Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


RAIS WA UJERUMANI AWASILI ZANZIBAR LEO

  Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na mgeni wake Rais wa Ujerumani Mhe,Joachim Gauck mara alipowasili   katika Bandari ya Malindi Mjini Zanzibar  leo akitokea Dar es Salaam akiwa katika ziara ya siku moja Nchini akifuatana ma Mkewe Daniela Schadt pamoja na viongozi mbali mbali wa Nchi hiyo.  Rais wa Ujerumani Mhe,Joachim Gauck  akisalimiana na  Makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi (katikati) mara alipowasili   katika...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

RAIS WA MSUMBIJI AWASILI ZANZIBAR LEO

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Rais wa Msumbiji Mhe,Filipe Jacinto Nyusi alipowasili katika uwanja wa Ndege wa Abeid Amani Karume akiwa nchini kwa ziara ya kikazi.Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akimtambulisha Rais wa Msumbiji Mhe,Filipe Jacinto Nyusi alipokuwa akisalimiana na Mawaziri wa Zanzibar mara alipowasili katika uwanja wa Ndege wa Abeid Amani Karume akiwa nchini kwa ziara ya...

 

10 years ago

GPL

RAIS WA UJERUMANI JOACHIM GAUCK AWASILI NCHINI

Rais wa Ujerumani Mh. Joachim Gauck  akiwa ameambatana na mkewe Bibi Schadt akiwasili katika Uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere usiku wa kuamkia leo jijini Dar es salaam.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Mohammed Gharib Bilal (kulia) akiwa mwenye furaha mara baada ya kumpokea Rais wa Ujerumani Mh. Joachim Gauck  na Mkewe Bibi Schadt (walioshika maua), Uwanja wa ndege wa...

 

10 years ago

Vijimambo

Rais wa Ujerumani awasili nchini kuanza ziara ya kitaifa

Rais wa Ujerumani, Mhe. Joachim Gauck pamoja na Mhe. Mama Schadt wakiteremka kwenye ndege mara baada ya kuwasili kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere Jijini Dar es Salaam kwa ajili ya kuanza ziara ya kitaifa ya siku tano hapa nchini. Mhe. Gauck akilakiwa na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Mohammed Gharib Bilal mara baada ya kuwasili nchini. Mhe. Gauck na Mama Schadt wakipokea maua kutoka kwa Watoto Elizabeth Jackson na Barqat Mvungi walioandaliwa kwa...

 

10 years ago

Michuzi

RAIS WA UJERUMANI JOACHIM GAUCK AWASILI NCHINI USIKU HUU

Rais wa Ujerumani Mh. Joachim Gauck akiwa ameambatana na mkewe Bibi Schadt wakiwasili katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere usiku huu jijini Dar es salaam. Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Mohammed Gharib Bilal (kulia) akiwa mwenye furaha mara baada ya kumpokea Rais wa Ujerumani Mh. Joachim Gauck na Mkewe Bibi Schadt (walioshika maua), uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere. Rais wa Ujerumani Mh. Joachim Gauck akiwa na mkewe...

 

10 years ago

Vijimambo

RAIS KIKWETE AHANI MSIBA WA MFALME WA SAUDI ARABIA, AWASILI BERLIN, UJERUMANI, KWA ZIARA YA KIKAZI

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akitoa mkono wa pole kwa watawala na familia mjini Riyadh, Saudi Arabia Jumapili, Januari 25, 2015, alipofika kuhani kuhani kifo cha Mfalme Abdullah bin Abdul Aziz al Saud aliyefariki Alhamisi na kuzikwa Ijumaa ya wiki iliyopita. Baada ya kuhani msiba wa Mfalme Abdullah, Rais Kikwete ameendelea na safariyake kwenda nchi za Ujerumani na Ufaransa kwa ziara za kikazi.Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Bi Fawzia Rasheed, Mkuu wa Sera wa Global Alliance for...

 

10 years ago

Vijimambo

RAIS WA MSUMBIJI AWASILI ZANZIBAR

Rais wa Msumbiji, Mhe. Filipe Jacinto Nyusi akiwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Zanzibar akitokea Jijini Dar es Salaam,ikiwa ni mwendelezo wa ziara yake ya kitaifa ya siku tatu nchini Tanzania.
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dkt.Ali Mohamed Shein akiwa ameongozana na mgeni wake Rais wa Msumbiji, Mhe. Filipe Jacinto Nyusi mara baada ya kuwasili katika  Zanzibar leo tarehe 18 Mei, 2015. Rais Shein akiwa na Rais Nyusi kwenye Jukwaa Maalum wakati nyimbo za...

 

10 years ago

Habarileo

Barabara zote za ndani kukarabatiwa Rais wa Ujerumani, Joachim Gauck akiwa na mwenyeji wake, Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa

Mfuko wa Barabara Zanzibar umedhamiria kuzifanyia ukarabati barabara za ndani katika majimbo ya uchaguzi Unguja na Pemba ili kurahisisha huduma za usafiri.

 

5 years ago

CCM Blog

RAIS WA ZANZIBAR DK. SHEIN AWASILI ZANZIBAR AKITOKEA PEMBA BAADA YA KUMALIZA ZIARA YAKE YA SIKU TATU PEMBA.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akisalimiana na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi alipowasili Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume akitokea Kisiwani Pemba baada ya kumaliza ziara yake ya siku tatu.(Picha na Ikulu)

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani