Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Rais Mugabe azindua kituo cha umeme

Rais Robert Mugabe wa Zimbabwe amezindua mradi wa upanuzi wa kituo cha umeme ambacho ni cha pili kwa ukubwa nchini humo.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

Makamu wa Rais Dkt. Bilal azindua kituo cha Afya cha Ghana,Unguja leo

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisalimiana na Wananchi wa kijiji cha Ghana alipowasili kijijini hapo kwa kufungua rasmi kituo cha Afya kilichojengwa na Wananchi kwa kushirikiana na Wafadhili kilichopo Ghana Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja leo Sept 21-20014. Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akikata utepe kufungua rasmi kituo cha Afya kilichojengwa na Wananchi kwa kushirikiana na...

 

10 years ago

GPL

MAKAMU WA RAIS, DKT. BILAL AZINDUA KITUO CHA KOMPYUTA CHA SKULI YA KIEMBE SAMAKI ZANZIBAR WAFANYIKA

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk,Mohd Gharib Bilali kushoto akisalimiana na Balozi mdogo wa China aliyeko Zanzibar Mr.Xie Yunliang katika ufunguzi wa Kituo cha Kompyuta cha Skuli ya Secondary ya Kiembe Samaki mjini Zanzibar ikiwa ni Shamra shamra za kutimiza miaka 51 ya Mapinduzi ya Zanzibar. Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk,Mohd… ...

 

10 years ago

Michuzi

MAKAMU WA RAIS,DKT. BILAL AZINDUA KITUO CHA KOMPYUTA CHA SKULI YA KIEMBE SAMAKI ZANZIBAR WAFANYIKA

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk,Mohd Gharib Bilal akikata Utepe kuashiria ufunguzi wa Kituo cha Kompyuta cha Skuli ya Secondary ya Kiembe Samaki mjini Zanzibar ikiwa ni Shamra shamra za kutimiza miaka 51 ya Mapinduzi ya Zanzibar.Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk,Mohd Gharib Bilal akipata maelezo kuhusiana na Compyuta kwa Balozi mdogo wa china alieko Zanzibar Mr.Xie Yunliang katika ufunguzi wa Kituo cha Kompyuta cha Skuli ya Secondary ya Kiembe Samaki...

 

10 years ago

Michuzi

MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AZINDUA MKONGO WA TAIFA WA MAWASILIANO, KATIKA KITUO CHA KUTUNZIA KUMBUKUMBU CHA TAIFA (NATIONAL INTERNET DATA CENTRE) KIJITOMYAMA.

  Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia, Makame Mbarawa, kwa pamoja wakifunua kitambaa kuashiria uzinduzi rasmi wa Kituo cha kutunzia kumbukumbu cha Taifa (National Internet Data Centre) Kijitonyama, leo Okt 21, 2015.  Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia, Makame Mbarawa (kushoto) na Mwakilishi wa Ofisi ya Uchumi na...

 

10 years ago

Michuzi

SHIRIKA LA UMEME TANESCO LAIBIWA NYAYA ZA UMEME KITUO CHA KIPAWA





Mhandisi  Emmanuel Manirabona akiwaeleza  wandishi wa habari kuhusu wizi wa nyaya za umeme zilizokuwa zinafungwa chini katika kituo cha kusafirishia na kupelekea umeme kilichopo kipawa jijini Dar es Salaam wakatialipowatembeza wandishi wa  habari kuangalia wizi uliotokea wa nyaya leo

Afisa mwandamizi makao makuu ya Tanesco Leni Kiobya  akiwaeleza wandishi wa habari kuhusu wizi wa nyaya za umeme zilizokuwa zinafungwa chini




Akiwaonyeshea wandishiwa habari moja ya nyaya  ambazo zilizokatwa na...

 

11 years ago

Dewji Blog

Rais Kikwete azindua rasmi kituo cha magonjwa ya Moyo katika hospitali ya Taifa ya Muhimbili Jijini Dar

h1

Rais Dkt Jakaya Mrisho kikwete akiongea na mmoja wa wagonjwa watoto waliofanyiwa upasuaji kwenye kituo kipya na cha kisasa cha Moyo katika hospitali ya Taifa ya Muhimbili baada ya kukifungua rasmi jana April 27, 2014.

h2

Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete na Makamu Mwenyekiti wa chama tawala cha China cha National People’s Congress Mhe. Chen Changzhi (kushoto) wakioneshwa moja ya vifaa vya kisasa vya kuchunguzia maradhi kwenye kituo kipya na cha kisasa cha Moyo katika hospitali ya Taifa ya...

 

11 years ago

GPL

MOTO WATEKETEZA KITUO CHA KUPOZEA UMEME CHA MJINI MOSHI

Askari wa kikosi cha Zimamoto wakifika eneo la tukio. Wananchi wakishuhudia juhudi za kuzima moto.
Moto ukiendelea.…

 

10 years ago

Michuzi

Naibu Waziri Mhagama avutiwa na kituo cha kuzalisha Umeme Vijijini cha Kikuletwa

Naibu Waziri wa Elimu,Jenesta Mhagama akikagua chanzo cha kuzalisha Umeme cha Kikuletwa kilichopo wilayani Hai mkoa wa Kilimanjaro ambacho kimekabidhiwa Chuo cha Ufundi Arusha(ATC)kwaajili ya kukitumia kufundishia na kuzalisha umeme vijijini,kushoto ni Mkuu wa Chuo,Dk Richard Masika. Naibu Waziri wa Elimu,Jenesta Mhagama akikagua moja ya Transfoma iliyokua ikitumika kabla ya Tanesco kuacha kukitumia kituo hicho miaka ya 1980. Naibu Waziri ,Jenista Mhagama na Mkuu Chuo,Dk Richard Masika ...

 

10 years ago

Vijimambo

Transfoma la kituo kikuu cha umeme cha Mgololo Mkoani Iringa lateketea kwa moto

Transfoma la kituo kikuu cha umeme cha Mgololo Mkoani Iringa likiteketea kwa moto mchana baada ya kulipuka ghafla,chanzo kilichepekea kulipuka kwa Transfoma hiyo bado hakijajulikana mpaka sasa na hali hiyo itapelekea baadhi ya maeneo ya mikoa ya Mbeya na Njombe kuwa gizani kwa muda.Taarifa zaidi zitawajia baadae kidogo.Washuhuda wakiangalia Mtambo huo unavyoendelea kuteketea kwa moto mchana huu.CHANZO MICHUZI BLOG

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani