RAIS MAGUFULI: WAGONJWA CORONA NCHINI TANZANIA WAMEPUNGUASANA
![](https://1.bp.blogspot.com/-p6EemEe94BI/XsEVeOjMt2I/AAAAAAAC5hI/hdtP6jzj-egSPQPhb5pisa6uhwlaHhvmACLcBGAsYHQ/s72-c/1.jpg)
Rais John Magufuli amesema kuwa idadi ya wagonjwa wa Corona nchini Tanzania imepungua sana, huku baadhi ya vituo vilivyotengwa kwa ajili ya kuwahudumia wenye maambukizi vikiwa vitupu.
Rais amesema hilo wakati akitoa salamu kwa Watanzania alipohudhuria ibada ya Jumapili- KKKT Usharika wa Chato Mkoani Geita,
Akitoa takwimu hizo Rais Magufuli amesema kwa Mkoa wa Dar es Salaam;
Amana ilikuwa inalaza wagonjwa 198 leo walikuwepo watu 12 walioathirika, Mloganzila walikuwa watu 30 leo 6, Kibaha huwa...
CCM Blog
Habari Zinazoendana
5 years ago
BBCSwahili24 May
Idadi ya wagonjwa wa corona nchini Kenya yafikia 1,214 baada ya kutangazwa wagonjwa wapya 22
5 years ago
BBCSwahili22 May
Virusi vya corona: Rais wa Tanzania anasema wagonjwa wanapungua, je yuko sahihi?
5 years ago
BBCSwahili03 May
Virusi vya Corona: Rais wa Tanzania John Pombe Magufuli atuma ndege Madagascar kuchukua 'dawa ya corona'
5 years ago
BBCSwahili16 Apr
Viusi vya corona: Runinga ya Citizen nchini Kenya yasikitika kumuita rais Magufuli 'mkaidi'
5 years ago
CCM Blog![](https://img.youtube.com/vi/rjXTSjmGSls/default.jpg)
5 years ago
BBCSwahili06 Apr
Virusi vya Corona: Wagonjwa wanne wa Corona waongezeka Tanzania
5 years ago
BBCSwahili17 Apr
Virusi vya corona: Idadi ya wagonjwa Tanzania yafika 147 baada ya wagonjwa 53 zaidi kukutwa na virusi hivyo
5 years ago
CCM Blog![](https://1.bp.blogspot.com/-FVuM2TwqO54/Xq7oNH-EpBI/AAAAAAAC4b4/NTqbcH1rPVkW192cepBZgqVbgV-b3GrVQCLcBGAsYHQ/s72-c/1.jpg)
WAGONJWA WA CORONA NCHINI KENYA WAFIKI 465
![](https://1.bp.blogspot.com/-FVuM2TwqO54/Xq7oNH-EpBI/AAAAAAAC4b4/NTqbcH1rPVkW192cepBZgqVbgV-b3GrVQCLcBGAsYHQ/s400/1.jpg)
Wizara ya afya nchini Kenya imethibitisha maambukizi mapya 30 ya virusi vya corona hii ni baada ya sampuli 883 kufanyiwa vipimo katika muda wa saa 24 na kufanya idadi ya walioambukizwa kufikia 465 .
Naibu waziri wa afya Dk Rashid Aman anasema kuwa 19 ni wagonjwa kutoka Mombasa, 8 jijini Nairobi wawili kaunti ya Bungoma na kimoja kaunti ya Kitui.
Watu wawili zaidi aidha wamefariki kaunti ya Mombasa kutokana na virusi hivyo na kufikisha waliofariki nchini Kenya kuwa 24 na idha waliopona...
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-4rXCNo2Kqzw/XqlNx6Mkm3I/AAAAAAALoig/47-ElDlL2vIyoCWvcszMNsbW7Ljr7nxhwCLcBGAsYHQ/s72-c/1-8.jpg)
WAGONJWA WAPYA WA CORONA 196 WAONGEZEKA NCHINI
Na WAJMW-Dodoma
Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa ametangaza ongezeko la wagonjwa wa Corona 196 nchini huku Tanzania Bara ikiwa na Wagonjwa 174 na Zanzibar wagonjwa 22 ambao walitolewa taarifa na Waziri wa Afya Wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar Mhe. Hamad Rashid na kufanya idadi ya wagonjwa wa Corona nchini kufikia 480.
Waziri Mkuu Majaliwa amesema hayo wakati akigawa magari 50 ya kubebea wagonjwa kwa wabunge wa majimbo mbalimbali tukio lililofanyika leo katika ofisi ya Waziri Mkuu iliyopo...