Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


RAIS MAGUFULI: WANAOTAKA KUGOMBEA WAJITATHMINI KAMA WANATOSHA (+video)


Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Rais Dkt Magufuli amewataka wanachama wote wa chama hicho wenye nia ya kugombea nafasi mbalimbali za uongozi kujitathmini na kujiridhisha kama wanatosha kugombea nafasi wanazoomba.Mwenyekiti huyo amesema hayo alipokuwa akikagua kumbi za Kituo cha Mikutano Dodoma (Jakaya Kikwete Hall) ambako utafanyika Mkutano Mkuu wa CCM, na amesisitiza kauli yake aliyowahi kuitoa kuwa uchaguzi mkuu upo pale pale.“Chama chetu kinayo demokrasia ya kutosha, lakini...

CCM Blog

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Michuzi

RAIS MAGUFULI ATUMA UJUMBE MZITO KWA VIONGOZI WA SERIKALI WANAOTAKA KUGOMBEA UBUNGE WAKIDHANI WATAKUWA MAWAZIRI



Na Said Mwishehe, Michuzi TV

RAIS Dk.John Magufuli amepeleka salamu kwa baadhi ya viongozi wa kada mbalimbali wanaodhani wakiachana nafasi zao na kwenda kugombea ubunge wakishinda atawateuwa katika Baraza la Mawaziri wajue wanajidanganya.
Ameyasema hayo leo Juni 22,2020 Ikulu jijini Dar es Salaam baada ya kumuapisha Mkuu wa Mkoa wa Arusha Idd Kimanta , Mkuu wa Wilaya ya Arusha Kenan Kihongosi, Mkuu wa Wilaya ya Monduli Edward Balele ,Mkuu wa Wilaya ya Morogoro Bakari Msulwa,Mkurugenzi wa Jiji...

 

10 years ago

Habarileo

Wapinzani watakiwa kujiuliza kama wanatosha kuongoza nchi

KADA wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) ambaye pia ni Mwenyekiti wa Wabunge wa Mkoa wa Morogoro, Amos Makala amesema dola haitafutwi kwa lelemama na kutaka wapinzani kujiuliza kama wanatosha kuongoza nchi ifikapo uchaguzi mkuu 2015.

 

5 years ago

CCM Blog

RAIS MAGUFULI ACHUKUA FORM YA KUGOMBEA URAIS


Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa Rais John Magufuli, leo amechukua fomu za kuwania kuteuliwa na chama chake kushiriki katika kinyang’anyiro cha urais katika uchaguzi mkuu ujao.
Rais Magufuli amekabidhiwa fomu hiyo na Katibu Mkuu wa CCM Dkt Bashiru Ally kwenye Makao Makuu ya chama hicho mkoani Dodoma.
Akizungumza baada ya kukabidhiwa fomu hiyo, Rais Magufuli amesema anaanza mapema mchakato wa kutafuta wadhamini  ili awahi kurejesha fomu hiyo mapema.
Mwenyekiti huyo wa CCM amesema...

 

10 years ago

Bongo5

H.Baba atoa ushauri kwa wasanii wanaotaka kugombea ubunge na nafasi zingine

H.Baba amewatahadharisha wasanii wa muziki nchini waliotangaza au waliopanga kugombea nyadhifa mbalimbali za uongozi katika uchaguzi mkuu ujao kuwa wakikosa nyadhifa hizo watapotea kabisa kwenye muziki. H.Baba amewataka wasanii kuacha kukurupuka kwani katika siasa mgombea anatakiwa awe amejianda kisaikojia ili kukabiliana na matokeo yake. “Wasanii wenzangu mimi nawashauri ingawa kila mtu na mtazamo wake, lakini […]

 

5 years ago

Michuzi

MAMBO YAMEIVA CCM...WANAOTAKA KUGOMBEA URAIS WAPEWA RATIBA YA KUCHUKUA NA KUREJESHA FOMU

Na Said Mwishehe, Michuzi TV.
CHAMA Cha Mapinduzi(CCM) kimetengaza rasmi ratiba ya uchukuaji na urejeshaji wa fomu ya kugombea nafasi ya Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tekiti cha Chama hicho katika Uchaguzi Mkuu unaotarajia kufanyika Oktoba 25,2020.
Akitangaza ratiba hiyo leo Juni 12,2020 jijini Dar es Salaa Katibu wa Itikadi na Uenezi wa Chama Cha Mapinduzi(CCM) Humphrey Polepole amesema ratiba ya kumpata mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania inaanza Juni 15 mpaka...

 

5 years ago

Michuzi

Rais Magufuli achukua fomu za kuomba kuteuliwa na CCM kugombea Urais

Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM Rais Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akikabidhiwa Fomu ya kuomba ridhaa ya kuteuliwa kugombea Urais kwa Tiketi ya CCM katika Uchaguzi Mkuu utakaofanyika baadae mwaka huu kutoka kwa Katibu Mkuu wa CCM Dkt. Bashiru Ally Kakurwa katika Ofisi za Makao Makuu ya CCM White House Dodoma leo tarehe 17 JUNI 2020.Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM Rais Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akitoka katika Makao Makuu ya CCM White House Dodoma leo tarehe...

 

9 years ago

Mwananchi

UCHAMBUZI: Kwa Kikwete, Magufuli ni kama rais mteule

Picha anayoichora Rais Jakaya Kikwete kupitia hotuba zake katika hafla na matukio tofauti kipindi hiki inazua maswali mengi.

 

10 years ago

Raia Mwema

Kama akiwa Rais Nani atamfunga ‘gavana’ Magufuli?

NIANZE kwa kuwaomba radhi wasomaji wangu kwa kutoweka ghafla, na kwa muda mrefu katika safu hii.

Johnson Mbwambo

 

9 years ago

Michuzi

MAGUFULI APOKELEWA KAMA MFALME KIGOMA,WANANCHI WAKIRI WAZI ATOSHA KUWA RAIS

Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,kupitia chama cha Mapinduzi Dkt John Pombe Magufuli akiwahutubia  maelfu ya wananchi waliofurika kwenye mkutano wa hadhara wa kampeni za Urais,uliofanyika katika uwanja wa Kawawa,mkoani Kigoma jioni ya leo.
 Dkt Mafuli amewaabia wananchi wa Kigoma kwenye mkutano wa kampeni leo jioni kwenye uwanja wa kawawa kuwa Serikali yake kwa sehemu kubwa itakuwa upande wa wananchi wanyonge ili hatimaye wawe na maisha yenye neema,amesema kuwa Serikali yake...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani