Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MADAKTARI KUKUTANA NA RAIS MAGUFULI KESHO

 Chama cha Madaktari Tanzania (MAT) kinatarajia kukutana na kuzungumza na Rais John Magufuli, ambapo miongoni mwa mambo watakayomueleza ni changamoto za ukosefu wa ajira, udhalilishaji na motisha za watumishi.
Rais wa MAT, Dkt. Elisha Osati amesema kuwa mkutano huo unaotarajiwa kufanyika kesho tarehe 20 mwezi huu katika Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNICC), utashirikisha zaidi ya watumishi 1,000 wa kada ya afya.
“Tunataka tumueleze Rais masuala mbalimbali yanayohusu sekta...

CCM Blog

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Michuzi

Rais Magufuli na Rais Kenyatta waagiza viongozi kukutana na kutatua mgogoro wa malori mpakani


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza jambo na mtoto aliyejulikana kwa jina moja...

 

5 years ago

Michuzi

MAALIM SEIF ASEMA AMEFURAHI KUKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA RAIS MAGUFULI


Na Said Mwishehe, Michuzi Blogu ya Jamii
MWANASIASA mkongwe nchini ambaye kwa sasa ni Mshauri wa Chama cha ACT-Wazalendo Maalim Seif Sharif Hamad amesema anamshukuru Rais Dk.John Magufuli kwa kukutana na kufanya mazungumzo naye.
Maalim Seif amekutana na Rais Magufuli ikiwa ni mara yake ya kwanza tangu ajiunge na ACT –Wazalendo akitokea Chama cha Wananci(CUF).Hata hivyo kabla ya kuondoka CUF alishawahi kukutana na kufanya mazungumzo na Rais.
Akizungumza baada ya mazungumzo yake na Rais Magufuli,...

 

5 years ago

Michuzi

RAIS DK. MAGUFULI AIPONGEZA MKAPA FOUNDATION KWA UJENZI WA NYUMBA ZA MADAKTARI NCHINI

Afisa Mtendaji Mkuu wa Mkapa Foundation Ellen Mkondya Senkoro akimuelekeza jambo Mwakilishi wa WHO nchini Tanzania Dr. Tigest Ketsela katikati wakati alipotembelea banda la taasisi hiyo katika maadhimisho ya Siku ya Madaktari Tanzania yaliyofanyika jana kwenye ukumbi wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam.Afisa Mtendaji Mkuu wa Mkapa Foundation Ellen Mkondya Senkoro akiwa na Mwakilishi wa WHO nchini Tanzania Dr. Tigest Ketsela kulia ni Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Dar es salaam walipotembelea...

 

5 years ago

Michuzi

RAIS DKT MAGUFULI ASHIRIKI KATIKA MAADHIMISHO YA SIKU YA MADAKTARI KITAIFA MWAKA 2020 JIJINI DAR ES SALAAM


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akihutubia wakati wa maadhimisho ya siku ya Madaktari Kitaifa Mwaka 2020 katika Ukumbi wa Kituo cha Mikutano cha Kimataiafa cha Mwalimu Nyerere jijini Dar es salaam leo Alhamisi Februari 20, 2020  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimkabidhi Tuzo Maalumu.....katika kutambua mchango wake mkubwa katika tasnia ya afya wakati wa Maadhimisho ya Siku ya Madaktari Kitaifa mwaka 2020 katika Kituo cha...

 

5 years ago

CCM Blog

RAIS MAGUFULI KUHUTUBIA BUNGE NA KULIVUNJA KESHO

  Na Jonas Kamaleki-MAELEZOSpika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai amesema kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli anatarajia kulihutubia na kulivunja Bunge la 11 jijini Dodoma kesho Juni 16, 2020.
Bunge hilo lilifunguliwa na Rais Magufuli Novemba 20, 2015 baada ya kuapishwa kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Akifungua Bunge hilo, Rais Magufuli aliainisha viapaumbele kadhaa vya Serikali yake ikiwemo kupambana na rushwa, kukusanya kodi, kupunguza urasimu...

 

5 years ago

Bongo5

Rais Magufuli aamuru madaktari 258 walioomba kufanya kazi nchini Kenya waajiriwe nchini mara 1

Mnamo tarehe 18 Machi 2017 Ujumbe wa Serikali ya Kenya ukiongozwa na Waziri wa Afya Dkt. Cleopa Mailu uliwasili nchini ambapo ulikutana na Mheshimiwa Dkt. John Pombe Joseph Magufuli, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Dhumuni la mkutano huo ulikua kuomba kuajiri, kwa Mkataba, Madaktari wa Tanzania mia tano (500), ili kupunguza uhaba wa Madaktari nchini Kenya.

Mheshimiwa Rais JPM, alikubali ombi hilo.

Mnamo tarehe 18 Machi, 2017, Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na...

 

5 years ago

Michuzi

TFF, Bodi ya Ligi Kukutana kesho

TFF, Bodi ya Ligi Kukutana kesho kujadili mustakabali wa Ligi Kuu, Daraja La kwanza (FDL), daraja la Pili (SDL) na ligi za Mkoa kutokana na Mlipuko wa Virusi vya Ugonjwa wa Corona.

 

9 years ago

GPL

CHAMA CHA MADEREVA KUKUTANA NA JK KESHO

Naibu Katibu Mkuu na Msemaji wa Chama Cha Wafanyakazi  Madereva Tanzania (TADWU), Rashid Saleh (kushoto) akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani)  Katikati ni Mwenyekiti wa Chama hicho Shaban Mdem  na Katibu Mkuu  Abdallah Lubala (kulia). Mwenyekiti wa Chama Cha Wafanyakazi  Madereva Tanzania, Shaban Mdem naye akizungumza na wandishi wa habari. Uongozi wa Chama Cha Wafanyakazi Madereva Tanzania,...

 

10 years ago

Michuzi

KAMATI KUU CHADEMA KUKUTANA DAR ES SALAAM KESHO NA KESHOKUTWA


Taarifa inatolewa kwa vyombo vya habari kuwa kuwa Kamati Kuu ya Chama, chini ya Mwenyekiti wake Freeman Mbowe, itakutana Mei 3-4, katika kikao chake cha kawaida kwa mujibu wa Katiba ya Chama.

Katika kikao hicho cha siku mbili kitakachofanyika jijini Dar es Salaam, pamoja na masuala mengine ya kitaifa kuhusu hali ya kisiasa nchini kwa ujumla na mengine mahsusi yanayohusu uendeshaji wa chama, KK itapokea taarifa, kujadili na kufanya maamuzi kuhusu;

1.     Maandalizi ya Chama kuelekea Uchaguzi...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani