Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Rais Obama azungumzia ugaidi

Rais Barack Obama wa Marekani amekubali kutoweka bayana mipango ya serikali yake katika mapambano dhidi ya ugaidi duniani .

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

10 years ago

BBCSwahili

Obama kuiondoa Cuba orodha ya ugaidi

Rais Barack Obama amepanga kuiondoa Cuba kutoka orodha ya nchi zinazofadhili ugaidi duniani

 

10 years ago

StarTV

Obama kuiondoa Cuba kwenye orodha ya ugaidi.

Rais Barack Obama amesema ataiondoa Cuba kutoka orodha ya Marekani ya nchi zinazofadhili ugaidi duniani.

Taarifa kutoka Ikulu ya Marekani imesema hatua hiyo inakuja huku kukiwa na jitihada za kujenga uhusiano kati ya Marekani na Cuba.

Uwepo wa Cuba katika orodha hiyo pamoja na nchi za Syria, Iran na Sudan kilikuwa kigezo cha Cuba katika mazungumzo yake na Marekani ya kufungua ofisi za balozi kati ya nchi hizo.

Seneta wa chama cha Republican Marco Rubio ameishutumu Ikulu ya Marekani kwa...

 

10 years ago

Bongo5

Mtuhumiwa wa Ugaidi nchini Marekani akiri asingekamatwa angemuua Obama

Mtu mmoja anayetuhumiwa kutaka kushambulia mji mkuu wa Marekani Washington DC, aliomba kituo cha televisheni kimoja kumtembelea mahabusu na alipohojiwa na mwandishi wa habari kama asingekamatwa alisema alisema angehakikisha risasi inaingia kichwani kwa Obama. Mwandishi wa kituo cha televisheni (WXIX-TV) alidai kuwa mtuhumiwa huyo, Christopher Lee Cornell alipiga simu kutoka jela ya  Kentucky ambako anashikiliwa na […]

 

10 years ago

BBCSwahili

Unamfahamu dadake rais Obama,Auma Obama?

Je ulimwona rais Obama akimkumbatia mwanamke aliyekuwa mwisho kabisa katika foleni ya wale waliomkaribisha Kenya ijumaa usiku

 

10 years ago

Dewji Blog

Rais Kikwete apokea salamu za kheri kutoka kwa Rais Obama

D92A4464

Balozi wa Tanzania nchini Marekani Mh.Liberata Mulamula akiwasilisha kwa Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete salamu za kumtakia kheri na afya njema kutoka kwa Rais wa Marekani Barack Obama leo  jijini Baltimore, Maryland, Marekani.

D92A4470

jk3

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akisoma salamu maalumu za kumtakia kheri na afya njema  kutoka kwa Rais Barack Obama wa Marekani leo jijini Baltimore,  Maryland, Marekani.

jk13

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiongea na Balozi Liberata Mulamula na ujumbe wake wa...

 

10 years ago

Dewji Blog

Rais apokea salamu za pole toka kwa Rais Obama

Jakaya-Kikwete

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete mchana wa Jumatatu, Novemba 24, 2014 amepokea salamu za pole kutoka kwa Rais wa Marekani Mheshimiwa Barak Obama.

Katika salamu zake Rais Obama ameelezea kufurahishwa na taarifa kwamba Rais Kikwete anaendelea vyema kiafya baada ya kufanyiwa upasuaji kwa mafanikio na kuondoa tatizo la tezi dume alilokuwa nalo.

Rais Obama amesema katika salamu hizo kuwa alipata heshima kufanya ziara rasmi nchini Tanzania mwaka 2013, na...

 

10 years ago

Uhuru Newspaper

JK azungumzia Rais ajaye


NA MWANDISHI WETU, BEIJING
“NINGEPENDA Rais ajaye baada yangu awe bora kuliko mimi.” Ni kauli ya Rais Jakaya Kikwete kwa mabalozi wa Afrika wanaowakilisha nchi zao nchini.
Rais Kikwete ambaye yuko katika ziara ya kikazi mjini hapa, alitoa kauli hiyo juzi alipozungumza na wawakilishi hao wa Afrika na kuwaeleza hali ilivyo Afrika kisiasa, kiuchumi na kijamii.
Kilichomsukuma Rais kuzungumzia mustakabali huo wa uongozi wa taifa, ni swali aliloulizwa na mwakilishi wa Nigeria, Sola Onadije, ambaye...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani