Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


RAIS SHEIN ATEBELEA MNARA WA MIAKA HAMSINI MICHENZAI PIA KIWANJA KARIAKOO UNGUJA

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,atembelea maendeleo ya Ujenzi wa Mnara wa Kumbu kumbu ya miaka 50 ya Mapinduzi Zanzibar unaojengwa katika viwanja wa Kisonge Michenzani Mjini Unguja. Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,(katikati) akipata maelezo kutoka kwa Katibu Mkuu Wizara ya Ardhi ya Maji,Makaazi na Nishati Nd,Ali Halil Mirza,(wa pili kushoto) wakati alipotembelea maendeleo ya Ujenzi wa Mnara wa Kumbu...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

Rais wa Zanzibar Dk Ali Shein Atembelea Mnara wa Kumbukumbu ya miaka 50 ya Mapinduzi Zanzibar Michezani na Uwanja wa mabembea wa Kariakoo Mjini Unguja

 Uwanja wa mabembea wa Kariakoo Mjini Unguja ukiwa katika hatua za mwisho katika matengenezo,ambapo Rais wa wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein, aliahidiwa kumalizika hivi karibuni wakati alipofanya ziara leo ya kuona maendeleo ya ujenzi huo.    Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,atembelea maendeleo ya Ujenzi wa Mnara wa Kumbukumbu ya miaka 50 ya Mapinduzi Zanzibar unaojengwa katika viwanja wa Kisonge Michenzani...

 

9 years ago

Vijimambo

DR. SHEIN AZINDUA MNARA WA MIAKA 50 YA MAPINDUZI MATUKUFU YA ZANZIBAR

Haiba ya Mnara wa Kumbukumbu ya Miaka Hamsini ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar ya Mwaka 1964 inavyoonekana baada ya kumalizika kujengwa hapo katika Majumba ya Maendeleo Michenzani Mjini Zanzibar. Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dr. Ali Mohammed Shein akikata utepe kuashirika kuufungua Rasmi Mnara wa Kumbu kumbu ya Miaka 50 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar ya Mwaka 1964 hapo Michenzani Mjini Zanzibar. Mshauri wa Ujenzi wa Mnara wa wa Kumbu kumbu ya Miaka 50 ya...

 

11 years ago

Michuzi

Rais Dkt Shein Atembelea Bandari ya Malindi Unguja.

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Ali Mohamed Shein (wa pili kushoto) akipata maelezo kutoka kwa Mkurugenzi wa Shirika la Bandari Abdalla Juma (katikati) alipofanya ziara ya kutembelea katika Ofisi ya Shirika hilo leo Wilaya ya Mjini Unguja,(kushoto) Waziri wa Miundombinu na Mawasiliano Seif Rashid,(kulia) Naibu Waziri Issa Haji Gavu, na (wapili kulia) Katibu Mkuu Wizara hiyo Juma Akili  Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Ali Mohamed Shein...

 

9 years ago

Michuzi

Rais wa Zanzibar Dk.Shein Amuapisha Mkuu Mpya wa Wilaya ya Magharibi A Unguja

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akimuapisha Nd,Mwinyiussi Hassan Abdalla kuwa Mkuu wa Wilaya Magharibi A Unguja katika hafla iliyofanyika leo katika ukumbi wa Ikulu Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akimkabidhi hati ya kiapo Nd,Mwinyiussi Hassan Abdalla baada ya kumuaapisha kuwa Mkuu wa Wilaya Magharibi A  katika hafla iliyofanyika leo katika ukumbi wa Ikulu Mjini Unguja. Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa...

 

5 years ago

Michuzi

RAIS WA ZANZIBAR DK.SHEIN ATEMBELEA JENGO LINALOTARAJIWA KUWA LA UCHUNGUZI WA VIRUSI UNGUJA LEO


RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akizungumza na Waandishi wa habari wa vyombo mbalimbali vilioko Zanzibar wakati alipotembelea jengo linalotarajiwa kuwa la Uchunguzi wa Virusi Zanzibar, Binguni Wilaya ya Kati Unguja leo.25/3/2020 (kushoto kwa Rais) Waziri wa Afya Zanzibar Mhe. Hamad Rashid Mohammed na Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Utafiti wa Afya Zanzibar Dkt. Mayasa Salum Ali.(Picha na Ikulu).
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la...

 

10 years ago

Michuzi

Wabunge wanawake wasisitiza ajenda ya hamsini kwa hamsini kutokakwepeka katika Katiba Mpya ijayo

Mjumbe wa Bunge Maalum la Katiba, Mhe. Margareth Sitta akifungua semina ya Wanawake iliyohusu kuwawezesha wanawake katika masuala ya uongozi, utatuzi wa migogoro pamoja na harakati za uchaguzi iliyofanyika leo 13 Septemba, 2014 mjini Dodoma. Naibu Waziri Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto, Mhe. Pindi Chana akiwahutubia baadhi ya wanawake na wanaume waliohudhuria semina maalum iliyohusu kuwawezesha wanawake katika masuala ya uongozi, utatuzi wa migogoro pamoja na...

 

11 years ago

BBCSwahili

Kenya yakata keki miaka hamsini!

Kenya imefikisha miaka hamsini tangu kujitatawala lakini changamoto bado ni nyingi kwani ndoto ya kufikia mengi haijatimia.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani