RAIS WA TERVUREN ROTARY CLUB AKUTANA NA BALOZI KAMALA
Rais wa Tervuren Rotary Club Mhe. Birgit Regine Rohde akiwa katika picha ya pamoja na Balozi wa Tanzania Ubelgiji Dr. Diodorus Buberwa Kamala baada ya kumaliza mazungumzo yaliyofanyika ofisini kwake Brussels. Mhe Birgit alimweleza Balozi Kamala uamuzi wa Tervuren Rotary Club kumtunuku nishani ya Paul Harris Bwana Ward Lernout kama ishara ya kutambua mchango wake wa kusaidia kituo cha watu wasiokia cha Msanda kilicho Mkoa wa Kilimanjaro Tanzania. Balozi Kamala amewashukuru Tervuren Rotary...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
MichuziBALOZI KAMALA AKUTANA NA MAKAMU WA RAIS WA KAMPUNI YA BRUSSELS AIRLINE
11 years ago
MichuziBalozi kamala akutana na balozi wa ubelgiji nchini tanzania
10 years ago
MichuziBALOZI KAMALA AKUTANA NA VIONGOZI WA KAMPUNI YA ZETES
11 years ago
MichuziBALOZI KAMALA AKUTANA NA GAVANA WA HAINAUT UBELGIJI
Balozi wa Tanzania Ubelgiji Dr. Diodorus Buberwa Kamala akiweka sahihi Hati ya Mapokezi ya Hainaut huku Gavana wa Hainaut Mhe. Tommy Luclercq akishuhudia....
10 years ago
MichuziBALOZI KAMALA AKUTANA NA MEYA WA MANISPAA YA COVVIN UBELGIJI
10 years ago
MichuziBALOZI KAMALA AKUTANA NA MWENYEKITI WA BODI WA KAMPUNI YA LOTUS
10 years ago
MichuziBALOZI KAMALA AKUTANA NA MKURUGENZI WA AFRIKA WA KAMPUNI YA TE (TE Connectivity)
10 years ago
MichuziBALOZI KAMALA AKUTANA NA MBUNGE KIJANA WA BUNGE LA ULAYA
11 years ago
MichuziBALOZI KAMALA AKUTANA NA MKURUGENZI WA MAENDELEO WA JUMUIYA YA ULAYA