RAIS WA MSUMBIJI AWASILI ZANZIBAR
Rais wa Msumbiji, Mhe. Filipe Jacinto Nyusi akiwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Zanzibar akitokea Jijini Dar es Salaam,ikiwa ni mwendelezo wa ziara yake ya kitaifa ya siku tatu nchini Tanzania.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dkt.Ali Mohamed Shein akiwa ameongozana na mgeni wake Rais wa Msumbiji, Mhe. Filipe Jacinto Nyusi mara baada ya kuwasili katika Zanzibar leo tarehe 18 Mei, 2015.
Rais Shein akiwa na Rais Nyusi kwenye Jukwaa Maalum wakati nyimbo za...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi
RAIS WA MSUMBIJI AWASILI ZANZIBAR LEO


10 years ago
Vijimambo14 Jan
Rais Kikwete awasili nchini Msumbiji kuhudhuria Sherehe za kuapishwa Rais Nyusi
10 years ago
Vijimambo
RAIS WA MSUMBIJI FILIPE JACINTO NYUSSI AWASILI NCHINI KWA ZIARA RASMI YA SIKU TATU



10 years ago
Michuzi.jpg)
JK awasili maputo usiku huu kuhudhuria sherehe za kuapishwa Rais Mpya wa Msumbiji Mhe.Filipe Nyusi kesho
.jpg)
10 years ago
Michuzi
Taswira za maandalizi ya mwisho ya mapokezi ya rais wa Jamhuri ya Msumbiji, Zanzibar


10 years ago
VijimamboBALOZI WA MSUMBIJI AFIKA IKULU KUMUAGA RAIS WA ZANZIBAR, DK. SHEIN
5 years ago
CCM BlogRAIS WA ZANZIBAR DK. SHEIN AWASILI ZANZIBAR AKITOKEA PEMBA BAADA YA KUMALIZA ZIARA YAKE YA SIKU TATU PEMBA.
10 years ago
MichuziRAIS WA UJERUMANI AWASILI ZANZIBAR LEO
11 years ago
MichuziMAKAMU WA RAIS WA CHINA AWASILI ZANZIBAR