Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Rais wa Somalia akubali kukutana na Rais wa Kenya kujaribu kutatua hitilafu zilizopo


Rais Mohamed Farmajo wa Somalia amekubali mwaliko wa Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya wa kukutana naye jijini Nairobi kwa ajili ya kutuliza hali ya mambo baada ya uhusiano wa pande mbili kuingia dosari hivi karibuni.

Rais wa Somalia amesema hayo baada ya kumpokea mjumbe maalumu wa Rais Kenyatta Bwana Fred Matiang’i Waziri wa Usalama wa Ndani aliyetumwa mjini Mogadishu kwa ajili ya kukutana na Rais wa nchi hiyo.

Rais wa Somalia amemhakikishia Matiang’i kwamba, atafanya safari hivi karibuni mjini...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Michuzi

Rais Magufuli na Rais Kenyatta waagiza viongozi kukutana na kutatua mgogoro wa malori mpakani


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza jambo na mtoto aliyejulikana kwa jina moja...

 

10 years ago

Mwananchi

Rais Kikwete akubali utendaji wa Chadema Manispaa ya Moshi

Rais Jakaya Kikwete, amempongeza Meya wa Manispaa ya Moshi, Jaffar Michael kwa kile alichosema ni kusimamia vizuri na kutekeleza  Ilani ya CCM katika kuwaletea wananchi maendeleo.

 

11 years ago

GPL

RAIS KIKWETE AKUTANA NA NAIBU RAIS WA KENYA WILLIAM RUTO

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akitambulishwa kwa baadhi ya viongozi wa Kenya na Naibu Rais wa Kenya Mhe William Ruto walipowasili kwa pamoja katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Jomo Kenyatta jijini Nairobi leo Ijumaa January 24, 2014. Viongozi hawa walikutana jijini Amsterdam, Uholanzi, na kupanda ndege moja kuelekea nyumbani. Rais Kikwete ambaye alitua nairobi kwa muda, alikuwa akitokea Davos, Uswisi, alikokuwa kwenye ziara ya...

 

11 years ago

BBCSwahili

Wazazi wasita kukutana na Rais Goodluck

Wazazi wa zaidi ya wasichana 200 waliotekwa nyara na Boko Haram nchini Nigeria wamekataa wito wa kukutana na rais wa taifa hilo Goodluck Jonathan.

 

11 years ago

BBCSwahili

Rais Kiir kukutana na Riek Machar

Rais Salva Kiir anatarajiwa kukutana na Riek Machar kwa mara ya kwanza tangu watie saini mkataba wa kusitisha vita mwezi uliopita.

 

11 years ago

BBCSwahili

Hatimaye Rais Goodluck kukutana na wazazi

Rais Goodluck Jonathan anatarajiwa kukutana na wazazi wa wasichana waliotekwa nyara na wapiganaji wa kiisilamu wa Boko Haram.

 

5 years ago

CCM Blog

MADAKTARI KUKUTANA NA RAIS MAGUFULI KESHO

 Chama cha Madaktari Tanzania (MAT) kinatarajia kukutana na kuzungumza na Rais John Magufuli, ambapo miongoni mwa mambo watakayomueleza ni changamoto za ukosefu wa ajira, udhalilishaji na motisha za watumishi.
Rais wa MAT, Dkt. Elisha Osati amesema kuwa mkutano huo unaotarajiwa kufanyika kesho tarehe 20 mwezi huu katika Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNICC), utashirikisha zaidi ya watumishi 1,000 wa kada ya afya.
“Tunataka tumueleze Rais masuala mbalimbali yanayohusu sekta...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani