Ofisini kwake au Kituo Kikuu cha Polisi jijini Dodoma.

DC Katambie ametoa agizo hilo kwa Masanja baada ya kusambaa kwa video ya kipindi chake ambacho hurushwa na Kituo cha Televisheni cha Kimataifa cha DW, ambapo alikua akihoji wananchi wa Dodoma kuhusiana na virusi vya Covid19 ambavyo huchangia maambukizi ya ugonjwa wa Corona.

Akizungumza na wandishi wa...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Michuzi

MASANJA ARIPOTI OFISINI KWA DC KATAMBI, AOMBA RADHI NA KUSAMEHEWA

 Mchekeshaji Emmanuel Mgaya 'Masanja' (kulia) akizungumza na wandishi wa habari baada ya kumaliza kuhojiwa na Mkuu wa Wilaya ya Dodoma, Patrobas Katambi (kushoto) mchana wa leo.Mkuu wa Wilaya ya Dodoma, Patrobas Katambi akizungumza na wandishi wa habari baada ya kumaliza kumhoji Masanja baada ya jana kuagiza kuripoti ofisini kwake.
Charles James, Michuzi TV
YAMEISHA! Ndivyo unavyoweza kusema baada ya Mkuu wa Wilaya ya Dodoma, Patrobas Katambi kumsamehe mchekeshaji Emmanuel Mgaya 'Masanja'...

 

10 years ago

Vijimambo

BI REHEMA AMEPOTEA KWA YEYOTE ATAKAYEMUONA ANAOMBWA KURIPOTI KITUO CHA POLISI KIGAMBONI U KILICHO KARIBU

Bi Rehema Salum Msambya pichani juu amepotea tokea tarehe 16/10/2014 maeneo ya Kigamboni - Kisota karibu na Shule ya Sekondari ya Abdu jumbe. Siku hiyo alikuwa amevaa Dela Na Skintirt ya Rangi ya Blue. Bi Rehema ana Matatizo ya Akili. Yeyote atakayemuona anaombwa kutoa taarifa katika kituo cha Polisi Kigamboni au kilicho karibu  au Apige simu namba0712 22 77 220753 63 49 670712 70 77 870713 23 52 94

 

5 years ago

Michuzi

Mkurugenzi wa Kampuni ya Grative Tanzania Limited atakiwa kuripoti kituo cha Polisi

SERIKALI ya Wilaya ya Kaskazini “B” imemuagiza Mkurugenzi wa Kampuni ya Grative Tanzania Limited yenye Makao Makuu yake Dar es salaam kuripoti kwa Mkuu wa Polisi Wilaya ya Kaskazini “B” Asubuhi ya Ijumaa ya wiki hii kutoa maelezo ya kina kuhusiana na kuchelewa kumalizika kwa wakati Mradi wa Ujenzi wa Tangi la kuhifadhia Maji safi na salama linalojengwa katika Kijiji cha Kitope.

Agizo hilo limetanguliwa na lile alilopewa Mhandisi wa usimamizi wa Ujenzi huo aliyepo Zanzibar la kumtaka asitoke...

 

11 years ago

Michuzi

King Majuto atoa msaada wa Steps Solar kwa kituo cha Polisi Mjimwema

Mwigizaji mkongwe katika tasnia ya filamu nchini,Amri Athuman ‘King Majuto’ wiki iliyopita akiwa kama Balozi wa Steps Solar alitoa msaada wa kukifungukia Solar kituo cha Polisi cha Mjimwema, ikiwa ni katika kampeni za kuhakikisha kila mtanzania anafaidika na matumizi ya nishati ya umeme Nuru.
Akiongea na Waandishi wa habari katika hafla iliyoandaliwa na kampuni ya Steps Entertainment ambao ndio wafadhali wa msanii huyo, alisema kuwa kampuni hiyo imekuwa ikisambaza filamu zake lakini kuna...

 

5 years ago

Michuzi

DC ATOA SIKU SABA KWA MHANDISI WA JIJI LA ARUSHA KUWEKA MAJI KWENYE JENGO LA KITUO CHA AFYA MURIET



Mkuu wa wilaya na kamati ya ulinzi na usalama ya Jiji la Arusha wakikagua madarasa kwenye Shule ya Sekondari Sombetini jijini Arusha Jana picha na Ahmed Mahmoud Arusha.
Mkuu wa wilaya ya Arusha Gabriel Daqarro akiongea mara baada ya kukagua ujenzi wa madarasa kwenye Shule ya Sekondari Sombetini na kutoa siku Saba kwa mhandisi kuhakikisha wanaweka maji kwenye kituo Cha Afya huku akipongeza Ujenzi wa madarasa hayo na kutaka yakamilike kwa wakati picha zote na Ahmed Mahmoud Arusha.

Afisa elimu...

 

9 years ago

Michuzi

Rais Magufuli akiwa Ofisini Kwake Siku ya Kwanza

Rais Dkt. John Pombe Magufuli akifanyakazi ofisini kwake Ikulu jijini Dar es Salaam leo ikiwa ni siku yake ya kwanza ofisini kwake tangu alipoapishwa kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wa awamu ya tano.(Picha na Freddy Maro)

 

9 years ago

MillardAyo

Bilionea wa 24 Afrika atoa siku tatu kwa viongozi wa klabu ya Simba kuhusu bilioni 20 zake …

Baada ya stori nyingi kuingia katika headlines kwa siku za hivi karibuni kuhusu uamuzi wa moja kati ya mabilionea wa Afrika kutaka kuinunua klabu ya Simba, mengi yameandikwa na mengi yameongewa. kuhusu Mohamed Dewji maarufu kama MO ambaye amewahi kutajwa na jarida la Forbes kuwa ni bilione wa 24 Afrika kutaka kuinunua Simba. Ikiwa ni […]

The post Bilionea wa 24 Afrika atoa siku tatu kwa viongozi wa klabu ya Simba kuhusu bilioni 20 zake … appeared first on TZA_MillardAyo.

 

10 years ago

Michuzi

Jokate Mwegelo atoa Zawadi za Krismas na Mwaka Mpya kwa Kituo cha Yatima cha Extrem, Tandare

MISS Tanzania namba mbili 2006, mbunifu mavazi na muigizaji wa filamu za kibongo, Jokate Mwegelo ‘Kidoti’,  leo ametoa msaada wa vitu mbalimbali katika Kituo cha Kulea Yatima cha Extrem kilichopo  Tandare kwa Bi Mtumwa, Kinondoni, jijini Dar es Salaam.
Mrembo huyo ambaye pia ni mkurugenzi  wa kampuni ya  Kidoti inayojihusisha na masuala ya urembo, alitoa msaada huo kama zawadi yake ya Sikukuu ya Krismas na Mwaka Mpya kwa watoto hao kama sehemu ya kuwafariji ili nao kujiona wako sawa na...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani