Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


RAIS WA MSUMBIJI AWASILI ZANZIBAR LEO

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Rais wa Msumbiji Mhe,Filipe Jacinto Nyusi alipowasili katika uwanja wa Ndege wa Abeid Amani Karume akiwa nchini kwa ziara ya kikazi.Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akimtambulisha Rais wa Msumbiji Mhe,Filipe Jacinto Nyusi alipokuwa akisalimiana na Mawaziri wa Zanzibar mara alipowasili katika uwanja wa Ndege wa Abeid Amani Karume akiwa nchini kwa ziara ya...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

RAIS WA MSUMBIJI AWASILI ZANZIBAR

Rais wa Msumbiji, Mhe. Filipe Jacinto Nyusi akiwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Zanzibar akitokea Jijini Dar es Salaam,ikiwa ni mwendelezo wa ziara yake ya kitaifa ya siku tatu nchini Tanzania.
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dkt.Ali Mohamed Shein akiwa ameongozana na mgeni wake Rais wa Msumbiji, Mhe. Filipe Jacinto Nyusi mara baada ya kuwasili katika  Zanzibar leo tarehe 18 Mei, 2015. Rais Shein akiwa na Rais Nyusi kwenye Jukwaa Maalum wakati nyimbo za...

 

10 years ago

Michuzi

RAIS WA UJERUMANI AWASILI ZANZIBAR LEO

  Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na mgeni wake Rais wa Ujerumani Mhe,Joachim Gauck mara alipowasili   katika Bandari ya Malindi Mjini Zanzibar  leo akitokea Dar es Salaam akiwa katika ziara ya siku moja Nchini akifuatana ma Mkewe Daniela Schadt pamoja na viongozi mbali mbali wa Nchi hiyo.  Rais wa Ujerumani Mhe,Joachim Gauck  akisalimiana na  Makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi (katikati) mara alipowasili   katika...

 

10 years ago

Vijimambo

Rais Kikwete awasili nchini Msumbiji kuhudhuria Sherehe za kuapishwa Rais Nyusi

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete na mkewe Mama Salma Kikwete wakiwasili katika uwanja wa ndege wa Maputo kuhudhuria sherehe za kuapishwa Rais Mpya wa Msumbiji Mhe. Filipe Nyusi kesho mjini Maputo. Bwana Nyusi anachukua hatamu za uongozi kutoka kwa Rais Armando Emilio Jacinto Guebuza anayemaliza muda wake.(Picha na Freddy Maro)

 

10 years ago

Vijimambo

RAIS WA MSUMBIJI FILIPE JACINTO NYUSSI AWASILI NCHINI KWA ZIARA RASMI YA SIKU TATU

Rais Kikwete akimpokea Rais Filipe Jacinto Nyusi uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam leo. Rais huyo anayefanya ziara yake ya kwanza nje ya nchi kama rais wa Msumbiji yuko katika ziara rasmi ya siku tatu.Rais Kikwete akimpokea Rais Filipe Jacinto Nyusi uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam leo. Rais huyo anayefanya ziara yake ya kwanza nje ya nchi kama rais wa Msumbiji yuko katika ziara rasmi ya siku tatu.Rais Filipe Jacinto Nyusi...

 

10 years ago

Michuzi

JK awasili maputo usiku huu kuhudhuria sherehe za kuapishwa Rais Mpya wa Msumbiji Mhe.Filipe Nyusi kesho

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete na mkewe Mama Salma Kikwete wakiwasili katika uwanja wa ndege wa Maputo usiku huu kuhudhuria sherehe za kuapishwa Rais Mpya wa Msumbiji Mhe.Filipe Nyusi kesho mjini Maputo. Mhe. Nyusi anachukua hatamu za uongozi kutoka kwa Rais Armando Emilio Jacinto  Guebuza anayemaliza muda wake. Picha na Freddy Maro

 

10 years ago

Michuzi

Taswira za maandalizi ya mwisho ya mapokezi ya rais wa Jamhuri ya Msumbiji, Zanzibar

Mjumbe wa Kamati ya Mapokezi ya Rais wa Msumbiji Maalim Vuai Khamis kutoka Taasisi ya Elimu akikagua Gwaride la Jeshi la Wananchi wa Tanzania {JWTZ } ikiwa ni maandalizi ya mwisho ya ujio wa Kiongozi huyo wa Jamhuri ya Msumbiji Bwana Philipe Jacinto Nyusi anayetarajiwa kufanya ziara ya siku Moja Zanzibar. Kamanda Mkuu wa Brigedi ya Nyuki Zanzibar Brigedia Jenerali Cyrill Ivor Mhaiki akibadilishana mawazo na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar ambae pia ni Mwenyekiti wa Kamati ya Sherehe na...

 

10 years ago

Vijimambo

BALOZI WA MSUMBIJI AFIKA IKULU KUMUAGA RAIS WA ZANZIBAR, DK. SHEIN

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana Balozi wa Msumbiji nchini Tanzania Mhe,Vicente Mebunia Veloso alipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo kumuaga baada ya kumaliza muda wake wa kazi.Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akizungumza na Balozi wa Msumbiji nchini Tanzania Mhe,Vicente Mebunia Veloso alipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo kumuaga baada ya kumaliza muda wake wa kazi.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa...

 

5 years ago

CCM Blog

RAIS WA ZANZIBAR DK. SHEIN AWASILI ZANZIBAR AKITOKEA PEMBA BAADA YA KUMALIZA ZIARA YAKE YA SIKU TATU PEMBA.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akisalimiana na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi alipowasili Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume akitokea Kisiwani Pemba baada ya kumaliza ziara yake ya siku tatu.(Picha na Ikulu)

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani