Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Rais wa Namibia Dk. Hage Geingob awasili nchini

Rais wa Namibia Dokta Hage Geingob amewasili nchini Tanzania kwa ziara ya kikazi ya siku mbili ambapo pamoja na mambo mengine atafanya mazungumzo ya siri na Rais Jakaya Kikwete.

Mapema Jumatatu anatarajiwa kuzungumza na mabalozi mbalimbali waliopo hapa nchini.

Miongoni mwa mambo ambayo Dokta Geingob anasifiwa kwayo ni kuwa kiongozi anayependa mambo yafanyike kwa haraka akitajwa kuwa mwanzilishi wa Sera ya Maridhiano nchini humo kwenye uchaguzi mkuu wa kwanza wa kidemokrasia wa nchi hiyo...

StarTV

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

Rais Kikwete ampongeza Rais Mpya wa Namibia Dkt.Hague Geingob

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Rais Mpya wa Namibia Dkt.Hage Geingob wakati wa sherehe za kuapishwa kwake zilizofanyika katika Uwanja wa michezo wa Uhuru wa Namibia jijini Windhoek leo.Sherehe za kumuapisha Rais huyo wa tatu wa Namibia ziligongana na maadhimisho ya miaka 25 ya uhuru wa nchi hiyo.(picha na Freddy Maro)

 

9 years ago

Habarileo

Rais wa Namibia asifu demokrasia nchini

RAIS wa Namibia, Dk Hage Geingob ameipongeza serikali kwa kubadilishana uongozi kwa amani na utulivu. Amesema hatua hiyo inaonesha ukomavu wa hali ya juu wa demokrasia. Aidha, Geingob amesema ana imani kuwa Tanzania itafanya uchaguzi wake kwa amani.

 

9 years ago

Michuzi

RAIS WA NAMIBIA AANZA ZIARA YA SIKU MBILI NCHINI TANZANIA


  Rais wa Namibia, Hage Geingob akilakiwa na Rais Jakaya Kikwete mara baada ya kuwasili leo kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA), jijini Dar es Salaam kwa ajili ya ziara ya kikazi ya siku mbili.  Rais wa Namibia, Hage Geingob akisalimiana na mke wa rais Jakaya Kikwete mara baada ya kuwasili nchini kwa ajili ya ziara ya kikazi ya siku mbili. Rais wa Namibia, Hage Geingob akipokea maua kutoa kwa mtoto, Elizaberth Jackson mara baada ya kuwasili leo kwenye Uwanja wa Ndege...

 

10 years ago

Vijimambo

Rais Kikwete awasili nchini Msumbiji kuhudhuria Sherehe za kuapishwa Rais Nyusi

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete na mkewe Mama Salma Kikwete wakiwasili katika uwanja wa ndege wa Maputo kuhudhuria sherehe za kuapishwa Rais Mpya wa Msumbiji Mhe. Filipe Nyusi kesho mjini Maputo. Bwana Nyusi anachukua hatamu za uongozi kutoka kwa Rais Armando Emilio Jacinto Guebuza anayemaliza muda wake.(Picha na Freddy Maro)

 

9 years ago

Michuzi

RAIS WA NAMIBIA AMALIZA ZIARA YAKE YA KIKAZI YA SIKU MBILI NCHINI




Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimsindikiza Rais wa Namibia ambaye amemaliza ziara yake ya kikazi ya siku mbili nchini leo Oktoba 12, 2015 katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere  jijini Dar es salaam.KWA PICHA ZAIDI BOFYA HAPA.

 

10 years ago

Vijimambo

RAIS OBAMA AWASILI NCHINI KENYA

 Rais Barrack Obama wa Marekani, tayari amewasili mjini Nairobi.
Ndege iliyombeba rais obama ilitua katika uwanja wa ndege wa Jomo Kenyatta muda mfupi baada ya saa mbili za usiku. Alipowasili Rais Obama amelakiwa na mweyeji wake Rais Uhuru Kenyatta. mwendo wa saa mbili na robo rais Obama alitua ndege yake. Alipowasili alizungumza kwa muda mfupi na mwenyeji wake rais Kenyatta na kisha kutia saini kitabu cha wageni kabla ya kuondoka. Obama sasa ameandikisha historia ya kuwa rais wa kwanza wa...

 

10 years ago

GPL

RAIS WA UJERUMANI JOACHIM GAUCK AWASILI NCHINI

Rais wa Ujerumani Mh. Joachim Gauck  akiwa ameambatana na mkewe Bibi Schadt akiwasili katika Uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere usiku wa kuamkia leo jijini Dar es salaam.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Mohammed Gharib Bilal (kulia) akiwa mwenye furaha mara baada ya kumpokea Rais wa Ujerumani Mh. Joachim Gauck  na Mkewe Bibi Schadt (walioshika maua), Uwanja wa ndege wa...

 

11 years ago

Michuzi

Rais Kikwete awasili nchini akitokea London

Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam Bwana Said Meck Sadik akimpokea Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete muda mfupi baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa mwalimu Julius Nyerere akitokea London Uingereza ambapo alihudhuria Mkutano uliojadili mbinu za kupambana na Ujangili duniani.Mkutano huo uliandaliwa na mwana mfalme wa Uingereza Prince Charles.(picha na Freddy Maro)

 

10 years ago

Vijimambo

Rais wa Ujerumani awasili nchini kuanza ziara ya kitaifa

Rais wa Ujerumani, Mhe. Joachim Gauck pamoja na Mhe. Mama Schadt wakiteremka kwenye ndege mara baada ya kuwasili kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere Jijini Dar es Salaam kwa ajili ya kuanza ziara ya kitaifa ya siku tano hapa nchini. Mhe. Gauck akilakiwa na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Mohammed Gharib Bilal mara baada ya kuwasili nchini. Mhe. Gauck na Mama Schadt wakipokea maua kutoka kwa Watoto Elizabeth Jackson na Barqat Mvungi walioandaliwa kwa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani